Maombi kwa Serikali: Itenge eneo maalum ujengwe mji mpya wa Diaspora kuwakaribisha nyumbani wachangie maendeleo

Richard

JF-Expert Member
Oct 23, 2006
14,939
20,400
Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali.

Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu.

Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka kutokana na aina ya kazi hizo zilohitaji uwepo eneo la tukio. Sasa hivi nipo nikijishughulisha na biashara ndogongodo pale mitaa ya Kwamtogole (nna kimgahawa na kuchoma chips/mayai na kuku na mihogo) na makazi yangu ni Kibaigwa.

Kachumbari na chachandu nnazotumia ni matata sana na mihogo ni ile laini yenye ungawa kutosha kutoka Kibaha. Hata vimbawa vya kuku nina supplier wangu ambae hawezi kunilet-down, very reliable na vimbawa hivyo nilivipa jina la "wicked wings."

Nikipata muda khasa ziku za jumaa huwa namuachia kijana wangu aendeleze libeneke apige kazi na mimi hujerea Kibaigwa na nikitulia huketi na kuandika wazo lolote lenye tija kwa maendeleo ya nchi yangu,yote ni katika kujenga.

Sasa twende kazi- nini maana ya diaspora?

Diaspora ni raia wa nchi ambao ni wahamiaji mbalimbali walosambaa katika maeneo mbalimbali duniani wakitafuta maisha. Kwa mujibu wa data za umoja wa mataifa duniani kuna diaspora wapatao 271 na India yaongoza kwa kuwa na wahindi milioni 18 At 18 million, India has largest diaspora in the world: UN katika diaspora.

Watanzania wa Diaspora wapo katika nchi nyingi sana duniani ambapo wanaishi wana maisha yao na wafanya kazi huko. Idadi kamili ya watanzania hawa bado haijathibitishwa rasmi ingawa bunge limetaarifiwa hivi karibu kuwa ni milioni 1.5

Idadi hii yaweza kuwa ni zaidi ya hiyo (1.5) kwa kuzingatia taarifa rasmi kama zile zitokanazo na raia hao kujiandikisha katika nchi hizo aupia kuchukua uraia wa nchi zingine.

Diaspora kutoka Afrika mwaka 2021 walipeleka fedha katika nchi zao zipatazo kiasi cha dola milioni 95.6 Shelter Afrique targets African diaspora in affordable housing delivery jambo linoashiria kuwa wakitumiwa uzuri wenzetu hawa wana uwezo wa kuchangia maendeleo katika nchi zetu za Afrika.

Barani Afrika nimependezwa na nchi za Botswana, Afrika Kusini, Namibia, Tunisia, na sasa Rwanda.

Pia nimeiona Dubai, Israel, na hata kufika kule Cuba aliko kijana mwenzangu balozi Humphrey Polepole.

Katika nchi za ulimwengu wa kwanza nimeona nchi nyingi sana za Ulaya ambazo siwezi kuzitaja zote, na huko Marekani ni USA ,Canada na Mexico.

Nchi hizi zote nilozitaja zimejengwa khasa na zingine imechukua miaka zaidi ya 200 kuzijenga nchi hizo. Ujenzi wa miundombinu ambayo leo hii yafanyiwa maboresho kama njia za umeme, njia za maji na hata mitambo mipya ya simu ya 5G kwenye njia za simu ulifanywa miaka ya zamani sana zaidi ya miaka 200 ilopita.

Jambo la kustaajabisha ni kwamba watu hawa waloendelea wana maktaba maalum zinoonyesha miundombinu hiyo ilivyokuwa miaka ya kabla ya 1700 na baadae kwenye miaka ya 1800 hado kuanza kuweka lami miaka ya 1900.

Picha za mipango miji ya miaka kabla ya 1700 zipo,barabara ziloanza kwa kujengwa uzuri kutumia changarawe na kuondoa vumbi ambalo kwa mji kama wa Da-es-Salaam bado latusumbua kabla ya kuanza matumizi ya lami.

Tanzania na bara la Afrika tumepiga hatua khasa kwenye ujenzi wa barabara, mashule, mahospitali na zahanati lakini si kwa kiwango cha 5G na hiyo ni kutokana na kuchezea kodi ya maendeleo, fedha za misaada na mikopo tupatayo kutoka vyombo vya fedha vya IMF, Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika.

Lakini bado leo hii bado tunatatizo la usambazaji maji, umeme ukatikao kila mara, barabara mbovu khasa za vitongojini matatizo mengine madogomadogo ambayo wenzetu waliishayamaliza miaka zaidi ya 200 ilopita.

Viongozi wetu si kama hawaoni au hawafahamu bali wengi wamesafiri, wamesoma huko nje na wameona kwa macho yao yale nnayoyaeleza na kutumia huduma zote muhimu za wananchi.

Wenyewe waloendelea waziita huduma hizi huduma za msingi yaani "basic needs" kuanzia maji, umeme, barabara, shule, hospitali na chakula ambacho kitatokana na kuwepo maduka. Tafsiri sahihi ya huduma za msingi ni zile huduma na bidhaa muhimu ambazo binadamu azihitaji ili kuboresha maisha yake na hali yake kiafya.

Ifuatayo hapo chini ni mnara uonyeshao huduma za msingi kwa binadamu.

maxresdefault.jpg

Picha ya hapo juu yaonyesha ngazi za mahitaji kuanzia yake ya chinni kabisa au basic needs hadi mahitaji ya juu au self fulfillment needs.

Kwa upembuzi wa haraka utaona kwamba serikali za Afrika hususan barani Afrika bado zipo zapigana na ngazi mbili za mwisho yaani mahitaji ya msingi na yale mahitaji ya kisaikolojia au "Psychological needs".

Lakini hata hivyo bado katika ngazi hiyohiyo ya chini utaona kwamba kwa mfano huduma za shule ni mbovu kuzingatia kuwa kuna maeneo mengi nchinibado watoto wasomea chini, huduma za hospitali badi hazijafika kila sehemu kwa maanaya watu kusafiri kutokea kijiji cha Mbezi Wilayani Mkuranga kutafuta hospitali kubwa kama ya Temeke wakati Mbagala palitakiwa kuwa na hospitali kubwa. Pia huduma za maji na umeme bado twahangaika nazo kutokana na dharau ya viongozi na kusahau majukumu yao.

Mahitaji haya ya msingi serikali ndo imekuwa ikijitahidi kwa miaka nenda rudi kuhakikisha yaongelea amani na utulivu kwa nchi kwani hiyo ndo dawa pekee ambayo wananchiwakipewa kisaikolojia wanakuwa hawaamini kwamba kuna mawazo mbadala.

Matokeo yake ni hali ilotufika leo ambapo fedha za kodi ya wananchi, na vyanzo vingine vya fedha zimekuwa zikipotezwa na kuthibitishwa na mkaguzi mkuu wa serikali kuwa hazijulikani matumizi yake. Jambo baya sana ambalo limetokea ni kitendo cha wanasiasa ambao walipaswakuwa kichocheo cha maendeleo kwa kuikosoa serikali kisomi lakini wao wamekuwa mstari wa mbele kushiriki kuwahadaa watanzania na sasa upinzani umeuawa rasmi na haupo tena.

Hivyo hadi kufika ngazi ya pili ya mahitaji ya kisaikolojia yaani "Psychological needs" wananchi wapiga kura hawana pa kulilia kuhusu bei ya juu ya bidhaa, ukosefu wa huduma muhimu za maji na umeme na juzijuzi waambiwa matumizi ya mkaa yatakoma ifikapo mwakani. Hivyo wengi wao yaani majority bado wapo kwenye ngazi hii na ni wachache wale matajiri na walofanikiwa kuiba ndo wako kwenye ngazi ya pili ya kisaikolojia ambayo mtu hujisikia amejitosheleza yaani "esteem needs na belongness" baina ya wako kwa wao lakini kwenye kundi hili pekee ambalo ni dogo sana lakini lenye nguvu.

Kundi kubwa la watu masikini na wakulima wa jembe la mkono ambao ni wengi wao hubakia kwenye ngazi hii ya chini kabisa kwa kipindi kisojulikana. Matokeo ya hali hii ni watu hawa kutafuta namna ya kwenda kwenye ngazi hiyo ya pili kwa kutumia uhalifu, wizi ,uporaji, uzururaji mijini, na kuwa na kundi kubwa la watu wasoajiriwa ambalo kwa usalama wa nchi si jambo zuri.

Ombi langu kwa serikali.

Umefika wakati muafaka sasa serikali ikatayarisha eneo maalum likajengwa mji maalum kwa ajili ya Diaspora yaani Diaspora City.

Mji huo utajitosheleza kwa kila kitu na Diaspora watawezeshwa kuchangia kuujenga mji huo na kuuendeleza kwa nyumba za makazi, maeneo maalum ya kupumzika, viwanda vidogo, biashara za aina mbalimbali zilizo katika mandhari ya kisasa, mashule,vyuo, kituo cha polisi, hospitali na huduma zote muhimu ambazo wameziona na kuzitumia wakiwa huko diaspora world.

Mji huo utakua na sheria zake local laws, meya wake, mbunge wake, madiwani wake na kila kitu muhimu ambacho diaspora wamekiona huko nje ya nchi. Serikali pia itasaidia mji uendelezaji wa mji huo kwa ushirikiano na waziri maalum wa diaspora ambae ama atakuwa ni mbunge wa kuteuliwa au wa kuchaguliwa akiwa hukohuko diaspora.

Kwa maoni yangu nadhani huu ndo utakuwa mwanzo wa miji zaidi kuendelea na nchi kufunguka zaidi kimaono na kimtazamo na kuwa ni nchi ya kujiona mbele ya wale ambao wamkuwa wakitudharau.

Tukumbuke Diaspora wana familia, wana ndugu zao ambao waliwaacha Tanzania na pia huko katika Diaspora wanaishi na kufanya kazi, wana familia ambazo zina watoto ambao wengi wao ni wasomi wazuri tu ambao kama tuna Diaspora City yenye ajira kwa ajili ya wao itasaidia kuhamisha ujuzi kwenda kwa watanzania wenzao jambo ambalo litaleta afaya kubwa ya akili na kujitambua.

Elimu, ujuzi na maarifa walo nayo diaspora haviwezi kupotea bure hukohuko diaspora ilhali bado sifa hizo zahitajika sana nyumbani Tanzania.

Jirani zetu Rwanda wametumia miaka 29 kujiletea maendeleo ya kuonekana na ni wale wanyarwanda walokuwa katika diaspora ndo waongoza katika mradi huo wa serikali ya Rwanda wa kuigeuza nchi hiyo kuwa imara kiuchumi katika eneo la maziwa makuu.

Rwanda haina tatizo kubwa la ufisadi na rushwa na ni nchi yenye idadi kubwa ya vijana ambao ndo chachu ya maendeleo katika taifa lolote. Rwanda sasa hivi yazingatiwa kuwa ni kijiji cha kiteknolojia yaani "technology hub". Lakini nchi hiyo imehakikisha kila mtoto asoma aenda shule na kila mtoto ana kompyuta mpakato kupitia mradi wa One laptop per child.

Tunisia ni nchi ingine ya Afrika ambayo sasa hivi ina shida na waafrika ambao wamekuwa wakihamia kiholela katika nchi hiyo kutokea nchi za Nigeria, Etriea na zingine ambaowamekuwa ni tatizo kubwa. Vijana hawa kutoka nchi zingine za Afrika wamekuwa wakikumbana na sera kali za kibaguzi kutoka kwa wanasiasa wa Tunisia.

Ubaguzi na chuki kwa waafrika vimekuwa ni tatizo katika nchi hizi za Tunisia, Italy, Morocco na hata Ulaya ambako limekuwa likishughulikiwa kimyakimya. Uingereza imeingia mkataba na Rwanda ili ipokee wakimbizi au wahamiaji ambao hawana pasi za kusafiria na ambao ni wale wanotaka kuzamia.

Nchi yetu ni kubwa sana yenye idadi kubwa ya raia lakini serikali ina uwezo huo wa kuhakikisha wazo hili la kuwa na "Diaspora City" latimizwa na kulifanya kama ni "pilot project" yaani mradi wa mfano ambao utatumika kwenye maendelezo au uboreshaji wa ya miji mingine.

Tukifanya hivyo huenda hili ikabadili kabisa fikra na mtazamo wa watanzania wengi ambao bado sana kujitambua wenye kufikiri njia za mkato na masuala mengine ya uhandisi jamii ambayo huaribu kizazi kijacho.

Jumaa Karim.

Vyanzo UN, Indian Express, BFT IOM migration
 
Ubaguzi na chuki kwa waafrika vimekuwa ni tatizo katika nchi hizi za Tunisia, Italy,Morocco na hata Ulaya ambako limekuwa likishughulikiwa kimyakimya. Uingereza imeingia mkataba na Rwanda ili ipokee wakimbizi au wahamiaji ambao hawana pasi za kusafiria na ambao ni wale wanotaka kuzamia.

Nchi yetu ni kubwa sana yenye idadi kubwa ya raia lakini serikali ina uwezo huo wa kuhakikisha wazo hili la kuwa na "Diaspora City" latimizwa na kulifanya kama ni "pilot project" yaani mradi wa mfano ambao utatumika kwenye maendelezo au uboreshaji wa ya miji mingine.

Tukifanya hivyo huenda hili ikabadili kabisa fikra na mtazamo wa watanzania wengi ambao bado sana kujitambua wenye kufikiri njia za mkato na masuala mengine ya uhandisi jamii ambayo huaribu kizazi kijacho.

Jumaa Karim.
Mkuu

Wana eneo lao limetengwa liko Kigamboni barabara ya kuelekea kiwanda cha simenti kule Kimbiji nenda kajionee
 
Serikali pia iache kufungia PornHub ili wanadiaspora wasiingie gharama za kutumia VPN ili kujipatia burdani wawapo Nchini.
 
Waache ujinga wanajiona zaidi sana

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diaspora wa Tanzania ukiwasikia ni kama wanataka kuigeuza Tanzania iwe ulaya...maneno mengi matendo hakuna na project zao nyingi ni mbovu Sana ..wao wanataka kuishi nje walimiwe Tanzania..nawaona ni kikundi Cha watu wanataka kutapeliana tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom