Kwanini CHADEMA haifanyi maandamano Moshi?

Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.

This is cheap politics.
Sijui huu ujinga umeurithi kutoka kwenye ukoo wenu au kutokana na kujiokotea majina tuu?
Usiulize maswali ya kitoto namna hii kwenye baraza la watu wazima!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.

This is cheap politics.
Kwanini swali lako haujalielekeza kibaha mkoa wa Pwani au Morogoro.
 
Wanawapenda ndugu zao,hawataki wafe...hicho chama ni cha ukabila sana,wako tayari kuwauwa watu ambao sio wa kabila lao ili waendelee kuingiza pesa, hiyo kampuni liyovaa koti la kisiasa sio chama cha siasa...Sikia hoja zao za kitoto eti maandamano ya moshi yamefanyika Arusha,mtu atoke moshi aje afanye maandamano Arusha?Chadema wapuxbavu sana...mwaka 2015 kulikuwa na miemuko ya maandamano kutoka kwa wananchi takribani kila mkoa lakini fikiri moshi maandamano hayafanyika ila Arusha na mikoa mingine ilifanyika na watu wengi walikufa enzi hizo.
 
Wanawapenda ndugu zao,hawataki wafe...hicho chama ni cha ukabila sana,wako tayari kuwauwa watu ambao sio wa kabila lao ili waendelee kuingiza pesa, hiyo kampuni liyovaa koti la kisiasa sio chama cha siasa...Sikia hoja zao za kitoto eti maandamano ya moshi yamefanyika Arusha,mtu atoke moshi aje afanye maandamano Arusha?Chadema wapuxbavu sana.
Kwanini haijafanya maandamano Shinyanga?? Kwanini haijafanya Iringa?
 
Nimekuwa najiuliza sana kuna nn Moshi hadi maandamano na vurugu za chadema zinafanyikiaga arusha, watu wa arusha mjiangalie sana.

This is cheap politics.
Kwa nini hafanyi Musoma?

Ni vizuri kutumia akili. Kama maamuzi yalikuwa maandamano yafanyike kwenye majiji, hata akili ndogo tu ya kujiuliza, je, Moshi ni jiji, imekosekana?
 
Unataka mabomu yapigwe nyumbani?

Naona amewapata msio na akili. Mnamwona ameuliza swali la maana.

Kumbe na wewe una akili ndogo kama mleta mada?

Maamuzi ilikuwa awamu ya kwanza maandamano yafanyike kwenye majiji. Moshi ni jiji?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom