Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera.
Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma...
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV.
Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
Ushawahi kujiuliza nani atakuandaaa siku yako ya mwisho pale mwili utakapotengana na roho, nani atakuosha, nani atakuvisha? au ushajiuliza inakuwaje pale mtu anapofariki katika ajali viungo vyake vya mwili vikatengana, utumbo ukatoka nje?
Maswali hayo yakanifanya nifunge safari mpaka Hospitali...
Karibu nikukutanishe na mkulima kutoka Jijini Mbeya Rafael Saimon Ndelwa, Mmiliki wa Kampuni ya Rapha Group iliyo Uyole Mkoani hapo.
Rapha ni miongoni mwa Mabilionea wa Mkoa wa Mbeya na utajiri wake unatokana na Kilimo cha mpunga, kilimo ambacho kilimfanya Bilionea Bill Gate amuite ili waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.