Search results

  1. The Planner

    Ufafanuzi wa TFDA juu ya suala la Sumu katika Soda

    Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) ni taasisi iliyoundwa chini ya Sheria ya Chakula Dawa na Vipodozi Sura ya 219, ili kudhibiti ubora na usalama wa vyakula, dawa, vipodozi, na vifaa tiba kwa lengo la kulinda afya ya jamii dhidi ya madhara yatokanayo na matumizi ya bidhaa hizo. Ili...
  2. The Planner

    Waraka wangu mfupi kwa Mh.Mwigulu

    Salamu kwako Mh. Mwigulu L.Nchemba (Mb). Naamini wewe ni mmoja kati ya wadau wa JF, hivyo utasoma moja kwa moja ujumbe wangu kwako, au kama hutosoma basi watu wako watasoma na kukupa taarifa. Leo tarehe 18.4.2013 nimekushuhudia ukichangia bungeni, ulianza vizuri kwa kutetea watu wako ili...
  3. The Planner

    Kauli ya Kikwete Vs Mfumo wa Taarifa

    Jana wakati mwenyekiti mteule wa CCM, Dr. JM Kikwete akihutubia mkutano mkuu aligusia suala la mawasiliano na umma, alisema simu zake zinamsaidia sana kupata kinachoendelea huku uraiani.,na akasema mara nyingine huwa hajui kinachoemdela huku! Hapo ndipo tatizo langu la msingi...
  4. The Planner

    Baadhi ya makalani wanahujumu zoezi la Sensa

    Kaya yangu ni moja kati ambazo zilikuwa hazijahesabiwa katika siku saba za mwanzo. Nilikuwa na maswali mengi kichwani, mojawapo likiwa kama mimi nipo mjini ambapo kuna miundombinu ya kutosha sijafikiwa, itakuwaje kwa mtu aliyepo kijijini. Lakini leo asubuhi alikuja karani wa sensa nyumbani...
  5. The Planner

    Wabunge wetu na pande mbili za Ubongo

    Naomba nianze thread yangu kwa kuwakumbusha kidogo physics, Nadhani wengi mnakumbuka jinsi pendulum inavo-swing kushoto na kulia. Sasa nataka kuirelate movement ya pendulum na ubongo wa binadamu kwamba nao in kama unamove pande mbili ambazo ni Sense and Non-Sense, na mara nyingi mtu anapotoa...
  6. The Planner

    Tafadhali Soma Hii: Athari ya A/C katika Magari

    My car book says to roll down the windows to let out all the hot air before turning on A/C. WHY? Car Air-conditioning - No wonder more folks are dying from cancer than ever before. We wonder where this stuff comes from but here is an example that explains a lot of the cancer causing incidents...
  7. The Planner

    Details za Tours Company

    Jamani wadau, naomba msaada nataka kufungua kijikampuni changu cha kukodisha magari "Tours company" but sijui procedure zake.,tafadhari naomba mwenye details anijuze!
  8. The Planner

    Msaada wa Package

    Jamani wadau, please naomba msaada mtu anaejua kampuni inayoweza kunitengenezea package za chaki (box ndogo na Kubwa) na juice (Box).,NB: Naomba location na full address if possible
  9. The Planner

    Ukistaajabu ya Sophia Simba utaona ya Chiza

    Nilikuwa nasoma thread inayomhusu Sophia Simba na vioja vyake ktk C10, hapohapo nikakumbuka Statements za naibu waziri wa kilimo akiongea na waandishi wa habari kwamba serikali haiwezi kudhibiti mfumuko wa bei za vyakula., Napata shida kujua hawa watu wanafanya nn? kama unakili huwezi kufanya...
  10. The Planner

    TZ List of unsolved crimes

    Hebu tutengeneze list firms with unsolved crimes hapa: 1. Kagoda 2. Meremeta 3. Dowans. 4. 5.
  11. The Planner

    Tanzania na siasa ya uchumi na uchumi wa siasa

    Wanazuoni mbalimbali katika fani ya maendeleo na uchumi wamewahi kuja na theories mbalimbali katika kujaribu kueleza dhana ya kutokuendelea kwa nchi za dunia ya tatu, pia wamejaribu kutoa hatua ambazo wanadhani nchi zilizoendelea zilifuata, Ukimuangalia Marx kwa mfano na watu mbalimbali...
  12. The Planner

    Natamani wiki leaks ianike uozo wa Dowans

    Nadhani wiki leaks wanaweza wakawa na mlolongo mzima wa hii skendo ya Dowans! I wish Assange angetusaidia kuitoa live hii nayo, though najua watu wanafahamu hasa nani mmiliki halisi wa Dowans. It is paining knowing that huu ni wizi wa hadharani halafu mkuu wa kaya yupo kimya. kuna mambo mawili...
  13. The Planner

    FFU-Iitwe kikosi cha kutuliza Demokrasia (KKD)

    Je,kuna haja ya kubadili jina la kikosi chetu cha kutuliza ghasia na kukiita kikosi cha kutuliza demokrasia, maana naona kila palipo na chembechembe za mapinduzi ya demokrasia hawa jamaa lazima waende! tujadili
  14. The Planner

    JK, Hii si ishara njema

    Siku zote wahenga hunena, panapofuka moshi kuna moto, Nimeanza kwa msemo huu nikijaribu kuoanisha na jinsi mambo yanavyokwenda katika kipindi hiki kifupi baada ya uchaguzi. Migomo imeanza kushika kasi karibu katika maeneo mengi kuanzia vyuo vikuu, wafanyakazi wa reli, wachimba mchanga huko...
  15. The Planner

    Bei mpya ya umeme na siasa yetu

    Siasa inapoingia katika masuala ya msingi, tunaelekea kuua taifa letu! leo tunaambiwa bei ya unit 1 ya umeme inapanda kwa asilimia 18, so kutoka ilipo karibu Shs. 129 tunaelekea Shs.160 kwa unit moja and then tuna matumaini ya kuvuka kutoka uchumi unaotegemea kilimo kuwa industrial led economy...
  16. The Planner

    Baadhi ya muvi za bongo zinachefua

    Kila kitu katika dunia hii kina hatua zake toka kuzaliwa (kuanzishwa) mpaka kufa kwake, Katika kila hatua kuna changamoto zake lukuki, lakini changamoto ndo zinafanya hatua inayofuata iwe bora zaidi, lakini mmh si katika muvi za Bongo. Leo nataka japo kwa ufupi kujadili suala la "Bongo Movies"...
  17. The Planner

    Je, viongozi wa Afrika wana matatizo ya vinasaba?

    Professor Watson, mtaalam aliyebobea katika mambo ya vinasaba (DNA), alitueleza kuwa watu weusi tunavinasaba inferior kulinganisha na watu weupe, ilizua mjadala ambao ulijikita katika mazingira ya ubaguzi wa rangi kwa kiwango kikubwa, kwanza ukitafakari kuwa tuna wataalam wenye ngozi nyeusi...
  18. The Planner

    Mambo ya Wikilink

    Najaribu kufikiria sakata zima la wikilink jinsi linavyoendeshwa and then nalinganisha na mfumo wetu wa dola ulivyo hapa kwetu and then najaribu kulink na demokrasia. Assange ambaye ni mmiliki wa huo mtandao pamoja na kudaiwa kumiliki kinyume cha sheria classified documents za USA, Bado anakula...
  19. The Planner

    Utata katika uteuzi wa majaji znz

    CHAMA Cha Mawakili Zanzibar (ZLS) kimepinga uteuzi wa majaji wa Mahakama Kuu uliofanywa na Rais wa Zanzibar (SMZ), Dk Ali Mohammed Shein Novemba 29 mwaka huu wa 2010 na kuhoji uhalali wa uwepo wa Jaji Mkuu wa Zanzibar aliyestaafu. Tayari ZLS kimemwandikia barua Dk Shein Novemba 30, ambayo...
Back
Top Bottom