Search results

  1. M

    Tunaisaka nafasi ya pili kwa udi na uvumba na tukishaipata TFF ,mtutaeleza kwanini Yanga imefungiwa na FIFA kusajili vinginevyo itakuwa kama Sigara

    Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa wanasheria kabisa wa kushughulikia hoja hiyo na wametuhakikishia ushindi upo dhidi ya uhuni katika soka hapa...
  2. M

    Nitashangaa sana Juma Mgunda akikosa tuzo ya mwezi

    Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
  3. M

    Nguvu Moja ndio imeiua Azam leo wala si mbinu za Mgunda

    Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
  4. M

    Simba ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Yanga ni Bingwa wa Tanzania Bara tu, msijitoe ufahamu

    Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii. Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
  5. M

    Hongera sana Kamanda Muliro kwa kuwashikisha adabu Jacob na Malisa

    Hakuna nchi duniani yenye uhuru usio na mipaka, hakuna na haipo, hata huyo fala wenu Mange Kimambi mnayemtuma amtukane na kumdhalilisha kiongozi wa nchi kuna siku ataingia kwenye 18 za watu atajua ulimwengu huu ni nini, maana hakuna jambo lenye mwanzo lisilo na mwisho, yeye amechagua kuishi kwa...
  6. M

    Mambo 10 niliyoyaona leo Yanga Vs Simba

    1. Beki Israel Mwenda amekuwa mtu wa kufanya makosa sana lakini Benchika anaendelea kumvumilia 2.Inonga Baka amejivunja makusudi na sasa Simba imuachie akaangalie maisha mengine. 3. Che Malone amepoteza uwezo wake wa kujiamini na amekuwa akitoa boko sana, atupishe. 4. Mabeki wa Yanga...
  7. M

    Kwa mara ya kwanza Derby ya Simba vs Yanga itakosa mvuto na mapato kwa sababu ya ulofa wa Simba

    Kila shabiki na mwanachama pamoja na viongozi wa Simba hawana tena hamu na mpira, mara ya kwanza akina Jaribu Tena walikuwa wakidanganya watu kuwa Simba ni dude kubwa, Simba ndio timu bora Tanzania, wengi wakaingia mtumbwi wa kibwengo, mara Yanga inabebwa, Yanga mbovu, cjui nini sasa leo ukweli...
  8. M

    Wanaosema lile ni goli na wanaosema sio goli wote wana hoja, matusi ya nini?

    Kumeibuka mabishano makubwa baada ya goli la Aziz Ki kuonekana halikuwa goli, hasira na ghadhabu za wanayanga ni za kiwango cha kimataifa, sijui ingekuwaje kama ngoma ingepigwa kwa Mkapa na matokeo yangeishia kwa Yanga kutolewa kwa penati. Wapo wanaosema lile ni goli kabisa, limevuka mstari wa...
  9. M

    Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Kuna ubaya gani akishukiriwa Mhe.Rais, mbona kila jambo watu wanajifanya negative, mnataka ashukuriwe Mbowe?
  10. M

    Hongereni mlioihujumu Simba jana, fanyeni hivyo na Azam pia Jumanne

    Mechi ya jana tunajua kila kitu kilichofanyika, kwanza walianza na Dodoma kule Dodoma lkn hawakufanikiwa, wakafanya na Singida hawakufanikiwa, wakatumia nguvu kubwa sana na Raja, hata kama Raja ni wazuri kiasi gani lkn sio kwa yale yaliyotokea jana, tunajua waarabu walimwaga mpunga wa kutosha...
  11. M

    Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

    Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No. Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji...
  12. M

    Nilipoona Kassim Dewji kujiuzulu nafasi zote Simba, nikajua tumekwisha

    Hukuelewa nn ss hapo Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
  13. M

    Nilipoona Kassim Dewji kujiuzulu nafasi zote Simba, nikajua tumekwisha

    Simba ina wenyewe, hao akina Mangungu sio watu wa mpira, watu wa mpira ndani ya Simba wamejitoa siku ile Mangungu alipotangazwa ameshinda uchaguzi, pale ndipo Simba ilipojifia kifo cha mende, tarehe 23 tusubiri kipigo kingine na Azam Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
  14. M

    Wachambuzi feki mnayamaliza maneno, Simba itawaonyesha Waarabu makaburi ya wenzao Jumamosi

    Mmeongea sana wachambuzi feki, kila mmoja akionyesha ufundi wa kuongea, kana kwamba Simba na Yanga ni Real Madrid au Barca, michuano ya Afrika imeanza na wababe hao wa bongo wamepoteza kwa namna tofauti. Kupoteza kwao kumesababisha wachambuzi wacharuke na hoja, eti ufupi ni tatizo, cjui mabeki...
  15. M

    Natafuta dawa ya mende

    Nipigie 0776190345 dawa yao ndogo tu hao Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
  16. M

    Ratiba ya Ligi imeipa tena ubingwa Yanga msimu huu wa pili mfululizo

    Simba imebakisha mechi ngumu sana ukilinganisha na Yanga, Simba ikacheze ugenini na Namungo, imfuate Ihefu, imfuate Mtibwa, icheze na Yanga ambayo hatujaifunga tangu mwaka 2019, hatujacheza na Azam, wenzetu Yanga wanamfuata Prisons na Mbeya City na Singida, ni kichekesho kupiga makelele sisi...
  17. M

    Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Atacheza kesho na Al Ahly Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
  18. M

    Waliomng'ang'ania Feisal kwa kutoheshimu mkataba ndio hao hao wamevunja masharti ya mkataba na Sportpesa, Mungu analipa hapa hapa duniani

    Mlitumia nguvu kudai kuwa kiungo mahiri nchini Feisal Salum amekiuka masharti ya mkataba kwa kuamua kuvunja mkataba wake na sasa mmemuandikia barua mkimtaka arudi kambini ingawa yeye hana tena amani na furaha kuchezea timu yenu. Nyie sio wa kwanza kutokewa na mambo hayo, Simba ilikuwa na mtu...
  19. M

    Friends of Simba kubalini matokeo kwa maslahi ya Simba, vinginevyo Yanga wapewe kombe lao mapema

    Zipo taarifa kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya kundi la Friends of Simba kuhusu viongozi waliochaguliwa, wapo waliosema wanaunga mkono viongozi anaowataka mwekezaji na wengine wanaona maslahi yao yanapotea hivyo wanataka kupandikiza watu wao ili maisha yaende. Zipo taarifa mbaya hata gemu na...
Back
Top Bottom