Kisa cha Mkuu wa Mkoa Rwegasira kuondoa makahaba Dar es Salaam

Kindeena

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
9,054
15,782
MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR
Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto kubwa kwa baadhi ya viongozi serikalini, sambamba na kutekeleza mambo yao mbalimbali.

Mnamo mwaka 1980, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar wakati huo, Balozi Joseph Rwegasira alianzisha Operesheni maalum ya kuhakikisha Makahaba wote waliokuwa wakifanya biashara ya kuuza miili ndani ya Jiji hilo kuondoka haraka, sambamba na kutumia nguvu kuwaondoa wale wote ambao wangekaidi amri hiyo.

Operesheni hiyo ilikuwa imelenga kuwarudisha Makahaba waliopo Dar makwao, ili wakaendeleze kazi ya kulijenga taifa kupitia shughuli zao nyingine kama kilimo, ufugaji nk, na hivyo kuweza kusaidia kuimarisha vijiji vya ujamaa wakati wa Mpango wa Taifa wa kuiimarisha na kuendeleza Vijiji vya Ujamaa maarufu kama "Operesheni Vijiji".

Kufuatia uamuzi huo wa Balozi Rwegasira, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimuita Ikulu Balozi Rwegasira, akitaka aende akamfafanulie kuhusu utaratibu na madhumuni ya Operesheni ile.

Alipofika Ikulu, kauli ya kwanza ya Mwalimu ilimtumainisha kuwa huenda Operesheni yake iliungwa mkono pale alipohoji, “Nasikia umeamua kuwahamisha mama zangu warudi makwao wakalime maharagwe!” Rwegasira alijibu haraka kwa kusema, “Unajua Mwalimu, hatua yangu hii ni kutekeleza kaulimbiu yetu ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa Letu", na Operesheni ya "Kilimo cha Kufa na Kupona" pengine hata kaulimbiu ya awali tuliyoiita, "Siasa ni Kilimo", ndipo nikaiona ni muafaka kabisa.

Hapo ndipo hoja ya Mwalimu iliyofuatia ilimshtua Rwegasira, pale aliposema, “Nimekuita unieleweshe ni watu wa aina gani ulioteua warudishwe makwao kwa utekelezaji huo, pia nataka kujua utaratibu unaotumika”.

Ndipo Baba wa Taifa aliishia kuhoji, “Kwa hiyo umewahukumu kwa ukahaba wao, au kuna sababu nyingine?” Hapo, Rwegasira alikaa kimya kwa kutokuwa na jibu muafaka! Hata hivyo, Baba wa Taifa aliendelea kudadisi kwa kuhoji, “Ikiwa umeamua kuwatimua makahaba, je, mazingira ya kule utakakowahamisha, umeyaandaaje?”

Kwa kuwa hoja ya Baba wa Taifa ilikuja kinyume na matarajio ya Rwegasira, isitoshe hakuelewa mwelekeo wa hoja ile, alibaki kimya, ndipo Mwalimu alimuamuru kwa kusema, “Ukiweza kutimiza hilo, njoo unieleze nibariki Operesheni yako!”

Aliongeza kwa kusema, “Kama usingekuwa mtani wangu wito wangu ungeishia hapa, lakini hebu nikufafanulie chanzo cha ukahaba, ndipo aliuliza iwapo Rwegasira anafahamu wateja wa makahaba ni kina nani, akawa amejibu kuwa ni wanaume! Mwalimu alicheka akamuuliza, “Wewe si mwanaume, je, huko waliko makahaba unakwenda?” Rwegasira alijibu, “Hapana!”

Mwalimu akahoji tena, “Mimi si mwanaume, je, huko naenda?” Rwegasira alijibu, “Hapana Mwalimu!” Ndipo alianza kumchambulia kuanzia wanaume wasiojua kumtaka mapenzi mwanamke, wasiotaka bughudha ya kutunza familia hivyo hawaoi, hata waliobarikiwa nguvu nyingi za mwili wakienda huko kuzipunguza ili wasisumbue wake zao.

Na hapo ndipo Mwalimu alifafanua hoja yake kwa Rwegasira akisema, “Nilipotaka nijue mazingira ya huko utakakowaondoa umeyaandaje, nilijua hao wateja wao wasipowakuta, matokeo ni kubakwa mama zetu, wake zetu, wanafunzi wetu, vilema wetu, hata vichaa wetu! Ndiyo maana katika miji yote duniani makahaba wapo!“

Mwalimu alimalizia kwa kumwambia Rwegasira ya kuwa, hata mataifa yaliyojigamba kuwa na utawala bora na wa sheria, yalishindwa kubuni sheria ya kutawala miili ya watu hususani wanawake hivyo kudhibiti ukahaba, pia michezo hatari kama ndondi na kareti, ikaishia kuhalalisha biashara zinazohusisha ukahaba kwa namna moja au nyingine, tena zikitozwa kodi ya mapato kwa Serikali.

Hatimaye Mwalimu alitaja kuhusishwa kwa ukahaba katika Maandiko Matakatifu, ambapo makahaba hawakuhukumiwa kwa ukahaba wao, isipokuwa walihimizwa wawe na matendo mema, sawa na walivyohimizwa watu wengine.

Alitoa mfano wa kahaba aliyemkimbilia Yesu alipokimbizwa na umati uliotaka wamponde mawe mpaka afe kama mila yao inavyoruhusu. Yesu aliuambia ule umati akisema, “Ikiwa miongoni mwenu kuna asiyepata kutenda mnalomtuhumu nalo, na awe wa kwanza kumtupia jiwe.

”Yesu alishusha macho kuendelea kuchora kielelezo chake, na alipoinua macho sekunde kadhaa baadaye, hakuona mtu hata mmoja! Ndipo alimuamuru yule kahaba akisema, “Inuka uende zako, kawe na matendo mema.“

Mwalimu alimhoji Rwegasira akisema, “Kwani Yesu alishindwa kumtamkia kahaba aache ukahaba?” Hapo ndipo Mwalimu alimtaja kahaba mwingine aliyemkuta Yesu mahali akifanyiwa karamu akamuangukia akilia, mpaka alimlowesha miguu na kumpangusa kwa nywele zake, akampaka manukato! Yesu alimuambia mwenyeji wake akisema: “Huyu mwanamke amekuzidi, kwa kuniosha miguu kama ilivyo desturi yetu, ambapo wewe hukufanya vile.“

Kwa msingi huu, Mwalimu alimtamkia Balozi Joseph Rwegasira akisema: “Kwa kupewa akili na Mwenyezi Mungu, mwanadamu hatahukumiwa kwa dhambi ya mwenziwe, ndipo kwa hali hiyo, litatimilika agizo la Mwenyezi Mungu kuwa, "Usihukumu mwenzio, ndipo nawe hutahukumiwa."

Credit to JamiiForums:
Kule nilikoipata
 
JamiiForums

Stori isiyosemwa: Mwalimu Nyerere alimzuia Balozi Joseph Rwegasira kuwaondoa makahaba Jijini Dar​

1 of 5Next Last
Watch
•••
[IMG alt="Foxhound"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/188/188842.jpg?1656120873[/IMG]

Foxhound

JF-Expert Member​

Rwegasira ni waitu na hao waitu ni waitu tatizo lilikuwa Kagera kula senene na buni.
 
Jiulize watu wawili walokubaliana kukulana na kulipana wamemkosea nani.

Ukichunguza utakuta hata inaweza isiwe dhambi.

Dhambi ni kama mume anamdanganya mpenzi/mke wake anamuumiza kukosa uaminifu anatenda dhambi
Dhambi ni kama mke akimdanganya mume akakosa uaminifu anatenda dhambi.
Au mtoto kamdanganya mzaz kuwa anaenda shule af kaenda kusex anaumiza ada za mzazi kufanyia uhuni. Hii ni dhambi

Sasaa mwanaume na mwanamke wamekaa wao wenyewe hawana ndoa wakakubaliana kusex na kulipana. Hawajadanganyana hawajaumizana na wote wamefaidi wamefurahia deal. Wamemuumiza nani? Dhambi wamemtenda nani? Tuulizane
 
Andiko Mujarab kabisa!

UAE-Wapo!

Roma tena karibu na Vatican-Wapo!

China wapo!

Miji Yote Mikubwa-Wapo!

Suala ni Kuboresha Mazingira yao-Zile Nyumba ni Chafu sana!

Lakini kuwapo na wawepo tu!
 
Na pia walipokuwa kwenye dhifa ya kitaifa Uingereza Kawawa akawa hawezi kumwambia mhudumu kahawa imetosha.

Nyerere akamnong'oneza "Kawawa funika kikombe." Kawawa aliposhiba akafunika sahani akapindua na kiti.
 
Jiulize watu wawili walokubaliana kukulana na kulipana wamemkosea nani.

Ukichunguza utakuta hata inaweza isiwe dhambi.

Dhambi ni kama mume anamdanganya mpenzi/mke wake anamuumiza kukosa uaminifu anatenda dhambi
Dhambi ni kama mke akimdanganya mume akakosa uaminifu anatenda dhambi.
Au mtoto kamdanganya mzaz kuwa anaenda shule af kaenda kusex anaumiza ada za mzazi kufanyia uhuni. Hii ni dhambi

Sasaa mwanaume na mwanamke wamekaa wao wenyewe hawana ndoa wakakubaliana kusex na kulipana. Hawajadanganyana hawajaumizana na wote wamefaidi wamefurahia deal. Wamemuumiza nani? Dhambi wamemtenda nani? Tuulizane
Zaeni mkaongezeke, kusex ni starehe je Kosa Hilo linafanyika baina ya Nani!? Muumba ameruhusu
 
Ndo tujiulize kwa ukamilifu wake, je umalaya tunawezaje kuuderive hadi ukawa dhambi.

Mimi kigezo changu cha kitu kuwa dhambi ni mtu mwingine aumizwe na matendo ya mtu mwingine. Yaani dhambi ni kitendo cha kimakusudi kumuumiza mtu mwingine, tena haswaa yule aliyekuamini na kutegemea mema toka kwako.

Saaa hapaa, malaya amedai pesa na amelipwa. Mteja amedai ngono na amepewa tujiulize ni nani kamtenda mwenzie!!?
 
Bado hatutatua tatizo.Chamila anapaswa kujua chanzo Cha tatizo.Hivi Inawezekana tu mtu akaamua kujiuza?Kwanini ajiuze?na wateja wake akina nani?kweli anapata wateja?athari zake ni zipi kusitisha Kwa haraka hii biashara? Tusitishe na Kamari ni haramu.Kubeti kunaua nguvu kazi.Vijana hawawezi Tena kushika jembe asubuhi wakiamka,kuoga kupaka lotion baada ya hapo kwenye Simu na mikeka.
 
MWALIMU NYERERE ALIMZUIA BALOZI JOSEPH RWEGASIRA KUWAONDOA MAKAHABA JIJINI DAR
Tanzania imepitia simulizi nyingi zenye kusisismua lakini nyingi zikiwa hazisemwi sana kwenye vyombo vya habari na hivyo kupelekea vizazi vya sasa na vijavyo kutokujua mengi yaliyowahi kutokea na kuleta changamoto kubwa kwa baadhi ya viongozi serikalini, sambamba na kutekeleza mambo yao mbalimbali.

Mnamo mwaka 1980, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar wakati huo, Balozi Joseph Rwegasira alianzisha Operesheni maalum ya kuhakikisha Makahaba wote waliokuwa wakifanya biashara ya kuuza miili ndani ya Jiji hilo kuondoka haraka, sambamba na kutumia nguvu kuwaondoa wale wote ambao wangekaidi amri hiyo.

Operesheni hiyo ilikuwa imelenga kuwarudisha Makahaba waliopo Dar makwao, ili wakaendeleze kazi ya kulijenga taifa kupitia shughuli zao nyingine kama kilimo, ufugaji nk, na hivyo kuweza kusaidia kuimarisha vijiji vya ujamaa wakati wa Mpango wa Taifa wa kuiimarisha na kuendeleza Vijiji vya Ujamaa maarufu kama "Operesheni Vijiji".

Kufuatia uamuzi huo wa Balozi Rwegasira, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alimuita Ikulu Balozi Rwegasira, akitaka aende akamfafanulie kuhusu utaratibu na madhumuni ya Operesheni ile.

Alipofika Ikulu, kauli ya kwanza ya Mwalimu ilimtumainisha kuwa huenda Operesheni yake iliungwa mkono pale alipohoji, “Nasikia umeamua kuwahamisha mama zangu warudi makwao wakalime maharagwe!” Rwegasira alijibu haraka kwa kusema, “Unajua Mwalimu, hatua yangu hii ni kutekeleza kaulimbiu yetu ya "Kilimo ni Uti wa Mgongo wa Taifa Letu", na Operesheni ya "Kilimo cha Kufa na Kupona" pengine hata kaulimbiu ya awali tuliyoiita, "Siasa ni Kilimo", ndipo nikaiona ni muafaka kabisa.

Hapo ndipo hoja ya Mwalimu iliyofuatia ilimshtua Rwegasira, pale aliposema, “Nimekuita unieleweshe ni watu wa aina gani ulioteua warudishwe makwao kwa utekelezaji huo, pia nataka kujua utaratibu unaotumika”.

Ndipo Baba wa Taifa aliishia kuhoji, “Kwa hiyo umewahukumu kwa ukahaba wao, au kuna sababu nyingine?” Hapo, Rwegasira alikaa kimya kwa kutokuwa na jibu muafaka! Hata hivyo, Baba wa Taifa aliendelea kudadisi kwa kuhoji, “Ikiwa umeamua kuwatimua makahaba, je, mazingira ya kule utakakowahamisha, umeyaandaaje?”

Kwa kuwa hoja ya Baba wa Taifa ilikuja kinyume na matarajio ya Rwegasira, isitoshe hakuelewa mwelekeo wa hoja ile, alibaki kimya, ndipo Mwalimu alimuamuru kwa kusema, “Ukiweza kutimiza hilo, njoo unieleze nibariki Operesheni yako!”

Aliongeza kwa kusema, “Kama usingekuwa mtani wangu wito wangu ungeishia hapa, lakini hebu nikufafanulie chanzo cha ukahaba, ndipo aliuliza iwapo Rwegasira anafahamu wateja wa makahaba ni kina nani, akawa amejibu kuwa ni wanaume! Mwalimu alicheka akamuuliza, “Wewe si mwanaume, je, huko waliko makahaba unakwenda?” Rwegasira alijibu, “Hapana!”

Mwalimu akahoji tena, “Mimi si mwanaume, je, huko naenda?” Rwegasira alijibu, “Hapana Mwalimu!” Ndipo alianza kumchambulia kuanzia wanaume wasiojua kumtaka mapenzi mwanamke, wasiotaka bughudha ya kutunza familia hivyo hawaoi, hata waliobarikiwa nguvu nyingi za mwili wakienda huko kuzipunguza ili wasisumbue wake zao.

Na hapo ndipo Mwalimu alifafanua hoja yake kwa Rwegasira akisema, “Nilipotaka nijue mazingira ya huko utakakowaondoa umeyaandaje, nilijua hao wateja wao wasipowakuta, matokeo ni kubakwa mama zetu, wake zetu, wanafunzi wetu, vilema wetu, hata vichaa wetu! Ndiyo maana katika miji yote duniani makahaba wapo!“

Mwalimu alimalizia kwa kumwambia Rwegasira ya kuwa, hata mataifa yaliyojigamba kuwa na utawala bora na wa sheria, yalishindwa kubuni sheria ya kutawala miili ya watu hususani wanawake hivyo kudhibiti ukahaba, pia michezo hatari kama ndondi na kareti, ikaishia kuhalalisha biashara zinazohusisha ukahaba kwa namna moja au nyingine, tena zikitozwa kodi ya mapato kwa Serikali.

Hatimaye Mwalimu alitaja kuhusishwa kwa ukahaba katika Maandiko Matakatifu, ambapo makahaba hawakuhukumiwa kwa ukahaba wao, isipokuwa walihimizwa wawe na matendo mema, sawa na walivyohimizwa watu wengine.

Alitoa mfano wa kahaba aliyemkimbilia Yesu alipokimbizwa na umati uliotaka wamponde mawe mpaka afe kama mila yao inavyoruhusu. Yesu aliuambia ule umati akisema, “Ikiwa miongoni mwenu kuna asiyepata kutenda mnalomtuhumu nalo, na awe wa kwanza kumtupia jiwe.

”Yesu alishusha macho kuendelea kuchora kielelezo chake, na alipoinua macho sekunde kadhaa baadaye, hakuona mtu hata mmoja! Ndipo alimuamuru yule kahaba akisema, “Inuka uende zako, kawe na matendo mema.“

Mwalimu alimhoji Rwegasira akisema, “Kwani Yesu alishindwa kumtamkia kahaba aache ukahaba?” Hapo ndipo Mwalimu alimtaja kahaba mwingine aliyemkuta Yesu mahali akifanyiwa karamu akamuangukia akilia, mpaka alimlowesha miguu na kumpangusa kwa nywele zake, akampaka manukato! Yesu alimuambia mwenyeji wake akisema: “Huyu mwanamke amekuzidi, kwa kuniosha miguu kama ilivyo desturi yetu, ambapo wewe hukufanya vile.“

Kwa msingi huu, Mwalimu alimtamkia Balozi Joseph Rwegasira akisema: “Kwa kupewa akili na Mwenyezi Mungu, mwanadamu hatahukumiwa kwa dhambi ya mwenziwe, ndipo kwa hali hiyo, litatimilika agizo la Mwenyezi Mungu kuwa, "Usihukumu mwenzio, ndipo nawe hutahukumiwa."

Credit to JamiiForums:
Kule nilikoipata
Mkuu ujumbe huu, atumiwe mheshimiwa chalamila.
 
Jiulize watu wawili walokubaliana kukulana na kulipana wamemkosea nani.

Ukichunguza utakuta hata inaweza isiwe dhambi.

Dhambi ni kama mume anamdanganya mpenzi/mke wake anamuumiza kukosa uaminifu anatenda dhambi
Dhambi ni kama mke akimdanganya mume akakosa uaminifu anatenda dhambi.
Au mtoto kamdanganya mzaz kuwa anaenda shule af kaenda kusex anaumiza ada za mzazi kufanyia uhuni. Hii ni dhambi

Sasaa mwanaume na mwanamke wamekaa wao wenyewe hawana ndoa wakakubaliana kusex na kulipana. Hawajadanganyana hawajaumizana na wote wamefaidi wamefurahia deal. Wamemuumiza nani? Dhambi wamemtenda nani? Tuulizane
Kama unaongelea kwenye mrengo wa kikristo sex inaruhusiwa baina ya pair moja tu, mke na mume waliopatana kuishi pamoja. Kinyume na hapo ni kosa/dhambi.
 
Dhambi ni popote amri hii inapovunjwa. Mpende Mungu wako na mpende jirani yako kama nafsi yako....

Nioneshe kinamna gani mmoja wapo amemtenda mwenzake kwa namna ambayo yeye hangependa atendewe!!? Kati ya malaya na mteja wake
 
Back
Top Bottom