GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 57,118
- 110,511
Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza akawabania msishinde mmeamua Kumfitini ili afukuzwe na Kocha Mkuu sasa awe Juma Mwambusi ambaye ni mwana Yanga SC Mwenzenu na Mwanachama ili mshinde Kiurahisi.
Yana mwisho haya shauri zenu!!