Baada ya vuta nikuvute ya hapa na pale kati ya wababe Simba, Yanga na JKT, hatimaye timu ya Simba wanawake wameibuka mshindi wa kombe hilo la Ligi kuu wanawake baada ya kuifunga Alliance girls ya Mwanza kwa bao tatu kwa nunge.
Ushindi wa timu hiyo umechagizwa na uhodari wa kocha Juma Mgunda...
Klabu ya Simba imeripotiwa kuwa kwenye mazungumzo na aliyewahi kuwa kocha wa Mamelodi Sundowns, Steve Komphela ambaye hivi sasa yupo jijini Dar Es Salaam
Simba Sc ambayo imekuwa chini ya Mtanzania Juma Mgunda kwa muda inatafuta kocha mpya kwa ajili ya kampeni za msimu ujao.
Aidha zipo ripoti...
Wana Simba SC Wenzangu vipi tena mbona baada ya 'Droo' ya Kagera jana ule Wimbo wa Kumsifia Kocha Mgunda siusikii tena? Tafadhali tendelee Kuuimba Ok?
Yaani Viongozi wa Simba SC nawakubali kwani wanajua sana Kucheza na Akili zetu, Kutupoza na Kutuhamisha Fikra zetu.
Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene.
Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji.
Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
Juma Mgunda atabebeshwa zigo la lawama, ila ukweli ni kwamba Simba ni mbovu. Watu tulisema toka mwanzo kwamba Simba ni mbovu tukaishia kutukanwa.
Njooni Jumamosi Taifa muone Mbeya City atakavyogongwa bao nyingi na Yanga ndiyo mtajua tatizo la Simba siyo kocha, shida ni timu mbovu.
Juma Mgunda...
Habari wakuu.
Kwanza nianze kukupa hongera kocha mkuu wa Simba Juma Mgunda kwa kufuzu kwako makundi kwenye michuano ya CAF Champions League, hakika umepambana kwa kuitoa SIMBA pale ilipokuwa mpaka hapo ulipofikia.
Ila ningependa kukuonya na kukuonya tena, onyo hili ambalo hautalisikia kwa mtu...
Katika hali ya kawaida , jambo lililotokea kwenye timu yetu ya Simba, si rahisi kusema kwamba limetokea kwa bahati mbaya. Sisi wengine tukiangalia uwezo na elimu kubwa waliyonayo viongozi wa Simba, akiwemo mtendaji mkuu tunaona hili jambo lilikuwa mpango maalum.
Kutokana na kufahamika kwa elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.