temesa

Temesa (Ancient Greek: Τεμέση or Τεμέσα [Doric]), later called Tempsa, was an ancient city of Magna Graecia, in Italy, on the shore of the Tyrrhenian Sea. It was situated close to Terina, but its precise location has not yet been found. It is thought to have been located near the Savuto river to the north of the Gulf of Sant'Euphemia. More recently Campora San Giovanni, a town near the mouth of the Savuto, has been considered as a more precise location. The archeologist Gioacchino Francesco La Torre excavated a temple outside the town in the early 2000s, which was located within the territory of Temesa.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Kuchukua Hatua kwa Mameneja Wazembe TEMESA, Ataka Majina Kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  2. Suley2019

    TEMESA inailipa Azam Milioni 5 kwa siku

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  3. BARD AI

    CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha vivuko hivyo kutoka Kampuni ya Azam Marine kunaathiri uendelevu wa huduma ambapo TEMESA inailipa Azam...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aagiza TEMESA Kuboresha Huduma za Vivuko

    BASHUNGWA AIAGIZA TEMESA KUBORESHA HUDUMA ZA VIVUKO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili viweze kutoa huduma bora pamoja na kulinda usalama...
  5. J

    Kasekenya awataka TEMESA kuwa wabunifu

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya amewataka watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) kuangalia namna bora ya kuja na ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha utendaji kazi wao wa kila siku. Naibu Waziri ameyasema hayo leo Tarehe 18 Machi, 2024 wakati...
  6. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Miezi Miwili TEMESA Kufanya Mageuzi

    BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI TEMESA KUFANYA MAGEUZI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kukamilisha taratibu zote za kiutendaji na Marekebisho ya Kisheria ili kuuwezesha Wakala huo kutekeleza majukumu yake kibiashara ifikapo mwaka mpya...
  7. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  8. Sir robby

    Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  9. Replica

    TEMESA wakajifunze Mombasa kuendesha vivuko, pamoja na watu kupita bure viko imara muda wote

    Kisiwa cha Mombasa nchini Kenya kimeunganishwa na njia tatu za kuingia na kutoka kwenye mji huo mbili zikiwa madaraja ya barabara. Upande mmoja wa kuingia kisiwa humo(Likoni) ni kutumia feri kama zile zetu za Kigamboni. Sehemu hii ilishindikana kuweka daraja kutokana na kuwa njia kuu kwa meli...
  10. Jamii Opportunities

    13 Job Vacancies at the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA)

    13 Job Vacancies at the Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA). The Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA) is a Government Agency established in 2005 to provide engineering services in Electrical, Mechanical and Electronics...
  11. Eswa

    Hongera sana TEMESA - Kigamboni

    Ni imani yangu sote tu wazima wa afya. Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...
  12. Twilumba

    Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
  13. ommytk

    TEMESA kuna kitu mnatafuta Kigamboni na hivi vivuko vyenu yetu macho

    Imani yangu ndogo sana na hii TEMESA kwa sasa kuhusu huduma hizi za vivuko Kigamboni ila ngoja twende kuna siku huu Uzi mtakuja kurepost. Yaani Kigamboni kwa sasa ipo kama yatima fulani vile ila muda ni mwalim ngoja muda utaongea. MV Kazi ina muda atuioni mpaka sasa tumeisahau, Magogoni mguu...
  14. Nyendo

    TEMESA: Kivuko cha MV. Magogoni kilipata hitilafu asubuhi, Abiria watumie Daraja la Nyerere. Kipo kwenye matengenezo

    TEMESA wamesema kivuko cha MV Magogoni kilipata hitilafu leo asubuhi, 2, Juni 2022 hivyo abiria watumie njia mbadala ambayo ni Daraja lal Nyerere. TEMESA inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza na utaojitokeza wakati huu wanapoendelea na matengezo ya kivuko hicho.
  15. I

    TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji

    Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji wa mji. Kuna njia nne za kuingia na kutoka Kigamboni. 1. Kuvuka kwa pantoni Magogoni. Njia hii...
  16. uran

    Kuna janga linaandaliwa vivuko vya Kigamboni, TEMESA chukueni hatua

    Wakuu, jana na leo! Nimeshuhudia kitu kisicho cha kawaida wakati navuka kati ya Feri na Kigamboni. Sijui kivuko ni kibovu ama vipi. Tumepanda kikagoma kabisa kwenda, nafikiri tulikuwa wengi kupita kiasi. Tukapunguzwa at least kikatembea kwa shida. Yaani kwa sasa Feri ni shida kweli kweli...
Back
Top Bottom