JK, Hii si ishara njema

The Planner

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
357
118
Siku zote wahenga hunena, panapofuka moshi kuna moto, Nimeanza kwa msemo huu nikijaribu kuoanisha na jinsi mambo yanavyokwenda katika kipindi hiki kifupi baada ya uchaguzi. Migomo imeanza kushika kasi karibu katika maeneo mengi kuanzia vyuo vikuu, wafanyakazi wa reli, wachimba mchanga huko mbeya, ukiangalia hapa ni kwamba kuna mambo hayaendi sawa kwa wasomi, wafanyakazi na wananchi wa kawaida. JK this is not a good sign, hawa watu wanafanya migomo na maandamano kuexpress hisia zao, lakini time will come wataona migomo haiwasaidii, itakuwa hatari sana kupambana na watu waliokata tamaa, hawa huwa hawana cha kupoteza.,Nawasilisha!
 
Hawa watu wote watachukua akili za kuambiwa halafu watachanganya na za kwao kama mbayuwayu patakuwa hapatoshi.....
 
Ndg 'The Planner', usipoteze muda hakuna atakayekusikiliza hapa. Ukitaka kujua ukweli huo tazama kauli ya Mzee Makamba juu ya hali ya uchaguzi kiini-macho kule Arusha.

Ndio busara tunazopashwa kuzitegemea hizi mambo yanapokua magumu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom