Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,172
20,350
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benjamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia. Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?

Je, tarehe yake ya maombolezo ni lini? Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
 
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.

Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.

Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?
Je tarehe yake ya maombolezo ni lini?

Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
Hata miminsioni kumbukizinya mkapa. Da mam kweli the weledi is not fare
 
Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao.

Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani.

Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na favor mbali mbali.

Hayati Benajamin Mkapa Rais wa Awamu ya Tatu sioni watu wakikumbuka siku yake ya kuaga dunia.

Ndio kusema yeye hakuwa na kundi la chawa wake?
Je tarehe yake ya maombolezo ni lini?

Hata Chama nacho kinapotezea mtu muhimu kwao?
Magu ni ajili ya kura za kanda ya ziwa maana kifo chake ni cha ghafla sn mkuu, pia ukabila ujue lile ni kabila kubwa sn lazima uendelee kulibebabeba, 2015 angekuwa Membe kura za kanda ya ziwa zote zingeenda kwa Lowasa na kusingekuwa na namna ya kumshinda Lowasa hata kuiba ingekuwa ni aibu lakini kupitia Magu upepo uligeuka sn, Makonda na Dotto wapo pale kusaka kura za kanda ya Ziwa wala maza hawakubali hata kidogo. Asante
 
Haaaa asante kwa comment yako.
 
Lakini hawa wa siku hizi hawategemei kura, unalifahamu hilo?
 
Back
Top Bottom