Msaada wa Package

The Planner

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
357
118
Jamani wadau, please naomba msaada mtu anaejua kampuni inayoweza kunitengenezea package za chaki (box ndogo na Kubwa) na juice (Box).,NB: Naomba location na full address if possible
 
Piga +255 272549138 kiwandani watakusaidia. Hao ndio wanatengenea box za maji ya Kilimanjaro na Dasani.
 
Back
Top Bottom