M Mwishokambi JF-Expert Member Nov 23, 2020 322 1,208 May 9, 2024 #1 Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
City Of Lies JF-Expert Member Sep 8, 2011 3,926 4,460 May 9, 2024 #4 Kumbuka hii kauli umeitoa tarehe 09.05.24 Bado mapema.
TADPOLE JF-Expert Member Nov 18, 2015 2,808 9,062 May 9, 2024 #5 Huyu amesababisha nazi na mayai ya kienyeji vimepanda sana bei hapa Kariakoo mwezi huu, Nina kama wimi tatu sasa nakula wali wa mafuta
Huyu amesababisha nazi na mayai ya kienyeji vimepanda sana bei hapa Kariakoo mwezi huu, Nina kama wimi tatu sasa nakula wali wa mafuta