Search results

  1. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  2. Z

    Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  3. Z

    Kama nimejenga nyumba kwenye kiwanja si changu, kunivunjia nyumba au kuniambia ninunue hicho kiwanja kipi bora?

    Wakati mwingine busara huwa inaitajika unapotoa maamzi. mediation inaweza kutumika .kwani kuna faida gani unapovunja nyumba ya mtu hata kama kiwanja si chake? Wewe mwambie kiwanja si chake then akikubari mwambia nunua kiwanja hiki.ziko taasisi zenye kuthaminisha viwanja na majumba, Hivyo...
  4. Z

    Ningekuwa na karama ya kulaani ningelilaani Italia (Roma) kwa kusababisha usumbufu kati ya Myahudi na Muislam

    The siege of Jerusalem of 70 CE was the decisive event of the First Jewish–Roman War (66–73 CE), in which the Roman army led by future emperor Titus besieged Jerusalem, the center of Jewish rebel resistance in the Roman province of Judaea. Following a five-month siege, the Romans destroyed the...
  5. Z

    Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  6. Z

    Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  7. Z

    Viongozi wa kuu wa ulimwengu huwa vichwa vyao vigumu. Wangewambia HAMAS kuwaachia mateka wa Israel ,kungekuwepo na ahuweni kwa watu wa GAZA

    Ukiondoa taifa la America na baadhi ya mataifa ya ulaya, wengi wa viongozi wakuu wa taifa mbali mbali wang'angania kuilaumu Israel kwa uisambaratisha Hamas. Sasa israel inajipanga kuivamia RAFAH na bado viongozi wa kiarabu ,UN ,Afrika waniona israel kama nchi mbaya sana. swali ni je israel...
  8. Z

    Kama mbunge analipwa mshahara kama watumishi wengine kwanini mbunge akistaafu anapewa pesa zote huku watumishi wengine ni 33%?

    Huwa natamani kuelewa vizuri. Sijajua vizuri kama Mbunge analipwa mshahara kila mwezi kwa miaka mitano, lakini ninachofahamu ni kuwa bunge likivunjwa baada ya miaka mitano huwa wanapewa hela nyingi sana, zaidi ya milioni 200 kwamba hiki ni kiinua mgongo. Natamni kujua ni kigezo gani kilitumika...
  9. Z

    Umri wa kustaafu ukipunguzwa, vijana hawawezi kuajiriwa?

    Sheria ya kustaafu kwa sasa ni mpaka miaka 60 lakini ukosefu wa ajira nchini ni mkubwa mno. Ninavyoongea kuna vijana tangia 2015 bado wanahangaikia ajira. Unakuta kuna wazee zaidi ya miaka 55 bado wako kazini na utendaji kazi wao umepungua kwa kiasi kikubwa. Je, tukipunguza umri wa kustaafu...
  10. Z

    it is a big shame for ANTONIO GUTERRES not to resign till now

    MR Antonio GUTTERES should resign immediately to protect his honor as we have seen his office has supported HAMAS to invade, kill, abduct, and rape innocent ISRAEL people. This is evidenced by the fact that workers from UNRWA are members of HAMAS and participated in the barbaric massacre of...
  11. Z

    Imani na historia potofu ilijengwa na wanazuoni wa Kiislamu juu ya Israel na Yerusalem chanzo cha vita ya sasa na baadaye

    https://youtu.be/4s9CaV03Uxs?si=TJFYLpOXfSocb_2W Ukisikiliza mafundisho ya huyu msomi mwanazuoni wa kislamu utapata ukweli na uongo juu ya taifa la Israel na ,Yerusalem ,ukristo na uislam.chanzo kikuu Cha vita ya Sasa na ya baadaye. Mfano wa uongo ni :Tangia lini Musa na wafuasi wake wakawa...
  12. Z

    Hospitali binafsi siyo wa pigaji wa hela kama wengine wanavyofikiria

    Kiukweli hospitali binafsi hazipati au kupiga hela kama wengine wanavyofikiria, tofauli na hospitali za Serikali ambazo zinapata ruzuku kutoka Serikalini pamoja mishahara kutoka hazina, private hospital zinajitegemea 100% katika kutoa huduma zote. Hakuna ruzuku yoyote wanayoipata kutoka...
  13. Z

    To solve the Palestrina -Israel war for durable peace,let western bank join Gaza to form one country

    The only way to solve the current war between GAZA and ISRAEL ,is to join the western bank (new Palestine) to Gaza(old Palestine) and form one country. The problem in this is that there is a false belief that JERUSALEM is the capital of the Palestine according to Muslims .Jerusalem was the...
  14. Z

    Katibu Mkuu anafaa kuwa Humphrey Polepole, CCM itashinda asubuhi sana

    CCM inaitaji katibu mkuu mzalendo, mpigania haki na usawa, mcha Mungu kama vile Humphrey POLEPOLE. This guy huwa namkubari sana ni jeniasi na ni PRO MAGUFULI, na ukimtaja Magufuli kwa mema lazima wananchi wakupe kura chap asubuhi na mapema. CCM tuleteeni Mr SLOW SLOW but sure ili tuwatandike...
  15. Z

    Why UN and international community have never blamed Hamass?

    I don't understand why UN and international community have never blamed Hamass Of : 1. Hiding in and using civilian infrastructures for war operations? 2. Why their soldiers are not wearing uniforms? 3. Why aids given previously to the rebuilding of the country was used for building terror...
  16. Z

    Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  17. Z

    Nchi za kiarabu mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisrael na kukubali kushindwa

    Nchi za kiarabu na mnatakiwa kuwashawishi HAMAS haraka kuwaachia mateka wa kiisraeli ili kuokoa maisha ya wanachi,watumishi wa afya huko Gaza Kwa makosa ambayo HAMAS ilifanya kujenga mahandaki ya kujifichia na kupanga mashambulizi chini ya hospitali shule,kambi za wakimbizi , na israel kuapa...
  18. Z

    Hivi tozo kwenye miamala ya simu ziliondolewa au zilipunguzwa?

    Leo nimetoa hela kwa waakala wa M-Pesa kiasi cha 30,000, meseji inasoma hivi; "...... imethibitshwa tarehe 20/10/23 saa 9:52 AM Pokea kiasi cha Tsh 30,000.00 kutoka ....., jumla ya ada Tsh 2,201.00 (M pesa ada 1,850.00+tozo ya serikali Tsh 351.00).
  19. Z

    Uadui Kati ya Myahudi na mpalestina / mwarabu ulitengezwa na Mungu mwenyewe hivyo atamaliza mwenyewe kwa sababu hatukumjua Mungu kupitia Yesu kristo

    Mungu aliamua kuwapa wayahudi nchi ya Kanani ufalme wenye nchi zaidi ya Tano baada ya kuwa wenyeji wa nchi Ile walikuwa wakiabudu mizimu. Pale ilitengenezwa uadui mkubwa na hasa kosa la Wana Israel waliambiwa na Mungu kuwa wawafutie mbali Yale makabila yenye kuabudu miungu mingine . Mungu...
  20. Z

    Tunahitaji kumwelewa Mungu kwa undani zaidi, makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui kati ya Israel na Palestina

    Makosa ya binadamu ndiyo yalileta uadui Kati ya Israel na palestina.Makosa haya ya babu zetu hatuitaji kuyashikilia nabkusababisha uadui usiyokuwa wa maana . Ibrahim aliaahidiwa na Mungu kuwa angempa nchi ya kanaani na kuwa urithi wake .Kanani ilikuwa ni nchi( au ulfame) kubwa yenye mikoa...
Back
Top Bottom