fedheha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abu Ubaidah Commando

    Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  2. BARD AI

    Ndugai: Viongozi tujipime kabla ya kufedheheshwa

    Kauli ya aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai ya kuwataka viongozi wa kuchaguliwa kujipima kabla ya kugombea tena nafasi hizo katika chaguzi zijazo ili kuepuka aibu ya kushindwa, imewaibua viongozi wa siasa. Ndugai, ambaye ni Mbunge wa Kongwa (CCM), alisema yeye hatagombea tena nafasi hiyo...
  3. Kiboko ya Jiwe

    Nakumbuka ile siku askari wa JWTZ alipokula kichapo cha fedheha kutoka kwa aAkari wa Magereza

    Hello! Ilikuwa miaka ya 1997-1999, kumbukumbu zangu zinaniambia hivyo. Kulikuwa na gulio la mazao (korosho) katika viwanja vya magereza Liwale-Lindi. Sasa huyo jamaa wa JWTZ alikuja likizo kuwasalimia wazazi na ndugu. Naye akaenda gulioni kusaidia wazazi kupima korosho. Yule mjeda alitumia...
  4. wemambayasana

    Wema wangu ulivyoniletea kejeli na fedheha kutoka kwa mama mkwe uchwara

    Ndugu wana JF wasalaaam, Napenda ku-share nanyi hii stori ili iwe fundisho kwa wengine wasije wakafanya makosa kama nilivyofanya mimi. Katika mizunguko na harakati za maisha nikakutana na mwanamke tukaanzisha mahusiano na hatimae tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Hapa hakuna ile ndoa...
  5. S

    Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  6. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  7. MIMI BABA YENU

    Kampeni ya Mguu kwa Mguu iliyofanyika Kawe ni fedheha kwa CHADEMA, kwani imekosa mvuto kwa wananchi

    Jana nikiwa katika shughuli zangu za kila siku katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe, nilibahatika kuona viongozi wa CHADEMA wakipita katika baadhi ya mitaa ya Jimbo la Kawe wakiendesha kampeni yao ambayo wameipa jina la Mguu kwa Mguu lengo likiwa ni kuwatembelea wananchi na kwahamasisha...
  8. S

    Kuwavalisha sare za shule matabibu Ni fedheha kubwa mno.

    Swala la kuwavalisha matabibu sare za shule Kama wanafunzi wa sekondari Ni fedheha kubwa mno Inawashushua heshima pia hata mgonjwa anakuwa hayupo comfortable kuguswa na mtu aliyevaa sare za sekondari Angalau libuniwe vazi lingine la tofauti kabisa na sare za sekondari Kama sare za watu...
  9. M

    TANROADS mnatufedhehesha Watanzania

    TANROADS kwa maaana ya Wakala wa Barabara Nchini Tanzania kwa hakika mmefanya kazi kubwa sana ya Ujenzi wa Barabara, Madaraja na sasa mnajenga Flyovers katika maeneo kadhaa. Lakini pamoja na juhudi zenu kubwa kuna maeneo matatu ambayo mnatufedhehesha kwa kiasi kikubwa. 1. Mmejenga Daraja la...
  10. sky soldier

    Kwanini kupata mtoto mwenye ulemavu wa akili, viungo, kipofu, bubu, kiziwi, n.k ni aibu na fedheha kwa wazazi wengi?

    Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda. yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi...
  11. M

    Serikali iwaondoe wahudumu ombaomba Airport, ni fedheha kwa nchi

    WanaJamvi kuna jambo linanikera sana hii Airport ya JKNIA, jambo la wenyewe ni kujaa kwa wahudumu ombaomba. Nimebahatika kusafiri mara mbilitatu kwenda Mbeya na Mwanza kupitia hii Airport. Serikali iangalie wahudumu walioko ndani pale mtu unapopangiwa seat ya ndege wanaombaomba sana mara...
  12. S

    Kosa kubwa alilofanya IGP Sirro katika tuhuma za ugaidi dhidi ya Mbowe, ambalo linaweza kuleta fedheha mbaya kwake binafsi, kwa Polisi na Tanzania

    Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo? Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
  13. sky soldier

    Mambo gani ya fedheha umewahi kufanya kwasababu ya kufulia (kukosa Hela)?

    Pesa ni muhimu aisee, pesa hainunui Kila kitu ila inakamilisha mambo mengi sana, ikose ujue namaanisha nini. Nakumbuka kuna kipindi nlikuwa sina pesa nlikuwa nashindia kiazi utamu kilichochomwa, nashushia maji ya bombani, hicho kiazi ndio msosi wa siku nzima. Nimewahi kukaa na chaja ya...
  14. Erythrocyte

    Ndugai anawaonea wivu Wanasheria kujiita ‘wasomi’? Bila shaka atawaandalia Muswada

    Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani! Tutarajie muswada wa kufuta huo...
  15. K

    CCM inauawa na usajili wa Hayati Dkt. Magufuli uliofedhesha wana CCM

    Ukiona chama cha siasa kimeishiwa wajenga hoja kwa muda mfupi lazima ujiulize sababu. CCM imejimaliza kwa sababu zifuatazo; 1. Imejiwekea utaratibu kwamba, Mwenye kusema Ni yule tu mwenye cheo ndani ya chama kwa maana mwenyekiti, makamu, katibu mkuu na mwenezi, mawaziri na manaibu,. Waliobaki...
  16. 2

    Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu. Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote. Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka...
  17. Analogia Malenga

    Serikali kuwapatia viwanja Polisi ili wasifedheheke wakistaafu

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari polisi ili kuwaepusha na fedheha wale wanaostaafu na kujikuta hawana kiwanja wala nyumba. Waziri wa...
Back
Top Bottom