tanzania diaspora

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mchakato hadhi Maalum kwa Diaspora kukamilika Mwaka 2024

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia Hadhi Maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka 2024. Hayo yamesemwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na diaspora wa Tanzania nchini Uholanzi kwa heshima ya Waziri...
  2. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  3. Ritz

    Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  4. Erythrocyte

    Operesheni Haki: Kampeni za kimataifa kuwafikia Diaspora. Mbowe, Lissu, Mnyika kuhutubia

    Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma kidigitali. Wote Mnakaribishwa.
  5. I

    Wewe mwanachuo uliyeko mwaka wa mwisho

    Ukimaliza chuo na degree yako huku mtaani ukija ujue ndo unaanza form one za kitaa. Huku ni kutafuta kwa jasho degree inabaki kwanza kwenye karatasi. Tatizo vile vyeti hata Kuombea mkopo wa kuanzisha hata biashara au mradi wowote ule wa maendeleo haviwezi. Elimu yetu inatusaidia kupata vyeti...
  6. Leslie Mbena

    Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja litakalojengwa kutoka Dar hadi Zanzibar

    MDAU WA DIASPORA AJIBU MASWALI KUHUSU DARAJA LITALOJENGWA KUTOKA DAR HADI ZANZIBAR. Leo 19:15pm,28/12/2019 Kutokana na Mgongangano wa mawazo ili Watanzania tufikie lengo kuu lenye kuleta tija,Mdau wa Diaspora amejibu maswali kiufasaha kuhusu ujenzi wa daraja kutoka Dar hadi Zanzibar ili wadau...
  7. AVRAM

    Diaspora na hoja ya uraia pacha Tanzania

    Ni muda mrefu umepita watanzania wanaoishi nje ya nchi yao (Tanzanian Diaspora) wamekuwa wakizungumza na kupigia chapua kwa nguvu suala la sheria ya uraia pacha; yaani uraia wa nchi mbili "Dual citizenship", kwa upana na wasaa zaidi suala hili tayari limejadiliwa na kutolewa uchambuzi wa kutosha...
  8. Delegate

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Ndugu wana diaspora, Naona inakuwa ngumu sana sisi tulioshi nje ya Tanzania kwa miaka mingi kurudi na kuanza new life. Mnafanyaje mbona wengine tumeshindwa? Nina rafiki zangu watatu walirudi kwa wakati tofauti wamekufa baada ya kuishi Tanzania kwa muda mfupi. Tupeane mbinu how to start. Kwa...
  9. comrade igwe

    Tanzania Diaspora na uwekezaji wa nyumbani mtu kwao ndio ngao

    Wakuu kama tunavyojua katika historia katika nchi za Marekani, Marekani ya kusini, carrebian Israel na Africa kulikua nq vuguvugu la kurudi nyumbani katika Karne za 18 na 19 mfano Back to Africa movement( turudi nyumbani Afrika) Zion movement , Africa for Africa movement na baadhi ya vuguvugu...
Back
Top Bottom