Search results

  1. Narubongo

    Basi jipya la Simba halina hadhi

    Mimi ni shabiki simba damu na nimekuwa mmoja kati ya watu wanaopigania simba ipate basi jipya lenye hadhi ya simba kwa muda mrefu. Nimefika mbali mpaka kutoa ushauri kwa mo apunguze bonus za mamia ya mamilioni anayotoa kwa mechi moja ili zielekezwe kununua basi lenye kiwango kama timu kubwa za...
  2. Narubongo

    Hudhuria maonesho ya kanda ya nane nane 2019

    Kwa wadau wote wa kilimo na ufugaji, muda wa kupata maarifa mapya ni huu mpaka tarehe 8/8. Tuepuke kufanya ufugaji na kilimo cha mazoea. Ukihudhuria maonesho haya utajifunza mengi kitaalam kati ya haya Mbegu bora, nafaka, spices, matunda kama strawberry etc Namna ya kuhudumia shamba na...
  3. Narubongo

    ni mzuka tu

  4. Narubongo

    Mwandishi afukuzwa uanachama baada ya kuwasaliti wenzake

    SOURCE: g sengo: MWANDISHI AFUKUZWA UANACHAMA BAADA YA KUWASALITI WENZAKE
  5. Narubongo

    huyu Mchumiatumbo atakuwa ni msukuma au mtu wa mbeya/iringa

    rip Zola D Zola D – King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
  6. Narubongo

    hayawi hayawi yamekuwa: United agree van Persie deal

    United agree van Persie deal Manchester United is pleased to announce it has reached agreement with Arsenal Football Club for the transfer of Robin Van Persie. The deal is subject to a medical and the agreement of personal terms. A further announcement will be made in due course...
  7. Narubongo

    Inauma: Sina mengi..

    Mgonjwa akitafuta msaada Bango lajieleza SOURCE: g sengo: KUSHANGAA MWISHO MARA MOJA MY TAKE: Kuna umuhimu wa serikali kutenga budget maalum kwa watu wasio na uwezo wa kujilipia matibabu, mafano ni huyu ndugu yetu anayehitaji matibabu ndani ya nchi na si India lkn anashindwa kutokana na...
  8. Narubongo

    Kilimo cha umwagiliaji rahisi

    Wengi wanashindwa kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa kukosa mtaji wa kuchimba kisima na kununua pampu, ukiitumia akili yako vizuri hili si tatizo kabisa. Akili ni mali, angalia jinsi ya kuanza kilimo cha umwagiliaji kwa gharama nafuu huu ni ubunifu wa watu wa misungwi (mwanza)
  9. Narubongo

    Vituko vya kp

  10. Narubongo

    Kikwete apewa tuzo na madaktari wa meno Tanzania

    rais kikwete leo ametunukiwa tuzo na chama cha madaktari wa meno Tanzania uliombatana na kupewa uanachama wa chama hicho source: TBC
  11. Narubongo

    Ipe maneno

  12. Narubongo

    Toa maoni yako

  13. Narubongo

    Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka. wito wa...
  14. Narubongo

    Miaka 35 ya ccm: Wananchi watokwa machozi ya furaha (picha)

    amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza...
  15. Narubongo

    JK apewa tuzo leo

    jk amepewa tuzo huko Addis ababa na maraisi wa afrika, ni tuzo ya kupambana na ugonjwa hatari wa malaria barani afrika, hii ni mara ya pili kwa tz kuipata award hii inayoheshimika sana duniani SOURCE: TBC taarifa ya habari saa 2
  16. Narubongo

    Video: Watoto waliopelekwa karimjee kujaza nafasi alfajiriiiiiii

    linki HABARI NI HABARI NDUGU YANGU: ITV HABARI NA MCHAKATO WA KATIBA NA VIBWEKA VYAKE
  17. Narubongo

    SHEIKH MKUU WA DAR NA MCHAKATO WA KATIBA MPYA(video)

    harufu ya udini kwa mbali na uelewa mdogo wa mambo nyeti
Back
Top Bottom