Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi?
Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao?
Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi mmoja ndani anamalahi yake kwa kutaka mtu wake apite?