Habari ndugu wana JF.
Kama mada inavyosema. BInafsi nina mpango wa kufanya safari nje ya mipaka ya Tanzania 🇹🇿 kwa njia ya basi kwenda nchi za Sadc na Eac kwa dhumuni la kutalii(Kutembea). Tayari nina documents zote muhimu kama yellow fever, COVID-19 certificates na Passport.
Naomba kufahamishwa yafuatayo;
a) Namna gani naweza kusafiri na hela ya matumizi huko niendako( Je nibebe fedha cash ya nchi husika mfano kama naenda zambia 🇿🇲 nibebe kwacha mfukoni niende nazo au niwe na account kwenye Banks zenye matawi huko niendako? Vp changamoto ya kupata atms maana sifahamu niendako atms zinapatikana wapi?
b) Namna bora ya kupata accommodation (Lodges & hotels) nzuri na salama.
C) Nawezaje kufanya mizunguko baada ya kufika eneo husika bila kupotea eneo nililofikia mfano nimefika lusaka nataka kufanya City tour na kurudi Lodge kwa urahisi bila kupotea
Asante!