Business as usual

Upekuzi101

Senior Member
Aug 28, 2020
134
348
IMG-20230109-WA0008.jpg
 
Kama watalii wanafanya uwindaji wa kitalii, unategemea wanyama wanaowawinda wasafirishwe kwa njia gani? Au mnataka wakale kibudu?

Mnyama anatakiwa kusafirishwa kabla hajakata roho ili akachinjwe, afanywe kitoweo. Au watalii wetu hawali wanyamapori?

Mama amefungua nchi jamani, wanyama wapo wengi hadi wengine wanavamia makazi ya wananchi...wauzwe tu
 
Chuma Hicho Kimekuja Shamba Kuvuna Mazao Shambani Kwa Bwana Heri, Mambo Yote Heri
 
Chuma Hicho Kimekuja Shamba Kuvuna Mazao Shambani Kwa Bwana Heri, Mambo Yote Heri
Nipe uthibitisho hapo ni Tanzania. Kuna mijitu mizwazwa sana

Kwa iyo mie naweza kuokota picha mahali popote huko nikaiweka hapa nikasema Tanzania alafu mkaamini??


Kweli ujinga kipaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom