HUKU ABROAD
Senior Member
- Nov 20, 2020
- 127
- 210
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko
1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu , au Family friend
ambapo hao ndio watakuandikia barua wewe ya kwenda kuwatembelea kwa
sababu fulani ya Msingi
2. Mualiko wa Haina ya Pili ni Kwenye Conference , Kwa mwezi nchi za wenzetu
conference zinafanyika kwa mwezi zaidi ya 1000 , na zipo conference nyingi na kila
conference ina Taratibu zake za Kualikwa
A) Mualiko wa Kulipia ikijumuisha Chakula na Transport kwa kipindi chote
cha Mkutano
b)Mualiko wa pili ni mialiko ambayo sio ya Kulipia , Ni conference ambazo
baadhi ya makampuni hufanya bure watu kushiriki kutokana na haina
ya Conference
Kwa hvyo basi wengi huenda kwa kupata mialiko ya Kulipia kwa sababu huwa imenyooka
haina kona kona
Kwa yeyote yule mwenye Changamoto ya Kupata Mualiko wa Kusafiria nitafute nikusaidie
whats No +255 696444464 ... Maswala na Maelekezo ni bure nitafute