Watu hawapigi kelele bure

Upekuzi101

Senior Member
Aug 28, 2020
134
348
Kelele kelele


"Viongozi wa chama cha ANC wametishia kwenda mahakamani wakiishutumu serikali kuwapa Dubai tenda ya usimamizi wa bandari kinyume cha sheria kwasababu wananchi hawakuhusishwa. Wakisema kwamba, barua iliandikwa na kutiwa saini na Waziri wa Fedha tarehe 30/3, barua yenye maelezo kuhusu makubaliano kati ya serikali hizo mbili.

"Hata hivyo Waziri Yattani amesema barua hiyo ni sahihi na kwamba hakuna makosa Serikali ya Kenya kushirikiana katika makubalino ya kiuchumi na Serikali yoyote. Yattani akiongeza kuwa, Serikali ya Kenya inapanga kufanya Makubaliano mengine kama hayo na mataifa mengine kwa minajiri ya kuboresha uchumi wa nchi."
 
Back
Top Bottom