Nilivyonusurika na Mauti pale Hospitali ya Mpanda

Kinengunengu

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,719
4,310
Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti.

Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini.

Tuliagiza na kula nyama choma pamoja na vinywaji na wenzangu walikunywa bia mi nikawa nakunywa Soda. Tulimaliza kula then kila mtu akaenda kwake.

Asubuhi nilivyoamka nikaanza kutapika, tumbo kuuma sana na kuharisha. Nikawapigia wenzangu nikihofu labda nyama ilikuwa mbaya na nikahisi labda tumepata kipindupindu. Jamaa wao walikuwa safi hawana tatizo lolote. Binafsi huwa mgumu sana wa kumeza dawa au kwenda Hospitali lakini muda ulivyozidi kwenda hali ilikuwa mbaya. Ikanibidi nienda hospitali ya mkoa pale Mpanda Mjini sijui sasa ni ya kanda au. Kufika pale hali ikawa mbaya. Wakaniattend na kisha nikalazimika na kuwekewa drip.

Pale Hospitali kwenye wodi niliyolazwa, nilikuta mtu mmoja ninayemfahamu naye alilazwa tukawa tumeweka kwenye kale kachumba separate. Mwenzangu aliumwa sana kwani alianguka tokana na ulevi. Kufika usiku hali ilimbadilikia yule mwenzangu nikaamua kwenda kumwamsha Dr ili amsaidie. Dr akamchoma sindano na kumuweka drip ila jamaa akawa anaichomoa drip.

Asubuhi kukakucha, mi tumbo liliachia ila waligundua pia nina Malaria. Nikaanza drip za Quinine Asubuhi Kufika saa 4 ikiisha. Wakaniambia wataniwekea nyingine saa 10 jioni. Yule mwenzangu kulipopambazuka akawa vizuri tukawa tunaongea na kunywa chai na juice pamoja nilizoletewa na marafiki zangu.

Saa 10 wakaniwekea drip nyingine na nikala chakula vizuri pia wenzangu walikuja wakiwa na dereva mmoja wa kazini. Ilipofika Saa 11 jioni wakaaga kuondoka, mi ghafla nikashangaa nyanza kukumbuka kitu nilichoongea na dereva miezi 3 iliyopita na nikaanza kumwambia dereva kuwa tulishawahi kuongea mimi na wewe "kuwa mimi nikifa hamtakiwi kuweka jeneza langu juu ya carrier ya Gari lilivyo nitakunja miguu ndani ya jeneza". Tukiwa tunaongea hayo yule mgonjwa mwenzangu aliyekuwa anasumbuliwa usiku alikuwa nje.

Kidogo jamaa akaja ndani na kuniambia "Kinengunengu ulikua unajua jana usiku kuwa mimi nitakufa, Mi sifi ila wewe ndio utakufa jioni hii". Ghafla niliona mawenge, hofu kuu ya mauti ikaniingia. Mimi ni mnene ila sikuwahi kuwa na pressure wala Sukari ila ghafla Pressure ikafika 280 na sukari ikishuka kwenda 2. Moyo ukawa unanipiga kwa nguvu hadi nasikia maumivu na mapigo yanavyopiga. Nikawa kama nimewehuka. Nikaanza kuita madaktari waje nisaidie na kuwaita manesi waje nisaidie huku nawapigia rafiki zangu waje pale hospitali. Nikawa kama na weweseka na Mauti.

Nikiwa kwenye hali hiyo, nikamkumbuka Mungu na kipindi hiki nilikuwa kijana muhuni tu siendi kanisani wala siamini katika Mungu japo nilikulia katika familia ya wazee wa Kanisa. Nikajikuta "nakemea katika Jina la Yesu, sifi na nitaishi ili niyashuhudie matendo makuu ya Mungu aliyonitendea katika maisha yangu". Pale pale Mawenge yakaisha, nikawa na utulivu, mapigo ya moyo yakawa sawa na majama zangu wakaja na daktari na akaniwekea drip ya kushusha pressure na kufika saa 1 usiku. Pressure ikakaa normal na sukari nayo ikakaa normal.

Huwa ikifika tarehe hii, nakumbuka tukio hilo kwani nilikuwa nalala Mauti siku ile ila mbaya zaidi nilikuwa nalala Mauti katika dhambi na watoro wangu walikuwa wadogo sana. Toka siku hiyo niliamua kumtumikia na kumtafuta Mungu kwenye maisha yangu.

Nawakumbuka sana jamaa zangu niliokuja waacha Mpanda baadaye akina Dotto, Deo na Joseph yule aliyekuwa katibu wa CCM. Pia nakumbuka ndugu, bosi na rafiki yangu Olimaalbert R.I.P. Tutaonana kwenye Pambazuko lile la Milele kwenye karamu ya Mwana kondoo. Mungu yupo wadau na Mungu ni kweli. Tukio lile limebadilisha ukurasa wa maisha yangu.
 
Huwa ikifika tarehe hii, nakumbuka tukio hilo kwani nilikuwa nalala Mauti siku ile ila mbaya zaidi nilikuwa nalala Mauti katika dhambi na watoro wangu walikuwa wadogo sana. Toka siku hiyo niliamua kumtumikia na kumtafuta Mungu kwenye maisha yangu. Nawakumbuka sana jamaa zangu niliokuja waacha Mpanda baadaye akina Dotto, Deo na Joseph yule aliyekuwa katibu wa CCM. Pia nakumbuka ndugu, bosi na rafiki yangu Olimaalbert R.I.P. Tutaonana kwenye Pambazuko lile la Milele kwenye karamu ya Mwana kondoo. Mungu yupo wadau na Mungu ni kweli. Tukio lile limebadilisha ukurasa wa maisha yangu.

Amen ila kifo kipo pale pale siku ikifika inshaallah,ila kufa kabla ya wakati mwenyezi Mungu atuepushe na roho wa mauti
 
Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti.

Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini.

Tuliagiza na kula nyama choma pamoja na vinywaji na wenzangu walikunywa bia mi nikawa nakunywa Soda. Tulimaliza kula then kila mtu akaenda kwake.

Asubuhi nilivyoamka nikaanza kutapika, tumbo kuuma sana na kuharisha. Nikawapigia wenzangu nikihofu labda nyama ilikuwa mbaya na nikahisi labda tumepata kipindupindu. Jamaa wao walikuwa safi hawana tatizo lolote. Binafsi huwa mgumu sana wa kumeza dawa au kwenda Hospitali lakini muda ulivyozidi kwenda hali ilikuwa mbaya. Ikanibidi nienda hospitali ya mkoa pale Mpanda Mjini sijui sasa ni ya kanda au. Kufika pale hali ikawa mbaya. Wakaniattend na kisha nikalazimika na kuwekewa drip.

Pale Hospitali kwenye wodi niliyolazwa, nilikuta mtu mmoja ninayemfahamu naye alilazwa tukawa tumeweka kwenye kale kachumba separate. Mwenzangu aliumwa sana kwani alianguka tokana na ulevi. Kufika usiku hali ilimbadilikia yule mwenzangu nikaamua kwenda kumwamsha Dr ili amsaidie. Dr akamchoma sindano na kumuweka drip ila jamaa akawa anaichomoa drip.

Asubuhi kukakucha, mi tumbo liliachia ila waligundua pia nina Malaria. Nikaanza drip za Quinine Asubuhi Kufika saa 4 ikiisha. Wakaniambia wataniwekea nyingine saa 10 jioni. Yule mwenzangu kulipopambazuka akawa vizuri tukawa tunaongea na kunywa chai na juice pamoja nilizoletewa na marafiki zangu.

Saa 10 wakaniwekea drip nyingine na nikala chakula vizuri pia wenzangu walikuja wakiwa na dereva mmoja wa kazini. Ilipofika Saa 11 jioni wakaaga kuondoka, mi ghafla nikashangaa nyanza kukumbuka kitu nilichoongea na dereva miezi 3 iliyopita na nikaanza kumwambia dereva kuwa tulishawahi kuongea mimi na wewe "kuwa mimi nikifa hamtakiwi kuweka jeneza langu juu ya carrier ya Gari lilivyo nitakunja miguu ndani ya jeneza". Tukiwa tunaongea hayo yule mgonjwa mwenzangu aliyekuwa anasumbuliwa usiku alikuwa nje.

Kidogo jamaa akaja ndani na kuniambia "Kinengunengu ulikua unajua jana usiku kuwa mimi nitakufa, Mi sifi ila wewe ndio utakufa jioni hii". Ghafla niliona mawenge, hofu kuu ya mauti ikaniingia. Mimi ni mnene ila sikuwahi kuwa na pressure wala Sukari ila ghafla Pressure ikafika 280 na sukari ikishuka kwenda 2. Moyo ukawa unanipiga kwa nguvu hadi nasikia maumivu na mapigo yanavyopiga. Nikawa kama nimewehuka. Nikaanza kuita madaktari waje nisaidie na kuwaita manesi waje nisaidie huku nawapigia rafiki zangu waje pale hospitali. Nikawa kama na weweseka na Mauti.

Nikiwa kwenye hali hiyo, nikamkumbuka Mungu na kipindi hiki nilikuwa kijana muhuni tu siendi kanisani wala siamini katika Mungu japo nilikulia katika familia ya wazee wa Kanisa. Nikajikuta "nakemea katika Jina la Yesu, sifi na nitaishi ili niyashuhudie matendo makuu ya Mungu aliyonitendea katika maisha yangu". Pale pale Mawenge yakaisha, nikawa na utulivu, mapigo ya moyo yakawa sawa na majama zangu wakaja na daktari na akaniwekea drip ya kushusha pressure na kufika saa 1 usiku. Pressure ikakaa normal na sukari nayo ikakaa normal.

Huwa ikifika tarehe hii, nakumbuka tukio hilo kwani nilikuwa nalala Mauti siku ile ila mbaya zaidi nilikuwa nalala Mauti katika dhambi na watoro wangu walikuwa wadogo sana. Toka siku hiyo niliamua kumtumikia na kumtafuta Mungu kwenye maisha yangu.

Nawakumbuka sana jamaa zangu niliokuja waacha Mpanda baadaye akina Dotto, Deo na Joseph yule aliyekuwa katibu wa CCM. Pia nakumbuka ndugu, bosi na rafiki yangu Olimaalbert R.I.P. Tutaonana kwenye Pambazuko lile la Milele kwenye karamu ya Mwana kondoo. Mungu yupo wadau na Mungu ni kweli. Tukio lile limebadilisha ukurasa wa maisha yangu.
Aisee pole sana mkuu
 
Huyo aliekuwa mgonjwa mwenzio, baadae ilikuwaje?

Alipona?
Hukumuuliza kwanini alikuambia hvyo?
Au alikuwa anatania tuu?

Wakati Mwingine Mungu anatumia njia zake kuturudisha kundini.
Jamaa alikufa baada ya mwezi mmoja au miwili mbele. Alisema akimaanisha na alikuwa ananihamishia ile Mauti. Mungu mwema aliniponya katika hilo.
 
Amen ila kifo kipo pale pale siku ikifika inshaallah,ila kufa kabla ya wakati mwenyezi Mungu atuepushe na roho wa mauti
Ni kweli ipo ila Mauti ile haikuwa na Kimungu. Wakati wa Mungu kwangu ulikuwa bado ila ikifika wakati wake, Mauti yake itanichukua. Wengi wanakufa kimwili bila muda wa Mungu kufika na hii inatokea ikiwa huna mahusiano mazuri na Mungu. Turekebishe mahusiano na Mungu wetu wapendwa.
 
Haya yalinitokea mimi mwenyewe. Namshukuru Mungu kwa kunipigania na kuniokoa kwenye Mauti.

Ilikuwa tarehe kama ya leo mwaka 2015, siku mbili kabla nilikuwa na rafiki zangu. Tukaenda sehemu moja ya kupumzika pale karibu na stendi ya zamani ya mabasi Mpanda Mjini.

Tuliagiza na kula nyama choma pamoja na vinywaji na wenzangu walikunywa bia mi nikawa nakunywa Soda. Tulimaliza kula then kila mtu akaenda kwake.

Asubuhi nilivyoamka nikaanza kutapika, tumbo kuuma sana na kuharisha. Nikawapigia wenzangu nikihofu labda nyama ilikuwa mbaya na nikahisi labda tumepata kipindupindu. Jamaa wao walikuwa safi hawana tatizo lolote. Binafsi huwa mgumu sana wa kumeza dawa au kwenda Hospitali lakini muda ulivyozidi kwenda hali ilikuwa mbaya. Ikanibidi nienda hospitali ya mkoa pale Mpanda Mjini sijui sasa ni ya kanda au. Kufika pale hali ikawa mbaya. Wakaniattend na kisha nikalazimika na kuwekewa drip.

Pale Hospitali kwenye wodi niliyolazwa, nilikuta mtu mmoja ninayemfahamu naye alilazwa tukawa tumeweka kwenye kale kachumba separate. Mwenzangu aliumwa sana kwani alianguka tokana na ulevi. Kufika usiku hali ilimbadilikia yule mwenzangu nikaamua kwenda kumwamsha Dr ili amsaidie. Dr akamchoma sindano na kumuweka drip ila jamaa akawa anaichomoa drip.

Asubuhi kukakucha, mi tumbo liliachia ila waligundua pia nina Malaria. Nikaanza drip za Quinine Asubuhi Kufika saa 4 ikiisha. Wakaniambia wataniwekea nyingine saa 10 jioni. Yule mwenzangu kulipopambazuka akawa vizuri tukawa tunaongea na kunywa chai na juice pamoja nilizoletewa na marafiki zangu.

Saa 10 wakaniwekea drip nyingine na nikala chakula vizuri pia wenzangu walikuja wakiwa na dereva mmoja wa kazini. Ilipofika Saa 11 jioni wakaaga kuondoka, mi ghafla nikashangaa nyanza kukumbuka kitu nilichoongea na dereva miezi 3 iliyopita na nikaanza kumwambia dereva kuwa tulishawahi kuongea mimi na wewe "kuwa mimi nikifa hamtakiwi kuweka jeneza langu juu ya carrier ya Gari lilivyo nitakunja miguu ndani ya jeneza". Tukiwa tunaongea hayo yule mgonjwa mwenzangu aliyekuwa anasumbuliwa usiku alikuwa nje.

Kidogo jamaa akaja ndani na kuniambia "Kinengunengu ulikua unajua jana usiku kuwa mimi nitakufa, Mi sifi ila wewe ndio utakufa jioni hii". Ghafla niliona mawenge, hofu kuu ya mauti ikaniingia. Mimi ni mnene ila sikuwahi kuwa na pressure wala Sukari ila ghafla Pressure ikafika 280 na sukari ikishuka kwenda 2. Moyo ukawa unanipiga kwa nguvu hadi nasikia maumivu na mapigo yanavyopiga. Nikawa kama nimewehuka. Nikaanza kuita madaktari waje nisaidie na kuwaita manesi waje nisaidie huku nawapigia rafiki zangu waje pale hospitali. Nikawa kama na weweseka na Mauti.

Nikiwa kwenye hali hiyo, nikamkumbuka Mungu na kipindi hiki nilikuwa kijana muhuni tu siendi kanisani wala siamini katika Mungu japo nilikulia katika familia ya wazee wa Kanisa. Nikajikuta "nakemea katika Jina la Yesu, sifi na nitaishi ili niyashuhudie matendo makuu ya Mungu aliyonitendea katika maisha yangu". Pale pale Mawenge yakaisha, nikawa na utulivu, mapigo ya moyo yakawa sawa na majama zangu wakaja na daktari na akaniwekea drip ya kushusha pressure na kufika saa 1 usiku. Pressure ikakaa normal na sukari nayo ikakaa normal.

Huwa ikifika tarehe hii, nakumbuka tukio hilo kwani nilikuwa nalala Mauti siku ile ila mbaya zaidi nilikuwa nalala Mauti katika dhambi na watoro wangu walikuwa wadogo sana. Toka siku hiyo niliamua kumtumikia na kumtafuta Mungu kwenye maisha yangu.

Nawakumbuka sana jamaa zangu niliokuja waacha Mpanda baadaye akina Dotto, Deo na Joseph yule aliyekuwa katibu wa CCM. Pia nakumbuka ndugu, bosi na rafiki yangu Olimaalbert R.I.P. Tutaonana kwenye Pambazuko lile la Milele kwenye karamu ya Mwana kondoo. Mungu yupo wadau na Mungu ni kweli. Tukio lile limebadilisha ukurasa wa maisha yangu.
Kwa kuadhibiwa kwake sisi tumepata uhai; kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

Amen.
 
Ashukuriwe Mungu
 
Mbona sijaona ulipo nusirika mkuu...🤔
Au mimi ndio sijui maana ya kunusurika...??
 
Yaani wewe Mangi stories zako zote toka nimeanza kuzisoma ni kufakufa. Kwahiyo umerudi machame uduru hakuna Mauti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom