Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira

Iwaay

Member
May 21, 2016
36
55
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma wanaowaambia vijana wajiajiri wenyewe wanaomba ajira kwa wananchi. Swali ivi mimi kijana niliyezaliwa kijijini ni kasoma kwa mshumaa na mwanga wa mbalamwezi afu baadae nikasoama kwa mkopo wa Serikali nikamaliza chuo nikijua naajiriwa sasa na ambiwa nijiajiri wakati hata elimu ya ujasiria Mali sikufundishwa nijiajiri vip?. Wanasiasa na ahadi zao duh balaa sana.
 
Kuna kozi inatolewa hapa bongo bila mafunzo ya ujasiliamali?

Labda watz wengi hatutilii maananan ila mafunzo hayo yapo,, sijui kwa koz uliyosoma ila binafsi mbali na kozi ya msingi nliyosoma nmefundishwa pia ujasiriamali
 
Chief unapotosha,Rais alitoa kauli hiyo akifungua majengo ya Magereza Dodoma..

Alikuwa akimjibu CGP Wa magereza,aliyemuomba amuongezee wafanykazi/askari wa wafungwa kwani wote waliopo wamwpandishwa vyeo,ndipo mama akamjibu hao waliopanda vyeo hawawezi simamia wafungwa???Si vinginevyo sheikh
 
Nchi ngumu sana hii, Mheshimiwa Rais Mama Samia anasema hatatoa kwanza ajira kwanza ili awapandishe madaraja walioko kazini,duh ukijiuliza yupi mwenye uhitaji kati ya ambaye Hana ajira na ambaye ana ajira?. Leo hii vijana wapo mitaani wakiambiwa wajiajiri wenyewe lakini ukirudi nyuma wanaowaambia vijana wajiajiri wenyewe wanaomba ajira kwa wananchi. Swali ivi mimi kijana niliyezaliwa kijijini ni kasoma kwa mshumaa na mwanga wa mbalamwezi afu baadae nikasoama kwa mkopo wa Serikali nikamaliza chuo nikijua naajiriwa sasa na ambiwa nijiajiri wakati hata elimu ya ujasiria Mali sikufundishwa nijiajiri vip?. Wanasiasa na ahadi zao duh balaa sana.
Mwenye nacho huongezewa
 
Back
Top Bottom