Wito wangu ni kwa Mh Rais.. tunaomba uziangalie hizi taasisi mbili kwa upya kwa sababu hawafanyi kazi zao zinavyopaswa na kuumiza watanzania kwa kiasi kikubwa sana.
TBS IMESHINDWA KUWAJIBIKA VITU FAKE NI VINGI NA VIMETAPAKAA NA HAKUNA ANAYESHUGHULIKA
Tukianza kuanzia mafuta,sabuni (vipodozi...
Nilisikiliza mjadala wa NSSF Kenya - LIVE, nikaona kikokotoo chao kina endana endana na vya Nchi za wenzetu...
Fikiria Mfanyakazi wa Kenya hukatwa 5% ya Mshahara na muajiri humchangia 5% kufanya jumla ya michango iwe 10% lakini akistaafu hupata wastani wa pension ya nusu ya Mshahara wake kila...
Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.
Kwanza vifungashio vyake vingi...
Na haya yote ni madhara ya kuruhusu uwekezaji wa wachina kiholela holela , kuna viwanda bubu vingi sana vina zalisha bidhaa bandia hapa dar es salaam na vingi ni vya wachina TBS wapo TFDA wapo ,
Wao wanakaa maofisini kusubiri mtu awape mchongo ndio wajifanye kuita waandishi kujifanya wapo...
Naombeni ushauri namna ya kuongeza imani yangu kwa haya mashirika wadhibiti ubora!
Yamkini wanafanya kazi nzuri sana lakini imani yangu kwao ilishakufa kabisa!
Yaani ni mara mia uniambie hiki kitu ni bora kwa reference zingine tofauti na haya mashirika ya ubora tz!.
Kila nikiona nembo ya...
Tani 130 za mchele wa Kampuni ya Sahal General Store Zanzibar zimeharibika moja ya sababu ikidaiwa ni kukaa kwenye makontena bandarini muda mrefu bila kushushwa.
Tani hizo zimebainika leo Machi 11, 2023 baada ya kampuni hiyo kuhisi kuharibika kwa mchele huo na kutoa taarifa kwa Wakala wa...
Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
Tamko la makamu wa Rais kwamba samaki, na pengine nyama zinazouzwa zinaleta kansa, kwa kweli linaleta ukakasi.
Mamlaka ya chakula, tunahitaji ukaguzi wa kina nchi nzima, na taarifa za Kila siku au mwezi au wiki zitolewe
Wakuu hasa wale Wataalamu Wa Chemical na Hata Physics Kwa Ujumla nataka kupata Ufafanuzi hapa Kidogo!
Chupa zetu za Kuhifadhi Joto La Vinywaji au Vimiminika Kama Chai, Kahawa au Maji Moto Ndani Imegundulika Kuna Vidonge!! Naam Ni vidonge!
Video hii inasambaa Mtandaoni Kuhusu Hili Jambo!! TFDA...
Mamlaka zetu nyingi zimekuwa zikifanya kazi katika mfumo ule ule wa zamani tofauti na hali halisi ya sasa.
Kwenye masoko ya vyakula hali ni hatari mno maana wananchi wengi wanalishwa sumu bila kujua,na lengo la mfanyabiasha ni kupata pesa bila kujali anaenda kumuumiza mlaji.
Juzi kuna Mama...
Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha.
Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.