maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Maandalizi ya Wiki ya Maandamano yatakayofanyika Duniani kote yakamilika

    Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika Ndani na Nje ya Nchi , Chadema HQ na Chadema Diaspora , zinaeleza kwamba Maandalizi ya yale Maandamano kabambe ya amani ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria Mbovu za Uchaguzi Nchini Tanzania Yamekamilika . Taarifa zingine zinaeleza kwamba Wananchi...
  2. DR Mambo Jambo

    Kenya: Madaktari wafanya maandamano kushinikiza Serkali kusikiliza madai yao na kuboresha stahiki zao

    Madaktari pamoja na Clinical Officer Kenya wamefanya maandamano Kushinikiza Serkali kusikiliza Madai yao na Kuboresha Stahiki zao pia.
  3. M

    Maandamano makubwa yafanyika Niger kuitaka Marekani na mataifa mengine kuondoka Niger

    Idadi kubwa ya watu walijitokeza katika mji wa Yamai, mji mkuu wa Jamhuri ya Niger, wakitaka wanajeshi wa Marekani na nchi nyingine kuondoka nchini humo. Niger tayari imefuta makubaliano ya kijeshi na Marekani mwezi uliopita, na hii inakuja miezi michache baada ya mamlaka ya kijeshi ya nchi...
  4. K

    Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  5. kipara kipya

    Lipumba kushiriki maandamano ya kupinga mauji ya Palestina

    Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba Ijumaa April 05.2024 anatarajia kushiriki maandamano yaliyoandaliwa na waumini wa Kiislam wa dhehebu la Shia yanayolenga kupinga mauaji ya Halaiki na dhulma dhidi ya raia wa Palestina, yanayotarajiwa kufanyika Ilala Boma, Dar es Salaam...
  6. Lady Whistledown

    Togo: Upinzani waitisha Maandamano kupinga Ucheleweshwaji wa Uchaguzi

    Vyama Vinne vya Upinzani vimeitisha maandamano makubwa kuanzia Aprili 8, 2024 ili kupinga kucheleweshwa kwa Uchaguzi Mkuu uliotarajiwa kufanyika Aprili 20, 2024 huku tarehe mpya ikiwa bado haijawekwa wazi Vuguvugu la Kisiasa limeongezeka Nchini humo baada ya Bunge kupitisha mabadiliko ya Katiba...
  7. Erythrocyte

    Rais Samia asaini miswada ya Sheria za Uchaguzi

    Taarifa zilizosambazwa kwa vyombo vya Habari Nchini Tanzania zinaeleza kwamba Rais wa Nchi hiyo amesaini ile Miswada mibovu inayopingwa na kila mwenye akili timamu Bila Shaka kwa kitendo hiki inamaanisha kwamba Rais Samia AMEWAPUUZA KABISA WALE WOTE WANAOPINGA MISWADA HIYO MIBOVU YA SHERIA ZA...
  8. S

    Gazeti Darasa Huru ni gazeti makini au la kimkakati?

    Wakuu ni mara ya nne leo ninakutana na gazeti hili mezani. Nimejaribu kulifuatilia stori na makala zake nimebaki kujiuliza swali kuwa hili ni gazeti makini au la kimkakati? Nimekutana na makala za wachambuzi makini kama vile Absolom Kibanda, Victor Makinda Dismas Lyassa na wengine wengi...
  9. Chachu Ombara

    ACT Wazalendo: Tunaamini katika siasa za hoja, si maandamano

    Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu akihojiwa katika kipindi cha Super breakfast cha East Africa Radio amesema kuwa Wao ACT Wazalendo wanaamini kwenye uhuru na haki mtu kujieleza anavyotaka, ikiwemo pia kwa njia za maandamano, lakini ACT Wazalendo wanasema wanawekeza na kufanya...
  10. BARD AI

    Rais wa Senegal akubali kubadili tarehe ya Uchaguzi Mkuu baada ya shinikizo la Maandamano

    SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani. Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
  11. Heparin

    Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  12. Kamanda Asiyechoka

    Bora Taifa liwe na Rais kama Hayati Magufuli kuliko kuwa na Rais anayeruhusu maandamano ‘uchwara’ huku ufisadi ukitamalaki

    Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeya na Arusha nini cha maana taifa limepata? Kuingilia msafara wa Biteko? Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika. Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya...
  13. Nkaburu

    Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  14. Heparin

    Thomas Sabaya: Mkichagua Wapinzani Serikali haitawaletea Maendeleo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma muhimu kwenye maeneo yatakayokaliwa na viongozi wasiotokana na CCM. Sabaya aliyekuwa akizungumza...
  15. 1

    Kwanini CHADEMA haifanyi maandamano Moshi?

    Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana. This is cheap politics.
  16. J

    Tundu Lissu anataka biashara zifungwe na magari yazuiwe siku ya maandamano ya CHADEMA

    Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
  17. Mto Songwe

    Aina za maandamano

    Katika suala la maandamano kuna aina mbili maarufu za maandamano. Moja maandamano ya amani haya pia unaweza kuyaita maandamano ya hisani au matembezi ya hisani . Ni aina ya maandamano ambayo huhusisha njia za amani katika kukemea, kupongeza, kuunga mkono au kuonesha hisia kuhusu jambo fulani...
  18. P

    Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

    Lissu amesema sehemu nyingine duniani Polisi hutaja njia ambako maandamano yatapita na kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara pamoja watu wanaotumia barabara hiyo wajue itatumika kwa maandamo, lakini maandamano ya CHADEMA yanafanyika huku magari yanaingilia msafara wao wa maandamano. Akiongeza...
  19. Erythrocyte

    Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

    Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha. Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. Kama...
  20. B

    Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

    February 5, 2020 Kilosa, Tanzania Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha Wakati wa ukaguzi wa uharibifu wa njia ya reli ya kati sehemu za Gulwe na Kilosa, wataalamu wa ujenzi wa reli wamebainisha kuwa Tanzania itaendelea kuitumia...
Back
Top Bottom