Hadhi maalum kwa Diaspora kukamilika Disemba 2023

jmushi1

Platinum Member
Nov 2, 2007
24,990
22,523
Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023.

=======
Tanzania is set to complete the process of instituting special status for its citizens living in the Diaspora by the end of 2023.

Winding up debate on her docket’s Sh247.9 billion budget for 2023/24, Foreign Affairs and East African Cooperation minister Stergomena Tax told Parliament the government recognises the role of Tanzanians in diaspora and that it will complete the process of granting them special status (Tanzania Non-Citizen Diaspora) by December.

“Diaspora made 10 recommendations that have been considered and will be included in the special status arrangement, but in the endorsements, there was no suggestion of divine rights,” she said.

Dr Tax added that what the diaspora wanted was to be able to enter the country, own land and access financial services, all of which have been considered in the proposed special status framework.

Presenting the budget earlier, she told the House that the move was among the ministry’s plans for 2023/24 that are meant enable the Tanzanian diaspora to fully contribute to the country’s development.

Dr Tax noted that the diaspora should play a greater role in the country’s economic undertakings as the government strives to create an enabling environment for this endeavour.

“The ministry compiled the views of various stakeholders inside and outside the country, including from the diaspora. The views have classified issues that should be considered in the special status arrangement,” she said.

Unlike its regional peers Kenya and Uganda, Tanzania has yet to allow dual citizenship, a matter that emerged again in Parliament yesterday.

Legislators were divided on the issue when debating the ministry’s budget.

Prof Palamagamba Kabudi (Mvomero-CCM) said the relevant issue in the country currently is special status and asked the ministry to finalise the matter to help the diaspora.

“Now, this is better than what we keep debating, which is the issue of dual citizenship. This dual citizenship matter has no framework in this country, but it also has no agenda elsewhere in the world and so we should hold on to special status and push it forward,” he said.

Prof Kabudi added that his research shows that only 49 percent of countries in the world embrace dual citizenship.

Prof Kitila Mkumbo (Ubungo-CCM) said what they were fighting for was not someone else coming to apply for Tanzanian citizenship, but rather they were concerned about Tanzanians losing their divine right.

He said studies show that one of the ways to resolve jobs the jobs crisis academics are facing is to prepare people to become citizens of the world so that they can find jobs by removing obstacles.

“If it comes to dual citizenship or special status, it is not a problem for me. The big issue is how do we protect the rights of our people who go to look for opportunities in other countries," said Prof Mkumbo.

Ms Fakharia Shomari (Special Seats-CCM) said it is still too early for Tanzania to allow dual citizenship and the country should continue to consider special status because it provides everything the diaspora needs.

In response, Dr Tax noted that the issue of dual citizenship is still open to debate in Tanzania and beyond.

She said President Samia Suluhu Hassan has strived to make sure that the diaspora who are in foreign countries and who Tanzanians are by birth get their rights and emphasised the process of granting them special status.

"If you grant dual citizenship right now when there is no national and international framework, there are those who may miss out on the opportunities that we hope to provide," she warned.

According to Dr Tax, diaspora’s remittances and investments in the economic and social sectors in the country have continued to increase.

In the period from January to December 2022, diaspora invested about Sh4.4 billion in the purchase of houses and plots through National Housing Corporation, Orange Tanzania Ltd (Hamidu City Park), and KC Land Development Plan Consultant Ltd.

The investment is equivalent to an increase of Sh2.2 billion invested in the period from January to December 2021.

In another development, Dr Tax said that the assessment of the ministry's foreign affairs policy has identified new areas that need to be included in the policy and brought up new strategies for the implementation of the policy, to match the current and future environment including emphasis on economic diplomacy.

The Sh247.9 billion Parliament approved for the Ministry of Foreign Affairs East African Cooperation’s recurrent and development expenditure is significantly higher than the Sh208.3 billion allocated for the current financial year.
 
Uraia pacha una shida gani?
Swali zuri, kwa jinsi nilivyoelewa, ni kwamba hii special status ni kwa sasahivi maana issue ya uraia pacha ni lazima iwe kwenye katiba mpya. Na process ya katiba mpya hatufahamu bado muda itakayochukua.
That’s my take.
Pia prof Kitila Mkumbo , ameongea vyema kabisa. Big up mh mwanajamvi mwenzetu.

Ila Palamagamba Kabudi kazingua.
 
Uraia pacha sahau. Katiba pendekezwa iliyombioni kufunguliwa ndiyo ilipendekeza hadhi maalum
 
"Hadhi maalumu" ni hoja dhaifu sana ambayo inapigiwa upatu na watu wenye "akili kiduchu" au short-sighted mind people. Watanzania tunataka "URAIA PACHA" na wala siyo 'hadhi maalumu', suala linalopigiwa upatu na watu wa CCM. Kitu gani hasa wanakiogopa ktk kuruhusu uraia pacha?????!??
 
CCM wanaogopa diaspora kama ukoma,yaani wanapenda Raia wajinga kama hivi Sasa.
 
"Hadhi maalumu" ni hoja dhaifu sana ambayo inapigiwa upatu na watu wenye "akili kiduchu" au short-sighted mind people. Watanzania tunataka "URAIA PACHA" na wala siyo 'hadhi maalumu', suala linalopigiwa upatu na watu wa CCM. Kitu gani hasa wanakiogopa ktk kuruhusu uraia pacha?????!??
Hadhi maalum siyo sababu ya kuacha kudai uraia pacha.

Unafahamu gharama za diaspora ambao wana uraia wa nchi nyingine wanapotaka kuwekeza na kufanya kazi hapa nchini? Unafahamu gharama za kibali cha kufanya kazi na kuishi (residence permit) kwenye nchi uliyozaliwa kila baada ya miaka miwili? Almost 5m TZS every two years.

Unafahamu maumivu ya kupoteza uwezo wa kumiliki ardhi kwenye nchi uliyozaliwa?

Wewe labda kama unafahamu hayo yote huoni umuhimu wake, mwenye akili kiduchu utakuwa wewe.
 
Uraia pacha sahau. Katiba pendekezwa iliyombioni kufunguliwa ndiyo ilipendekeza hadhi maalum
Mkuu siyo lazima kusahau uraia pacha kwasababu ya kupewa hadhi maalum. Bado uraia pacha unaweza kupatikana endapo katiba pendekezwa itapitishwa. Kama sikosei, ile ya Warioba haina shida.
 
Hadhi maalum siyo sababu ya kuacha kudai uraia pacha.

Unafahamu gharama za diaspora ambao wana uraia wa nchi nyingine wanapotaka kuwekeza na kufanya kazi hapa nchini? Unafahamu gharama za kibali cha kufanya kazi na kuishi (residence permit) kwenye nchi uliyozaliwa kila baada ya miaka miwili? Almost 5m TZS every two years.

Unafahamu maumivu ya kupoteza uwezo wa kumiliki ardhi kwenye nchi uliyozaliwa?

Wewe labda kama unafahamu hayo yote huoni umuhimu wake, mwenye akili kiduchu utakuwa wewe.
Suala la kuruhusu Uraia Pacha Tz siyo mpaka lazima ibadilishwe Kwanza Katiba ya nchi, bali ni kuzifanyia Marekebisho Sheria kadhaa tu za nchi kama vile Sheria ya Uraia ya Tanzania pamoja na Sheria zingine za Uhamiaji.
Uraia Pacha ukiruhusiwa hapatakuwa na haja ya kuanzisha hicho kitu kinachoitwa 'hadhi maalumu', hivyo hii itaondoa hizo kero zingine zote ulizozitaja, yaani residence permit, kupoteza uhalali wa kumiliki ardhi, n.k, n.k. Nakushauri fanya utafiti kwanza ili uwe na uelewa mpana wa jambo kabla ya kukurupuka na kuonyesha ujinga wako hapa jukwaani.
 
Wewe ndo mjinga kwa kukataa hadhi maalum as if ukiipata utazuiwa kuendelea kudai uraia pacha.

Sioni shida kupata hadhi maalum wakati nikiendelea kudai uraia pacha kwasababu hilo linaweza kuchukuwa muda na muda ni pesa. Tumia ubongo badala ya kamasi.

Whether uraia pacha utapatikana kwa sheria kufanyiwa mabadiliko bungeni ama kupitia katiba mpya, vyovyote vile ni suala linaloweza kuchukuwa muda.
 
Sijui ni kwa nini mnasherehekea kuwepo kwa hadhi maalum. Hadhi maalum haimalizi suali la wana diaspora wote ambao ni kutambulika nyumbani kuwa sisi ni raia halali wa Tanzania. Hatukuukana uraia wetu ila serikali ndio unatukataa kwa sababu tumechukuwa uraia wa nchi nyengine.

Hadhi maalum haimaanishi kuwa serikali inatutambua sisi kama RAIA wa watanzania bali wanatutambua kama ni watu wenye asili ya Tanzania. Kuna tafauti kubwa sana hapo. Ukikubali kuchukua hadhi maalum utatakiwa ku renew it kila baada ya miaka mitano au kumi. Umeona wapi raia wa nchi akatakiwa ku renew uraia wake kila baada ya muda fulani?

Ukiwa na hadhi maalum, wewe si raia wa Tanzania na wakati wowote ule serikali inaweza kufuta hadhi yako maalum na kukutaka uondoke nchini mara moja kwa sababu wewe si mtanzania. Ukiwa raia wa kuzaliwa wa nchi yeyote ile serikali inaweza kukunyima passport lakini hawawezi kukuvua uraia wako, hence hawawezi kukufukuza nchi kwako. Ukiwa na hadhi maalum, ukawekeza kwa unavyoweza lakini ukawakera wenye nchi kwa njia moja au nyengine (kwa mfano kuwapa support wapinzani kihali na mali) utafukuzwa nchini na nguo zako za ndani tu kwa sababu wewe si raia wa Tanzania.

Bila ya kuingilia suali la bandari linaloendelea kwa sasa, napenda kuwakumbusha tu kuwa kuna mheshimiwa alisema kuwa sababu kuu ya kutoruhusu uraia pacha na kuruhusu hadhi maalum ni kwa sababu kuna watu wenye asili ya Tanzania ambao wanaishi katika nchi amabazo haziruhusu uraia pacha na kwa hivyo kama Tanzania itaruhusu uraia pacha watu hao hawatanufaika na zoezi lote. Lakini kama Tanzania itaruhusu hadhi maaalum kila mtu mwenye asili ya Tanzania mwenye uraia wa nchi yeyote ile atanufaika na mpango huu. Mheshimiwa alikuwa analenga wenzetu wanaoishi nchi za kiarabu tu. Mnaona waarabu wanavyotuharibia hapa!
 
Mkuu hapa sijakupata vizuri.

Anyways, November hii. Mmefikia wapi?
 
Mkuu hapa sijakupata vizuri.

Anyways, November hii. Mmefikia wapi?
Hujanipata kivipi? Ya kuwa hadhi maalum haitutambui sisi kuwa ni raia wa Tanzania au kuwa hadhi maalum imepenelewa kwa sababu itawanufaisha waarabu waliozaliwa Tanzania (waarabu wa kuchovya)? Ama kwa suali lako la tumefikia wapi hii November, jawabu hatukuenda popote pale tupo pale pale tulipokuwa awali. Maneno mengi bila vitendo.
 
Back
Top Bottom