Search results

  1. Upekuzi101

    Mahitaji ya watanzania ni yaleyale Makonda ukiyatimiza haya kijiji unachukua, Hayati Magufuli alipendwa kwa Haya

    Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
  2. Upekuzi101

    Watu hawapigi kelele bure

    Kelele kelele "Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa. Wakisema kwamba, barua iliandikwa na kutiwa saini na Waziri wa Fedha tarehe 30/3, barua yenye maelezo...
  3. Upekuzi101

    Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

    Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani. Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo...
  4. Upekuzi101

    Hali ya Uongozi na Changamoto za Tanzania: Je, Viongozi Wetu Wanatimiza Wajibu Wao?

    Habari Jf. Hivi Tangu Tanzania ipate Uhuru Kuna viongozi wangapi wamejiuzulu nafasi zao pale wanaposhindwa kukidhi mahitaji? Imekuwa kawaida sana kwa viongozi wengi katika nchi ya Tanzania kutokuwa na sense ya responsibility pale wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao. Waziri kama Mwigulu na...
  5. Upekuzi101

    Secret code, secret task

    Sometimes ni ngumu kuchora mstari katika matukio kwamba nguvu hii inaishia hapa na nguvu hii inaanzia hapa hadi pale ila matokeo ya kila kitu huwa yanakuwa wazi na kuacha kila mtu akiwaza na kujipa majibu karidi ya tathmini binafsi. Ni vema kila jambo linalofanyika liwe kwa maslahi kwa taifa...
  6. Upekuzi101

    Serikali fikirini kimkakati kuhusu reli ya Dar es salaam - Moshi-Arusha

    Habari wana jf. Leo napenda kuwasilisha wazo la kimkakati linaloweza kuharakisha maendeleo ukihusisha miundo mbinu ya reli hasa Kanda ya kaskazini. Ili kuboresha biashara hasa na washirika wetu wa Afrika Mashariki tunatakiwa kuwa na reli ya SGR ukanda huu. Arusha na Moshi ni eneo la karibu...
  7. Upekuzi101

    Wizara ya Maliasili na Utalii bado ni tatizo

    Kati ya wizara ilokosa maono na mwelekeo wa kimkakati ni wizara ya Mali Asili na utalii. Pamoja na kuwa wazito katika kukabiliana na majanga kama moto na uharibifu wa mindo mbinu hifadhini bado stragestist hakuna katika hii wizara. Hivi sasa Kuna mkakati wanataka kuupitisha bila kushirikiana na...
  8. Upekuzi101

    Mamlaka ya Ngorongoro kuna tatizo kubwa sana

    Huwezi amini hili eneo linapokea na kulaza wageni zaidi ya 100 kila siku. Ngorongoro Simba camping site huu mlango una zaidi ya miezi mitatu bila kufanyiwa matengenezo baada ya kuharibiwa na tembo ila tangu uharibike haujawai kutengenezwa na wala hakuna kiongozi anayeona hili ni tatizo. Pia...
  9. Upekuzi101

    Wizara ya Maliasili hili ni tatizo

    Habari wana JF, Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo, gharama na malipo ambayo inaonekana hakuna wa kuhoji uhalali wake au umuhimu wake. Kuachilia mbali kuwa...
  10. Upekuzi101

    Huduma ya Train Dar - Arusha ni fedhea

    Habari wana Jf Kuna changamoto kadhaa kwenye tren zetu za Dar to Arusha/ Arusha to Dar la kuhusu huduma kwa ujumla hususani kwa watalii ambao wanatumia huu usafiri ni la kulifanyia kazi haswa ukizingatia Kwa sasa wazungu /watalii wengi wanapanda hizi tren kama sehemu ya utalii au budget...
  11. Upekuzi101

    Business as usual

  12. Upekuzi101

    Chadema nini msimamo wenu kwenye suala la kukopa?

    JPM alipokuwa anasisitiza kupunguza utegemezi wa mikopo kwajili ya maendeleo ya nchi, Chadema walipinga sana na kusisitiza kuwa lazima tukope. Leo mama anakopa hadi ela ya kununua chumvi mnaona hiyo haifai, sasa mmesimama kumshangilia Ruto anapoongea kauli ileile aliyoongea JPM. Tupeni...
  13. Upekuzi101

    Mwigulu soon out

    Mwigulu soon ataondoka hapo alipo na mwingine atachukua nafasi. Ni mzigo sana
  14. Upekuzi101

    Kiasi cha pesa kilichokopwa Vs Kiasi na kiwango cha miradi inayoendelea

    Habari Jf, Nimekua nikitazama habari kuhusu idadi ya fedha tulizokopeshwa kama Tanzania hadi sasahivi nadhani ukizipanga kuizunguka Tanzania unaezaweza zunguka kama mara 3 hivi ila ukitazama sights siioni kama Kuna miradi inayoreflect kiwango cha hii pesa tulizokopeshwa hadi sasa. Wataalamu...
  15. Upekuzi101

    Bongozozo anaitangaza vizuri Tanzania, Serikali fanyeni naye kazi kama siyo hatarishi

    Habari wana jf. Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza sana nchi yetu na vivutio vyake kwa ustadi na weledi siyo ule UJINGA UJINGA wanafanyaga baadhi ya...
  16. Upekuzi101

    Wapi mvua haijaisha hapa Tanzania hadi sasa

    Habari wana jf. Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula ishuke kidogo.
  17. Upekuzi101

    Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  18. Upekuzi101

    Mamlaka ya Ngorongoro mjitathimi kama mnamsaidia mama au na nyie mnamzuga kwa kusema tu anaupiga mwingi

    Salam wana JF. Nina matumaini yangu wote mpo salama. Napenda kuwaeleza juu utendaji dhaifu wa mamlaka ya Ngorongoro. Jana jioni magari mawili (fuso 1 na basi 1) yalikwama na kufunga barabara, iliyopelekea wageni waliokuwa wanataka hifadhi ya Serengeti kuelekea, Ngorongoro crater, Karatu na...
Back
Top Bottom