maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Uchaguzi 2020 Mtazamo: Tunakoenda watu watakuwa tayari kujitokeza na kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kujitokeza kwenye mikutano ya kampeni

    Kwa yanayoendelea,wananchi wanapata picha kuwa hakuna tena uchaguzi na hivyo hakuna maana yoyote ya kushiriki mikutano ya kampeni kwani hakuna tena kinachoitwa uchaguzi kwa maana ya uchaguzi kwa sifa zake. Hivyo, wananchi hawa wataamasika zaidi kuitikia wito wa maandamano ya amani kuliko kwenda...
  2. Analogia Malenga

    Maandamano yaendelea Belarus, kumtaka Rais ajiuzulu kwa kudanganya kwenye Uchaguzi

    Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki. Maandamano haya yameelezwa na wachambuzi wa mambo kuwa ndio makubwa zaidi kuwahi...
  3. Mag3

    Kitendawili cha Polisi kuzuia mikusanyiko, mikutamo na maandamano kama inavyoruhusiwa na Katiba chateguliwa!

    Yawezekana watu wengi wanashangaa kwa nini hali imeendelea kuwa shwari toka Mh. Tundu Lissu atue nchini. Binafsi nawapongeza Watanzania wenzangu, asanteni Watanzania popote mlipo. Watanzania kwa mamia na maelfu wameweza kujitokeza kwa wingi na kuandamana kwa amani bila misukosuko yoyote kutoka...
  4. Analogia Malenga

    Lebanon: Watu 728 wajeruhiwa katika maandamano

    Takribani watu 728 wamejeruhiwa na polisi mmoja ameripotiwa kufa katika maandamano yanayoendelea Lebanon, baada ya kutokea mlipuko katika Bandari ya Beirut Mamlaka za Lebanon zinawashikilia watu 19, huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko huo ulioua watu 158 na kujeruhi zaidi ya 6,000, idadi...
Back
Top Bottom