Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa nusu. Hii hutokea takriban kila miaka minne, na imeundwa kudhibiti idadi kamili ya Bitcoin...
Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving.
Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni vyema kuzingatia baadhi ya mambo ili kuifanya BTC iwe inflatable, Ikiwa kama fedha ya kawaida inaweza...
"Hello friend..!
Are you there?
Are you struggling with the issue of finding employment or is the salary you're getting not enough and you need to start your own business?
Well, this information is for you, stay with me from the beginning to the end...!
In 2020, I completed my A-levels at...
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo:
Hatari za Biashara ya Bitcoin:
Tete: Thamani ya Bitcoin inaweza kubadilika sana kwa muda mfupi. Hii inamaanisha...
Wadau, nakumbuka Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusisituza vijana kucheza Bitcoin. Kuna kampuni ya Bitcoin imeniimgiza huko. Na inanitaka nianze Kwa kuwekeza $200 kwamba nitavuna $360. Je Kuna ukweli wowote katika Bitcoin?
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida.
Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200.
Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
Bitcoin mining is a complex but rewarding process that helps to secure the Bitcoin network and create new Bitcoins. While the cost of mining has increased in recent years, it can still be a profitable endeavor for those who are willing to invest in the necessary hardware and software...
The author of the bestseller "Rich Dad, Poor Dad" believes that the world economy is about to collapse. According to the financier's forecast, all key assets, including precious metals and bitcoin, will fall in price📊
But this is not a cause for concern, Kiyosaki is sure. You just need to...
NB: Uzi ni mrefu, kinoma 👽
Uchumi wa dunia umekuwa ukidorora kwa miezi (Kama sio kwa miaka) kadhaa sasa, na mdororo huo umeathiri pia thamani ya cryptocurrencies kwa kiwango cha kutisha. Watu wamepoteza mabilioni ndani ya muda mfupi, kiasi ambacho wengine wamechukua maamuzi magumu ya kujiondoa...
Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.
Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.
Renec iliingia sokoni ikiwa na thamani ya $ 0.1 lakini ndani ya saa 24 ilipanda thamani hadi kufikia $ 3+...
Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri kirahisi hufundishwa hapa.
Mkuu wa wasaidizi wa Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati ‘Central Republic of Africa’ (CAR) Obed Namsio alisema mswada unaosimamia matumizi ya ‘cryptocurrency’ ulipitishwa kwa kauli moja na bunge wiki iliyopita na Rais anaunga mkono muswada huo akidai utaboresha hali ya raia wake
Jamhuri ya...
Leo Jumatatu bunge la Ulaya litapiga kura kuhusu matumizi ya bitcoin na sarafu nyingine.
Matokeo ya kura hiyo yataamua kuhusu matokeo ya baadae ya bitcoin.
Wanatumia kigezo cha mazingira kwakuwa uchimbaji wa bitcoin unatumia nishati kubwa ambayo uzalishaji wake unachafua mazingira.
Hii kura...
Habari,
Mchambuzi maarufu wa fedha ya kidigitali ameendelea kuwekeza kwenye sarafu ya Shibu In ($SHIB) japo sarafu ya $DOGE ikitegemewa kuanza kufanya vizuri baada ya hivi karibuni kupata ridhaa ya kutumika kwenye manunuzi ya baadhi ya bidhaa vya kampuni la magari ya umeme, Tesla.
Mchambuzi...
Habari zenu JF
mimi ni mmoja wa watumiaji wa sarafu za kidigital kwa jina crypto currency.
Nitapenda kutoa historia ya kwa nini kuanzishwa sarafu hizi ni ilikuwa kwa ajili ya nini na kwa sababu hipi.
Tuna fahamu tokea dunia kuanza mpaka kufika leo mifumo mingi ya malipo ilianza kwa...
1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya
2. Mafuta na Gesi
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.
Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.