FFU-Iitwe kikosi cha kutuliza Demokrasia (KKD)

The Planner

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
357
118
Je,kuna haja ya kubadili jina la kikosi chetu cha kutuliza ghasia na kukiita kikosi cha kutuliza demokrasia, maana naona kila palipo na chembechembe za mapinduzi ya demokrasia hawa jamaa lazima waende! tujadili
 
Ni kweli kabisa, mimi nilikua nafikiri hawa jamaa pamoja na kuitwa Kikosi cha Kutuliza Democrasia lakini pia ni hawa jamaa wameishia kuwa ni Kikosi cha Kupiga Wananchi. Huwa nashindwa kuelewa hawa jamaa wanatuluza fujo au huwa ndio chanzo cha fujo...! manake wanapoingia mahali wao kazi yao ni kupiga watu tu bila hata kujali hali halisi wanayokutana nayo hapo mahali...!

Kuna haja ya kuwafundisha hawa jamaa utandaji kazi sio kupiga raia...! It sucks so much...!
 
Sijui wao hawataki maendeleo maana hicho kikosi ni kweli kiitwe kikosi cha kuzuia maendeleo kwani kwenye haki watu wakijitahidi wapo hapo kisa kuvuruga wala si kutuliza ghasia
 
tatizo wengi wao ni dormant walifeli form 4. Na wengine vyeti bandia. Ndio maana hawa reason ktk maamuzi yao.
 
Je,kuna haja ya kubadili jina la kikosi chetu cha kutuliza ghasia na kukiita kikosi cha kutuliza demokrasia, maana naona kila palipo na chembechembe za mapinduzi ya demokrasia hawa jamaa lazima waende! tujadili
Na tukishabadilisha jina ili iwe nini?
 
Nchi imekwenda kusiko,wanashindwa kuheshimu mawazo ya watanzania. Hawa FFU ni wananchi masikini walioamua kuihasi hali yao ya kiuchumi na kimaendeleo kwa ajili ya watawala!
 
Back
Top Bottom