Upekuzi101
Senior Member
- Aug 28, 2020
- 134
- 348
Habari Jf,
Nimekua nikitazama habari kuhusu idadi ya fedha tulizokopeshwa kama Tanzania hadi sasahivi nadhani ukizipanga kuizunguka Tanzania unaezaweza zunguka kama mara 3 hivi ila ukitazama sights siioni kama Kuna miradi inayoreflect kiwango cha hii pesa tulizokopeshwa hadi sasa.
Wataalamu kidogo wa mambo ya fedha na uchumi mtusaidie kidogo hapa, pesa zinazokopwa mbona ni nyingi kuzidi uhalisia wa kile kinachodaiwa kuwa ndiyo sababu ya ukopaji huu?
Mama umeruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa so chonde chonde usijepigwa na vitu vizito kichwani ukabadili gia angani.
°Open for critics °