diaspora

A diaspora () is a scattered population whose origin lies in a separate geographic locale. In particular, the word diaspora is used to refer to the involuntary mass dispersion of a population from its indigenous territories, most notably the Jews who were dispersed from the Land of Israel in antiquity (known as the Jewish diaspora). Some other diasporas are the African transatlantic slave trade, the southern Chinese or Indians during the coolie trade, the Irish during and after the Irish Famine, the Romani from India, the Italian diaspora, the exile and deportation of Circassians, the flight or expulsion of Arabs from Palestine, fleeing of Greeks after the fall of Constantinople, Expulsion of the Acadians, and the emigration of Anglo-Saxon warriors and their families after the Norman Conquest of England.Recently, scholars have distinguished between different kinds of diaspora, based on its causes such as imperialism, trade or labor migrations, or by the kind of social coherence within the diaspora community and its ties to the ancestral lands. Some diaspora communities maintain strong political ties with their homeland. Other qualities that may be typical of many diasporas are thoughts of return, relationships with other communities in the diaspora, and lack of full integration into the host countries. Diasporas often maintain ties to the country of their historical affiliation and influence the policies of the country where they are located.
In 2019, according to data released by United Nations with 17.5 million Indian diaspora is world's largest diaspora, followed by 11.8 million Mexican diaspora and 10.7 million of Chinese diaspora.

View More On Wikipedia.org
  1. mkalamo

    Diaspora ya India na marafiki wa BJP (OFBJP)-USA wafanya maandamano ya kumuunga mkono "Modi Ka Parivar"

    Maandamaano hayo yamefanyika maeneo mbalimbali ya Marekani, ikiwa ni pamoja na Times Square, Los Angeles, Detroit na Chicago. Watakatifu wa OFBJP, wakiongozwa na Adapa Prasad, Rais wa OFBJP-USA, walikusanyika katika eneo maarufu la Times Square huko New York City Jumapili. Katika mchana huo wa...
  2. mkalamo

    Hundreds of members of the Indian diaspora and volunteers of the Overseas Friends of the BJP (OFBJP)-USA orchestrated a vibrant “Modi Ka Pariv"

    FBJP volunteers, led by Adapa Prasad, President of OFBJP-USA gathered at the iconic Times Square in New York City on Sunday. On this bright sunny day, hundreds of supporters of Prime Minister Narendra Modi gathered here to demonstrate their solidarity, affirming their relationship with the...
  3. Jaji Mfawidhi

    Diaspora Tanzania Waonywa, Wasipojitambua Wataendelea kulaumu!

    Mjomba wangu Emma Maruma, mchagga. Baada ya kuishi Marekani kwa zaidi ya miaka 40,akiishi Houston Texas na kufanya kazi mbalimbali Serikali ya Marekani. Mjomba wangu Emma Maruma, akiwa na umri wa miaka 70, hatimaye alihamia Tanzania mwaka huu, akiishi katika nyumba yake kubwa ya vyumba vitano...
  4. B

    Je, Huduma za ARV zinatolewaje kwa diaspora?

    Habari za jioni, ninaomba kufahamu, Je, huduma ya CTC Clinic (ARV) inatolewaje Kwa diaspora wanaoishi na VVU? Kwa mfano mtu anayeishi na VVU akitoka Tanzania kwenda kuishi/kusoma/matembezi nchi za nje like USA, Canada, Japan, China, Germany etc Atatakiwa kufanya process gani ili aendelee...
  5. Masikio Masikio

    Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Ukianza kwa wanigeria utawaona kwenye michezo, kwenye academics, in short diaspora wa Nigeria wanafanya vitu kweli vinaonekana Hata watoto wa-nigerian diaspora wanafanya mambo ya maana mfano wakina Anthony Joshua, Israel Adesanya, Saka, Rotimi n.k Wakenya watoto wao waliozaliwa abroad na...
  6. Poppy Hatonn

    Changamoto za waafrika waliopo katika diaspora

    Kuna matatizo yanatokea. Na haya matatizo yanawahusu Waafrika kama sisi ambao wapo katika diaspora. Matatizo yao tunapswa kuyaona kwamba ni matatizo yetu. Na tunapaswa kuona maumivu katika maumivu yao. Nazungumza kuhusu kashfa inayolipuka kuhusu msanii Puff Daddy, Nabii T. D. Jakes. Na...
  7. Evody kamgisha

    Serikali hamasisha Watanzania kucheza Green Card ili tupate diaspora wengi. Ina faida za kiuchumi

    Moja ya nchi ambayo ina wananchi wake wanaoishi ugaibuni (USA, German, Italy, France, Canada, Australia, Norway, Spain, Denmark n.k) ni Tanzania. Ukiangalia Watanzania wanaoishi nje ya nchi idadi yake tunazidiwa na Somalia. Ukiachana na nchi kama Kenya, Misri, Sudan, South Africa na nyinginezo...
  8. Eli Cohen

    Wanaounga mkono Hamas huko diaspora waanza kufukuzwa kazi

    Unaleta ujuaji mwingi katika taifa lililokufungulia mikono na kukulisha. Ungebaki basi uko uarabuni kama wewe ni jiwe.
  9. K

    Ushauri: Benki Kuu anzisheni Bondi maalumu kwa diaspora

    Mimi kama diaspora nimeona fursa kubwa sana kwa nchi yetu na bank kuu yetu. Kwasasa hakuna utaratibu wowote wa kumwezesha; 1. Diaspora kurudi nyumbani miaka ya baadae kwa kuwekeza nyumbani. 2. Utaratibu wa serikali kupata pesa za uhakika kutoka kwa diaspora. Sasa nini kifanyike; 1...
  10. B

    Mkataba wa Bandari: Diaspora Waandamana kupinga Mkataba wa Bandari leo Agosti 18, 2023 London

    Mambo yanakwenda kama moto wa nyika. Mkataba huu si usitishwe tu? Hivi kweli tumekosa watu wenye busara zao kiasi hiki? --- Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  11. Hyrax

    Diaspora wanatamani sana kuwekeza Tanzania tatizo watanzania wengi sio waaminifu

    Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
  12. J

    Diaspora mliopata uraia wa nchi za magharibi acheni kuichafua Tanzania

    DIASPORA MLIOPATA URAIA WA NCHI ZA MAGHARIBI ACHENI KUICHAFUA TANZANIA Anaandika Chigaitan kutoka KIVU DRC. No, No, sisi sote ni Watanzania hatuna taifa jingine zaidi ya Tanzania, acheni kuichafua Tanzania. Tunapaswa kuilinda kwa nguvu zote Hadhi ya Tanzania dhidi ya wahaini wanao ichafua...
  13. Naanto Mushi

    Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    World Bank wametoa report inayoitwa 'Ratio of persons living abroad to origin country population' ambapo kwenye report hiyo Tanzania inapungufu ya asilimia moja ya raia wake wanaishi nje ya nchi. Asilimia hizo ni chache kuliko mataifa yote ya nchi za Africa. Mind you, Tanzania ni nchi pekee...
  14. mtanzania in exile

    Mnaosherehekea Hadhi Maalum kwa Diaspora hamjaangalia upande wa pili wa sarafu

    Wana Diaspora Nimeona ndugu zetu wengi sana hususan wale waliopo USA wanasherehekea sana juu ya ujio wa Hadhi maalum kwa diaspora, kiasi kwamba nahisi mnashindwa kuangalia upande wa pili wa sauli hili. Kwa sababu hiyo basi naomba kuweka point chache tu ambazo tunabidi sote tuzielewe. Kwanza...
  15. jmushi1

    Hadhi maalum kwa Diaspora kukamilika Disemba 2023

    Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. ======= Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023. Winding up debate on her...
  16. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  17. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  18. R

    Endapo Salum Kikeke atateuliwa na Rais, Diaspora tutaanza kuona njia ya Uraia Pacha ikifunguka

    Alianza Charles Hilary , akafuata Zuhura Yunusu na Sasa Salim Kikeke. Sina hoja Kwa Charles na Zuhura Kwa Sababu walikuwa raia WA Tanzania na awakuwahi kupata uraia huku ughaibuni. Kwa Salim Kikeke inazaliwa hoja ya uraia, hoja hii inakwenda kuathiri utaratibu mzima WA uteuzi kwenye secta ya...
  19. Richard

    Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

    Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali. Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu. Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
  20. Roving Journalist

    Serikali yasema Tanzania ina Diaspora Milioni 1.5

    Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha Saba, Ijumaa Aprili 14, 2023 SERIKALI YASEMA TANZANIA INA DIASPORA MILIONI 1.5 Takwimu hizo za Diaspora ni kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi za Kibalozi za #Tanzania zilizopo nje ya Nchi Naibu Waziri, Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki...
Back
Top Bottom