Tman900 Senior Member May 30, 2017 175 345 Oct 11, 2023 #1 Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibabu ya mtu alievunjika Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu.
A ammoshi JF-Expert Member Jun 14, 2013 1,149 1,958 Oct 11, 2023 #2 Nkoaranga lutheran hospital. Dr Samwel Kiwessa.
Quimica JF-Expert Member Feb 21, 2018 1,029 1,254 Oct 11, 2023 #3 Tman900 said: Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibu ya mtu alievunjika, Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu. Click to expand... MOI MUHIMBILI
Tman900 said: Naomba kufahamishwa, hospital Bora kwa matibu ya mtu alievunjika, Mfupa. Nina kijana wangu amevunjika mkono naitaji kwa anae fahamu hospital ilio nzuri na inakiwango Bora Cha matibabu. Click to expand... MOI MUHIMBILI
A Algore JF-Expert Member Apr 26, 2020 2,097 3,362 Oct 11, 2023 #4 University teaching hospital Munchen, Germany. Ukifika ulizia Dr. Ludger wien. Matibabu ni bureeee kabisa
University teaching hospital Munchen, Germany. Ukifika ulizia Dr. Ludger wien. Matibabu ni bureeee kabisa