rostam aziz

  1. Wadiz

    Je, anguko la Rostam Aziz na wenzake kupitia agenda feki ya kujivua gamba mmesahau?

    Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo. Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi...
  2. Roving Journalist

    Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  3. M

    Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  4. Truth Bot AI

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Nawasalimu.. MIMI NI MZALENDO.. Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia Za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote.. Leo Rostam kaingia live kuelezea Kuhusu Lowassa cha ajabu Location Yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko.. Kwani Rostam Yeye...
  5. R

    Kwanini CHADEMA wameamua kumpuuza Makonda?

    Chadema wameamua kumpuuza Makonda. Hakuna kiongozi wa CDM anayeangaika na maelekezo yake. Matokeo yake hata mazungumzo yake na vyombo vya habari hayana comments wala hakuna aliyeyapa attention . Je hii ni style mpya yakutoshirikiana naye wala kumpa mada zakupambana nazo? Tumemsikia leo...
  6. Mama Amon

    Swali kwa Jaji Mkuu: Je, ni haki kwa kina Rostam Aziz kutozwa faini badala ya kifungo lakini kina Mbarikiwa kupewa kifungo badala ya faini?

    Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma Mheshimiwa Jaji Mkuu, Tarehe 29 Septemba 2023, Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Mbeya, Paul Ntumo, alimhukumu kifungo cha miaka mitatu na nusu, Mchungaji Mbarikiwa Dickson Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya...
  7. Sildenafil Citrate

    Chama cha Majaji na Mahakimu Tanzania chamtaka Rostam Aziz kuthibitisha tuhuma alizotoa dhidi ya Majaji na Mahakama ya Kisutu

    Mnamo tarehe 26 Juni, 2023 manyabiashara Bw. Rostam Azizi wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusu masuala ya uwekezaji alinukuliwa akiituhumu aliyoiita Mahakama ya Kisutu kwa kutokuwa huru katika uendeshaji wa shughuli zake. Kutokana na taarifa hiyo tunapenda kuhabarisha umma yafuatayo...
  8. M

    Rostam Aziz ameiweka serikali ya Tanzania mfukoni? Kwanini hakemewi kwa kuleta nadharia ya chuki na kudharau hadharani mhimili muhimu wa nchi?

    Kwa nafasi yake katika jamii kama kiongozi mwandamizi mstaafu wa CCM na pia mfanyabiashara mkubwa mwenye ushawishi bila shaka Rostam Aziz anatakiwa awe makini sana na kauli zake kwenye public kwa sababu tulio wengi tunayapa uzito unaostahili maneno yoyote atakayosema. Kwenye mkutano wa kujadili...
  9. K

    Rostam Aziz alifanya makubaliano haya tuache uzushi!

    Tycoon Rostam Azizi, just two weeks after trending on social media after becoming the new owner of Tigo and Zantel, has again surfaced across social media after being spotted in President Samia’s delegation to the United States of America. Many people online seemed unclear about Rostam’s...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Picha: Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais Samia wakiwa USA

    Mwekezaji Rostam Aziz akisaini mbele ya Rais wakiwa huko USA. Hatukuambiwa walikuwa wanasaini nini. Tuna haki ya kujua na ofisi ya Rais ina wajibu wa kutujuza
  11. R

    Nini kauli ya Mahakama kama Muhimili kwa kauli ya Rostam Aziz kuidhalilisha mahakama ya Kisutu?

    Rostom Aziz amesema hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya. Na kwamba mahakama zetu hazina uwezo wa kusikiliza kesi za kimataifa hivyo lazima tuzipeleke huko nje. Je, kauli hizi...
  12. Nehemia Kilave

    Nini maana ya hizi kauli za Tundu Lissu na Rostam Aziz juu ya Hayati Magufuli?

    Habari JF, Leo katika pita pita zangu nimekutana na kauli kutoka kwa watu wa wawili tofauti zikimuhusu Hayati JPM. 1. Tundu Lissu yeye anasema Rais Magufuli kwenye hili la kuingia mikataba ya hovyo hausiki sana kwa kuwa alikuwa hapendi wageni kukamata mali za Nchi hii. 2. Rostam Aziz yeye...
  13. D

    Muogopeni Rostam Aziz kama Corona. Spin Doctors kazini 100%

    Tangu nilipokutana na Rostam Abdul Aziz (Mburushi wa Iran, mzaliwa wa Tabora) Jijini Telhaviv nchini Israel mwaka 2012 na kubaini kuwa ni wakala wa CIA katika Ukanda wa Afrika Mashariki nilianza kuogopa. Mwanafunzi huyu wa CPA kutoka Cambridge University ana akili sana linapokuja suala la...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama. Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Rostam Aziz: Historia ya Dkt. Slaa haimpi uhalali wa kujifanya anajali maslahi ya Mtanzania. Kampuni zangu hazihusiki na uwekezaji wa DP World

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Rostam Aziz amezungumza na waandishi wa habari Juni 26, 2023 ambapo ameeleza mambo mbalimbali ikiwemo sakata la bandari ya Dar na kuhusika kwake kwenye uwekezaji huo mkubwa. --- Juzi katika mdahalo pale hoteli ya Serena nilisema kuwa sihusiki na hili jambo (mkataba...
  16. J

    Rostam Aziz alipokuwa Mhazini wa CCM alitamani kuwa Waziri wa Fedha, Bora wangempa tu!

    Yaani kuna wakati najiuliza Sababu za Lowassa kukataliwa na CCM kuingia kwenye kinyang'anyiro 2015 nashindwa kuzipata Namsikiliza Hapa Dr Mwigullu PhD nashindwa kuelewa Kwanini Rostam Aziz hakupata uteuzi wa Uwaziri wa Fedha alipokuwa Mbunge wa Igunga Nayaona maono ya Akina Laigwanani na...
  17. N

    Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

    Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo. Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia...
  18. J

    Godbless Lema amtaka Rostam Aziz asambaze Umeme wa Sola nchi nzima, asiishie Zanzibar tu

    Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima. Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo Zanzibar itakayoifanya Nchi hiyo iachane na Umeme wa Tanganyika. Lema ametoa ushauri huu twitani. =========
  19. GENTAMYCINE

    Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    "Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama...
  20. mdukuzi

    Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

    2017 Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally Kakurwa. Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm Rostam anapigwa mkwara anakomaa. 2018 Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
Back
Top Bottom