kutafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  2. N

    Maombi ya kutafuta kazi

    Kwa majina naitwa nassor maneno,naishi dar es salaam vile vile nina certificate ya clearing and forwarding , pamoja na hayo me nilkuw naomb kaz kwa mwenye connection ya clearing and forwarding au yoyote. Ahsanteni
  3. PARA1212

    Maombi ya kutafuta kazi

    Habari zenu ndugu zangu.jina langu ni SAIDI RAMADHANI.Nikijana mtanzania ninauhitaji wa kazi kwa kazi yeyote ile ya halali Niko tayari kuifanya.kwani ninauwezo wa kuzungumza kiingereza na kiswahili fasaha. kuhusu swala la mshahara nimaelewano na muajiri pale nitakapo pata kazi kikubwa ni kazi tu...
  4. Napoleone

    Maisha ni kuzaliwa, kusoma, kupata kazi, kuoa/kuolewa, kupata watoto kisha yanaishia hapo au kuna kingine?

    Wakuu.. Hiv maisha ndo yanaishia hapo tu au kuna la ziada... Maana naona watu weng accomplishment zao znacheza hapo.. So. Nauliza ni hapo tuu au? Kuna kitu na regret sana mim kama mim.. niko mbion angalau kukibadili. Well.. perhaps tumezaliwa kwenye land of no dream... Tunafanyaje sasa hapo...
  5. joa Treder

    Natafuta/naomba ajira

    Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
  6. Kibenje KK

    Ukikosa kazi kwa muda mrefu, jaribu kutafuta kazi za Mauzo (Sales)

    Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio. Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua. Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
  7. sonofobia

    Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  8. Mrs Gudman

    Vijana wa Kiume badilikeni

    Habari za jumapili wana Jamii Forum Leo naomba nizungumze kidogo na hawa wenzetu upande wa Kiume mana miaka ijayo kuna hatari ya kupoteza nguvu kazi Siku izi ni kawaida kabisa kukuta mdada anauza matunda, anatembeza mtumba, anachoma mandazi ubuyu na juice na mengine mengi ya kuingiza kipato...
Back
Top Bottom