Sioni kama itasaidia kitu. Hukumu ni makaratasi kama hakuna chombo imara cha kuitekeleza.Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara.
Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
Kwanini DRC isiivamie Rwanda,,, kaanchi kenyewe kadogo kale
Na aman itapatikana ya kudumu kabisa.,, Toka kagame akamate inchii ya Rwanda,, DRC imepitia madhila mengi sana.Hili ndio swali la msingi, yaani unapata usumbufu kutoka kwa kainchi kadogo saizi ya mkoa wako mmoja halafu unapigia watu makelele.
Kama imeshindikana kupigana na hao M23, wakae wayaongee kama ilivyo kule Sudan Kusini, kule walipigana miaka mingi sana wakaona hamna tija, wakakubali kuongea na leo hii wanaendelea kuboresha nchi.
Kwanini DRC isiivamie Rwanda,,, kaanchi kenyewe kadogo kale
Kwa ujumla sioni maana ya EAC ,ikiwa nchi mwanachama anamsumbua mwenzake kijinga jinga. ilitakiwa EAC imwekee kagame vichwazo vya kiuchumi na bkijeshi pia .hapo ningeona maana ya EACHili ndio swali la msingi, yaani unapata usumbufu kutoka kwa kainchi kadogo saizi ya mkoa wako mmoja halafu unapigia watu makelele.
Kama imeshindikana kupigana na hao M23, wakae wayaongee kama ilivyo kule Sudan Kusini, kule walipigana miaka mingi sana wakaona hamna tija, wakakubali kuongea na leo hii wanaendelea kuboresha nchi.
vita wakati mwingine ni shida .maana unayempiga naye ana washirika wake so unaweza kukuta vita imekuwa kubwa sana.silaha nzuri ya kumpigia mjinga ni kmwekea vikwazo vya kiuchumiSio kuishtaki ni kuipiga
Hukumbuki KDF walivyokimbia muziki wa M23 ambao Ni wing ya RDF???Hili ndio swali la msingi, yaani unapata usumbufu kutoka kwa kainchi kadogo saizi ya mkoa wako mmoja halafu unapigia watu makelele.
Kama imeshindikana kupigana na hao M23, wakae wayaongee kama ilivyo kule Sudan Kusini, kule walipigana miaka mingi sana wakaona hamna tija, wakakubali kuongea na leo hii wanaendelea kuboresha nchi.
Sio solution anatakiwa asipitishe mizigo bandari hizi,, kabisa ,atumie ndege za mizigo. Garama ya maisha ipande ili apate upigwaji mwingi ndani ya inchi yake kwanza kabla ya yote.DRC imejaa wahuni ambao siyo wazalendo.KAGAME ameshaiba madini mule mpaka amekosa pa kuyaweka. yani ilipasa EAC imwekee vikwazo kagame asipitishe silaha kwenye ports yoyote ya EAC
Tatizo siyo rwanda peke yake, kuna belgium , france , uganda , rwanda , hao belgium na france wana act on behalf of westerners walishamuua hadi katibu mkuu wa united nations kwa kutungua chopa yake , biashara ya congo hadi mzungu aamue haiishi leo huyo rwanda ni chambo tuVita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara.
Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
Vita ni kama football aliyebora ndo anashinda.Kwanini DRC isiivamie Rwanda,,, kaanchi kenyewe kadogo kale