shame

Shame is an unpleasant self-conscious emotion typically associated with a negative evaluation of the self; withdrawal motivations; and feelings of distress, exposure, mistrust, powerlessness, and worthlessness.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    it is a big shame for ANTONIO GUTERRES not to resign till now

    MR Antonio GUTTERES should resign immediately to protect his honor as we have seen his office has supported HAMAS to invade, kill, abduct, and rape innocent ISRAEL people. This is evidenced by the fact that workers from UNRWA are members of HAMAS and participated in the barbaric massacre of...
  2. U

    Fool me once shame on you, Fool me twice shame on me, Nimemkamata binti wa dukani kaniibia kwa mbinu aliyoniibia mwanzo, Kazi hana mshahara umekwenda

    Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili. Niliweka binti wa kazi...
  3. Q

    Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

    Tarehe 24/10/2007 Balozi Dr. W.P. Slaa, akiwa viwanja vya Mwembeyanga Temeke alitaja majina 11 akiwemo Rais mstaafu Mkapa na Rais aliyekuwa madarakani Mh Kikwete kuwa ni miongoni mwa Mafisadi wa nchi. Akiongea na waandishi wa habari kwenye hotel ya Regency 13 June, Slaa alisema, “Waliohudhuria...
  4. Justine Marack

    PhD ya Tozo na Kukopa!

    Unakaa na kutumia elimu ya PhD kuweka Kodi kwenye matangazo ya akina Juma Lokole! Mtu anapost kutangaza Shanga na Chupi halafu eti naye unamfikiria kama Chanzo cha Mapato! Tumechoshwa na watu wanaokaa ofisini na kufanya kazi kwa mazowea. Kwanza ilipawa tuelezwe ni kigezo gani kitatumika kumpima...
  5. britanicca

    Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  6. R

    Badala wanasiasa wawaze kuongeza miundombinu ya Afya na elimu wanawaza kugawana majimbo; shame

    Wezi WA Kura mara nyingi wanakuwa wabinafsi, wanategemea kubebwa Ndipo waishi. Wapo radhi kuua ili wapate madaraka. Wapo radhi wawafunge wapinzani wao wanaokubalika ili wao wapite Bila kupingwa. Alichofanya Gambo na Tulia nikuonyesha kile wanachofikia walafi WA madaraka kwenye majimbo yenye...
  7. B

    Kumekucha, List of shame inanukia!

    Kama ni bahari basi kumechafuka. Tundu Lissu yuko ndani ya nyumba na Lema anapiga jaramba tayari kuingia kuchukua nafasi ya mtu. Upande wa pili hali si hali mwangwi ungali unaendelea kurindima: "Pana mafisadi mapapa hapa. Manono kuliko ya enzi zile." Ama Kwa hakika historia haiachi...
  8. Suley2019

    Watalii wapatao 1000 kutoka Ukraine wadaiwa kukwama Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema inashirikiana kwa karibu na ubalozi wa Ukraine uliopo nchini Kenya kuangalia ni namna gani itawasafirisha watalii wa Ukraine wapatao elfu moja ambao hivi sasa wamekwama kisiwani humo baada ya kuzuka kwa vita kati ya Urusi na Ukraine. Leila Mohammed Musa, ambaye ni...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Hoja ya ufisadi wa CCM kutunyanyua wapinzani, kama ilivyofanyika enzi zile list of shame ya mafisadi na sasa tuikiomalie na huu wasaa wa kuig'oa CCM

    List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu. Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi...
  10. B

    Tanzania, mmedhibiti mijadala kwenye radio na Televishen, wanaharakati na wapinzani wamehamia space na zoom mmewafuata kuomba mic; It's Shame

    Serikali na chama tawala wamedhibiti watu kusema na kujadiliana kwenye TV na Radio Kwa manufaa ya afya ya akili ya Watanzania. Wakafungia magazeti na baadhi ya online tv. Wakatunga sheria Kali na kuajiri TCRA wapambane na wakosoaji wa serikali. Kwa kuwa wanaozuiwa kusema ni wale wenye akili...
  11. Naanto Mushi

    Namba zinanuka: Naunga mkono TANESCO ifumuliwe, na ikiwezekana ibinafsishwe kabisa, Makamba yupo sahihi 100000%. TANESCO ni janga

    Nimekuwa nikitafiti mwenendo wa performance wa shirika letu la umeme kwa muda mrefu, ila sikuweza kufanikiwa kupata takwimu kwa wakati. Nikimaanisha takwimu za kifedha za shirika letu hili. Nashukuru Mungu leo wameweka taarifa za kifedha na nimeweza kuendelea na utafiti wangu. Ila kwa kweli ni...
  12. N

    Waziri Makamba, do the right thing to shame the devil!!

    kama kuna wanasiasa vijana nchi hii ambao mimi binafsi nawakubali sana kutokana na uwezo wao wa kiakili, wewe ni namba moja mheshimiwa. iko hivyo kwangu muda mrefu tu. na si mimi tu, kuna wengine tu wanaouona umaridadi wako pia......ushahidi upo ulipoingia katika kinyang'anyiro cha uraisi na...
  13. N

    Nawashauri Kagera Sugara wakazie hiyohiyo milioni 200 wanayoitaka

    Yaani kweli mlishindwana 15 millions tu kuongezea iwe 50 millions waliyotaka kagera sugar? mbona kuna wakati magarasa ya nje ya nchi yanalipiwa hadi milioni 80? huyo kijana sasa kakosa kibali hachezi champions league na mvutano unaenda kuwa mkubwa bila sababu za msingi Upumbavu tu, nawashauri...
  14. BAK

    Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    Whatever the sangomas in our midst would have us believe, I think that there was a lot of infection around John Magufuli’s work environment, in which wearing a face mask was not tolerated and crowding was a way of life. PHOTO | FILE | NMG By JENERALI ULIMWENGU THURSDAY JUNE 03 2021 The...
Back
Top Bottom