gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    Quality ya nguo za GSM na Waikiki siyo nzuri

    Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth. Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City. Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
  2. Christopher Wallace

    Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

    Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua. Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo wamemfollow. Yaani akipost chochote unakuta mastaa wanajichekesha kwenye comment. Dogo anaishi bongo kama...
  3. changaule

    GSM kupitia Rais wa Yanga Eng. Hersi Said mmeiheshimisha sana Yanga kwa msimu huu, ila naona kuna kazi kubwa sana msimu ujao

    Kwasasa kuna watu wanabaki kusonya sonya tu wengine kutoa visababu vya kujifariji, mara mashindano waliofeli, mara ooh Yanga imecheza na vibonde mara zinaletwa historia za miaka 47 huko lakini yote kwa yote msimu huu Yanga mpaka sasa ndio timu pekee iliyopata mafanikio zaidi kwa timu za ukanda...
  4. sky soldier

    Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  5. GENTAMYCINE

    Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  6. GENTAMYCINE

    Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  7. mdukuzi

    Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
  9. GENTAMYCINE

    Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  10. Ibrahimeliza

    Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  11. Shedrack hussein salim

    Mimi ni dereva, nina uzoefu wa Uber na Bolt. Natafuta kazi

    Naitwa shedrack hussein salim natafuta gari ya mkataba nina uzoefu wa miaka6 kufanya kazi na bolt na Uber kama una gari mpya nitafute tutaongea kama amboyo imetumika pia tutaongea kama itafaa kufanya kazi mawasiliano yangu 0752782204 na 0787404979
  12. GENTAMYCINE

    GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  13. B

    PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  14. Idugunde

    Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
  15. Singo Batan

    Matajiri watatu wanavyonogesha Ligi yetu ya NBC

    Ligi yetu ya NBC sasa inaonesha kuwa na ushindani mkubwa na malengo ya kufika mbali. Hii inachagizwa sana na jeuri na nguvu ya pesa kutoka kwa matajiri wetu wa Bongo. Battle ya fedha sasa inaonekana kwenye soka, hii sio tu inaleta raha na ushabiki kindaki ndaki katika soka, pia imezidi kufungua...
  16. T

    Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

    Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo! Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
  17. OleWako

    Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  18. OKW BOBAN SUNZU

    GSM mna nafasi ya kulinda utu na kumfichia aibu Manara

    Manara anawadanganya Yanga kwamba haiwezekani Ismailia wacheze mechi ya ligi leo na kesho wacheze friendly na Simba Sc. Tunafahamu hiyo sio akili yake bali ni Uchawa kwa GSM. Sasa kwa sababu ni ngumu kumshauri chawa wa kiwango cha kupe, tumeona ni busara kutoa ushauri wa ng'ombe mwenyewe GSM...
  19. M

    Nikikumbuka nilivyowabeba Sarpong na Moringa terminal 3 sina hamu na GSM

    Nilipigwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Sarpong sababu ya kikungoja wewe,kumbe hata danadana hujui kupiga, Moringa aka Falcao, tukaambiwa alikuwa anatakiwa PSG leo yupo Namungo. GSM mna dhambi sana
  20. M

    Familia ya GSM yote ni Simba, wapo pale Yanga kibiashara tu

    Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi. Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba...
Back
Top Bottom