Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?

Tutafakari

Kipanya.jpg
 
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?Tutafakari
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
 
Unajielewa unachosema
 
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?

Tutafakari

View attachment 2879312
Huo msalaba unaashiria maziko,kifo au msiba kama ilivyo kawaida ya watanzania wengi hata wale wapagani, huo msalaba haumaanish ukristo ndiyo maama umeandikwa KUZ_ KUF, Masoud siyo mjingamjinga kama unavyojaribu kumfafanua. Ebu tafuta maana nyingine ya hilo Bus na siyo KKKT.
 
Kutokana na imani yake, sidhani kama ana sifa ya kukosoa imani ya watu wengine. So kwa upande wangu nimechagua kumpuuza. Maana ameingilia mambo yasiyomhusu.
Hawa waislam watu wa hovyo sana,uthubutu wa kukosoa imani nyingine wanajifanya wanao huwezi ona akichora katuni kuhusu ugaidi utasikia huo sìo uislam lkn kuhusu Papa wanataka kuuhusisha ukristo wote!upuuzi mtupu.
 
Katuni ya leo Kipanya inaonyesha namna basi lililobeba imani ya MSSALABA LILIVYOZAMA KWENYE KORONGO. Hakuna majerua wala waokoaji katika eneo husika means wote waombolezaji na wafiwa wameangamia.

Katuni hii inatoka siku moja baada ya waumini wa KKKT kupigwa na kitu kizito kutoka kwa mkuu wa kanisa hilo wakati akisimikwa kazini

Je, imani ya Msalaba imeelekea kumwacha Mungu na kumwendea mwanadamu? Je, baadhi ya viongozi wake wanaamini Mungu yupo au wanaamini kwenye madaraka na mali?

Tutafakari

View attachment 2879312
KKKT imeuzwa rasmi jana
 
Massoud Kipanya anatukosea wakristo. Yeye ni Muslim. Bible inasema, ya kaisari mwachie kaisari. Ndio mkuu wa KKT alidhibitisha. Kuja na katuni kama hiyo ni kwenda kunyume na biblia. Wakristo wote wanaohijua kweli huwa hawapambani na kaisari. Kipanya kabla ya kutoa katuni awaulize wakristo wa kweli.
Mimi ni mkristo na naungana na katuni ya masud
 
Hawa waislam watu wa hovyo sana,uthubutu wa kukosoa imani nyingine wanajifanya wanao huwezi ona akichora katuni kuhusu ugaidi utasikia huo sìo uislam lkn kuhusu Papa wanataka kuuhusisha ukristo wote!upuuzi mtupu.
Kwani Papa alifanya kosa gani la kutaka kuhusisha wakristo wote?
 
Back
Top Bottom