Masoud Kipanya umetukosea sana sisi Wanachadema

Bilionaire kekeman

Senior Member
Nov 26, 2022
142
823
Kwahiyo mkuu Masoud Kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo Mwenyekiti Mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣! Masoud Kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.

FB_IMG_1672997720304.jpg
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo mwenyekiti mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣! Masoud kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.
Akili picha
 
Mbona badala ya kichwa km kaweka m.t.ko?
 
Shuka, godoro na kitanda cha ccm, ila mto unamilikiwa na cdm, ACT na vyama vingine.

Jamaa anataka kulala anashindwa, kabaki anajihinamia chini huku amekaa kwa sababu kitanda cha watu.
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo mwenyekiti mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣! Masoud kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.
Mtu kama Maranja Masese unadhani ana kichwa? +Mdude?

Kichwa Cha Mbowe na Mnyika vimehifadhiwa pale Lumumba
 
Kwahiyo mkuu masoud kipanya unamaanisha sie chadema hatuna vichwa? Kwa maana sie wanachadema hatufikirii?

Mungu wangu wangu masudi kwahiyo mwenyekiti mbowe na jopo lake wanatufanya nyie wanachadema tumeondolewa vichwaa πŸ˜ƒ πŸ˜€ πŸ˜„ 😁 🀣! Masoud kipanya umetukosea sana ila hongera sana kwa kututoa akili sie wanachama.
Teh teh!
 
Ha haaa yaani CHADEMA imebakia kiwiliwili tu, ha haa kwisha habari yenu
 
Maana yake kwa sasa chadema haijui isimamaie nini. Ibaki na ajenda zake za kichadema au ibebe na ajenda za ccm. Ndio maana hapo unaona ana kopo la rangi ya kijani na hizo nyingine.
 
Back
Top Bottom