hospital

  1. B

    Nimeruhusiwa Hospitali ya Milembe

    Nashukuru sana watu waliojitahidi kuwa na mie bega kwa bega wakati napata matibabu ya ugonjwa wa akili pale Hospital ya Magonjwa ya Akili Milembe, nikiwa nasumbuliwa na ugonjwa wa Bipolar Disorder. Ama kweli nimeweza kuhudumiwa vizuri na sasa nipo vizuri na naendelea poa. Nilikuwa napata mood...
  2. Hismastersvoice

    Je, Aga Khan Sea View, ni kwa wahindi, wabunge, mawaziri na viongozi wa juu wa Serikali tu?

    Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya ilipokelewa na nikapewa jibu kuwa siwezi kutibiwa kwenye hospitali hiyo! Haikuwa shida kwangu...
  3. Tman900

    Naomba kujuzwa Hospital inayotibu mtu alievunjika mfupa

    Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
  4. Chizi Maarifa

    Hospitali za Gaza zafurika majeruhi, Wapalestina huko Gaza waiomba Dunia iingilie kati

    Hakuna haja ya salamu. Hali imezidi kuwa mbaya kwa upande wa Palestina baada ya kuanzisha mashambulizi Israel. Waisrael wameendelea kumimina mabomb maeneo mbalimbali ya palestina hasa huko GAza na kuleta hali ya Umauti Mauti kwa wakazi wa eneo hilo. Wapalestina wengi wameonekana wakisikitishwa...
  5. mdukuzi

    Kama hujui English usiende kutibiwa The Aga Khan Hospital DSM bila mkalimani,utaumbuka!

    Nilikuwa nasumbuliwa na tatizo fulani la kiafya. Baada ya kuzunguka hospitali nyingi bila nafuu,mwananzengo akaniambia niende Aga Khan. Kufika pale nskutana na specialist mwenye asili ya kiasia hajui kiswahili,nilijiuliza sana ingekueaje kama ningekuwa sijui kujieleza kiufasaha kwa lugha ya...
  6. M

    Waziri Ummy, Kitengo cha Magonjwa ya Akili Hospitali ya Taifa Muhimbili dawa zinauzwa bei ghali kulinganisha na maeneo mengine

    Hospitali ya Taifa Muhimbili Upanga. Kitengo cha magonjwa ya akili wanauzia wagonjwa dawa kwa Bei ya juu sana Nina mgonjwa wangu huwa nampeleka kuchua dawa hapo, mwezi uliopita nilinunua dawa kwa shilingi 11,000 juzi nilienda mhimbili naambiwa dawa 54,000, na ni dawa hizo yaani carbamazipine...
  7. L

    Source Code ya Python Hospital management System

    Wakuu siku kadhaa nilipost kuwa nimeanza kujifunza python. Nashukuru wadau walinipa mwongozo. Kuptia python niliweza kuweza kuelewa rahisi kidogo C++ kuliko awali nilikuwa sielewi kirahisi. Naweza kusema Python imenipa msingi. So nafanya nayo mazoezi ya hapa na pale ila nimeamua nitahamia Dart &...
  8. Jamii Opportunities

    Senior Program Officer – Haydom Lutheran Hospital

    Position: Senior Program Officer Job description Program Advisor: Provide support to HLH to secure efficient program implementation. Review program plans, develop proposals and budgets, and carry out project implementation support, monitoring, and report writing. The focus of the programmatic...
  9. Mganguzi

    Hospital teule ya isoko ,itabaki magofu kama serikali haitachukua hatua, imechoka na haitamaniki Tena!

    hii ni hospitali ni yenye historia kubwa ukanda wote wa mbeya na hasa wilaya ya ileje ! Ndio ilikuwa tegemeo kuanzia miaka ya 1951 ilipokuwa zahanati Hadi kufikia 1961 ilipokuwa hospitali kamili ..hospitali hii kulingana na jiografia yake wagonjwa walikuwa hawabebwi na ambulance kulingana na...
  10. benzemah

    Mwanamke anayejitolea kukumbatia Watoto Njiti waliotelekezwa Hospitali ya Amana

    Mwanamke mmoja mkazi wa Kinyerezi, Tabata jijini Dar es Salaam, Mariam Mwakabungu (25) amejitolea kuokoa maisha ya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (njiti) na wanaotelekezwa na mama zao katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa Amana. Mariam ambaye ni mke na mama wa watoto wawili, alianza kutoa...
  11. B

    DOKEZO Hospitali ya Rufaa Shinyanga haina mochwari

    HOSPITALI mpya ya Rufani mkoani Shinyanga iliyopo Mwawaza Manispaa ya Shinyanga haina jengo la kuhifadhia Maiti, pamoja na kukabiliwa na upungufu mkubwa wa madaktari bingwa. Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Dk. Yudas Ndugile amebainisha hayo jana kwenye ziara ya Waziri wa Afya Ummy Mwalimu...
  12. Mayor Quimby

    Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa ruhusa rasmi kwa Madaktari nchini walioajiriwa na serikali kufanya kazi Binafsi kwenye Hospitali za serikali baada ya muda wa kazi kuisha. Waziri Ummy ametangaza uamuzi huo leo Mkoani Simiyu, wakati akizungumza na watumishi wa Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa...
  13. comte

    Tupate mkataba wa uendeshi wa hospital za Bugando (TEC) na KCMC (KKKT) ili tujadili bandari vizuri

    Hospital za Bugando na KCMC zinamilikiwa na makanisa na zinaendeshwa kwa ubia na serikali ya JMT. Ninafikiri mikataba yake ingetusaidia sana kwenye mjadala unaoendelea wa bandari
  14. Expensive life

    Wanaume waliofanyiwa Tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa ya kuwaridhisha wenza wao tofauti na wale waliofanyiwa hospitalini

    Ikumbukwe kuwa wanawake hufurahia tendo pale g sport yake inaposuguliwa na uume ipasavyo. Wanaume waliofanyiwa tohara kwa njia ya asili wananafasi kubwa sana ya kuifikia g sport ya mwanamke kwa sababu ziguatazo. Wakati wanapofanyiwa tohara ile ngozi ya mbele inapokatwa huwa aikatwi yote...
  15. Kinengunengu

    Nilivyonusurika na Mauti pale Hospitali ya Mpanda

    Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti. Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini. Tuliagiza na kula nyama choma...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Historia ya Sewa Haji Paroo (1851-1897), Muasisi wa Hospitali ya Muhimbili

    Sewa Haji Paroo alijenga jengo la kutoa huduma za afya kwa watu mbalimbali. Picha na Charles Kayoka. =================== Sewa Haji, soma historia ya mtu alietukuka. Ndie alietajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie...
  17. Forgotten

    Ni kwanini Phlebotomists hawataki kufanya hand hygiene?

    Habari wana-JF! Hili ni jambo linalonishangaza kwenye Hospitali na vituo vya afya vingi hapa nchini. Pindi unapofanya kipimo cha damu, Phlebotomist huwa hafuati taratibu za kiafya kwa kuvaa gloves au ku-sanitise mikono. Unakuta anaingia na kutoka Maabara na kwenda kupeleka majibu ya vipimo kwa...
  18. Mganguzi

    Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  19. GENTAMYCINE

    Mayele anaweza Kucheza bila Shida Vilabu Vidogo EPL atakayebisha awahi Wodini Milembe Hospital

    Nafuatilia sana Ligi Kuu ya Uingereza EPL kuna baadhi ya Wachezaji nawaona kabisa hawana Uwezo alionao Fiston Kalala Mayele na hivyo GENTAMYCINE kwa Kujiamini kabisa nasema hapa kuwa zipo Timu Ndogo EPL Mayele anaweza Kucheza tena kwa kuingia moja kwa moja katika First Eleven yao / yake. Uzi...
  20. Poppy Hatonn

    Leo nimepita maeneo ya Muhimbili Hospital nimenunua barakoa

    Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji. Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe...
Back
Top Bottom