UZUSHI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

Baada ya tathmini, tumebaini kuwa taarifa hii ni ya uzushi
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

istockphoto-1333083823-612x612.jpg
 
Tunachokijua
Uke ni kiungo kinachounda sehemu ya mfumo na mfereji wa uzazi wa mwanamke ambacho hufanya kazi kuu tatu ambazo ni;
  1. Kuruhusu utoaji wa masalia ya damu na tishu za mji wa uzazi kupitia hedhi.
  2. Kupokea uume wakati wa kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuhifadhi mbegu za kiume kwa mda hadi zitakapo ufikia mji wa uzazi.
  3. Kuruhusu kupita kwa mtoto wakati wa uchungu wa kuzaa.
Kimuundo, uke humaanisha tundu la ndani ambalo urefu wa kina chake hubadilika kulingana na hali anazopitia mwanamke. Mathalani, kabla ya msisimko wa kihisia, pasipo kujali ukubwa wa midomo, wastani wa kawaida wa kina chake huwa ni nchi 2.74-3.25 huku kina chake kikiongezeka hadi kufikia wastani wa nchi 4.25-4.75 wakati wa msisimko wa kihisia. Hii ni kwa mujibu wa utafiti wa Masters na Johnson (1966).

Mashavu yanayozunguka uke ambayo kitaalamu huitwa labia huwa na muonekano wa aina nyingi ambazo hutofautiana miongoni mwa wanawake. Kwa baadhi yao, labia hizi huwa ni kubwa, huonekana zimevimba, nyembamba, zimechomoza nje na wengine huwa wazi kiasi cha kufanya baadhi ya sehemu za ndani zionekane kirahisi.

Pamoja na uwepo wa tofauti hizi, JamiiForums inatambua kuwa ukuaji wa uke na labia zake pamoja na ukuaji wa midomo vyote kwa pamoja huongozwa na taarifa za kijenetiki (Genetics) na homoni za mwili.

Pia, JamiiForums imefanya mazungumzo na Madaktari Bingwa wa Masuala ya wanawake waliothibitisha kuwa ukubwa wa midomo na uke huwa havina uhusiano.

Aidha, hakuna maelezo yoyote ya kitafiti yanayothibitisha uhusiano wa ukubwa wa midomo na ukubwa wa uke hivyo mwanamke anaweza kuwa na uke mkubwa pasipo kujali udogo wa midomo yake, pia anaweza kuwa na uke mdogo hata ikiwa muonekano wa umbo la midomo yake ni mdogo.

Suala hili halina uthibitisho wa hoja za kisayansi hivyo linabaki kuwa ni uzushi.
Bro ni ukweli mwanamke mdomo wake ndio maumbile yake ya chini yalivyo

Mwanaume dole gumba la mkono au dole gumba la mguu ndio maumbile yake yalivyo

Sometimes tutafiti zaidi tenga wanawake 20 anza kuwakagua mmoja mmoja sio unaishia kusoma makala za wazungu tu
 
Kwa upande wangu, nikitaka kujua kama mwanamke ana Qma yenye muonekano mzuri hua naangalia vidole/kucha za mikono yake.

Kama ana vidole/kucha nzuri bc atakuwa na Qma yenye muonekano mzuri lakini kama ana vidole kama tangawizi na kucha kama anachimba shambani huyo hawezi kuwa na Qma mzuri.
 
Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?

View attachment 2467551
Hii sio nadharia Tena na usitegemee proof Toka kwa hao wanasayansi wako. Hili suala binafsi nimelifanyia kazi na kwa matokeo yangu binafsi nina afiki Juu ya ukweli wa ukubwa wa mdomo ndivyo hivyo uko sambamba na Uke wake chini.

Nmefanya tafiti Juu ya wanawake 30 mpka nakuja kusema hapa kwa hadhira.

Ila kuna mkanganyiko Juu ya baadhi ya wadada wembamba sana na wale wanene ambao wako shaped hawa watu ni ujipange sana kuwakabili.
 
mimi nina mdomo mkubwa na uke wangu ni mdogo sana na unabana sana umme:
hivyo wenye midomo midogo ndio wana **** kubwa, pana .
Nilikutana na uke wa hivi nilipata tabu kishenzi alafu kibaya mnapenda kusuguliwa sana yaan nyinyi wenye papa zinazobana ndogo ndogo mnapenda kutiwa sana sio kitoto alafu mnapenda madude makubwa yaan mna vipapa vidogo alafu mnapenda midushe mikubwa mikubwa ili iwakwangue vizuri,
 
Daoist/Taoist wanasema mwanamke urefu wa vidole vyake ndio urefu wa kina cha uke wake, yaan ukimuona mwanamke ana vidole virefu basi jua kuna kina kirefu na akiwa na vidole vifupi jua kuna kina kifupi, wanasema mwanamke mwenye lips pana (nene) na lips nyembamba wanatofauti katika mapenzi, mmoja hupenda na kumaanisha yaan ukimpa upendo na yeye anakupa upendo (quid pro quo) na mwingine hamaanishi yaan ukimpa hakupi ukimpa umempa usitegemee kupewa unakua umetoka kapa
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom