huyu Mchumiatumbo atakuwa ni msukuma au mtu wa mbeya/iringa

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
rip Zola D
IMG_3441.JPG

Zola D – King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.

IMG_3427.JPG
 
Kwi kwi jamaa kama wa mbeya vile ngoja ntamuuliza baada ya mpambano
 
height advantage tu inambeba zola,huy jamaa mtambi tu ka kaptein jon komba,lazima akae,mfupiiii ka jotiiii
 
Misuli hiyo jamani mbona balaa akikukwida kabali huyo unaweza pata sudden death due to ASPHYXIA.
 
rip Zola D
IMG_3441.JPG

Zola D – King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.

IMG_3427.JPG
Mbavu kbwa tu hapo hamna kitu hapo?
 
Zola D afunzwa ngumi na Mchumiatumbo

Zola D afunzwa ngumi na Mchumiatumbo

na Ruhazi Ruhazi

BONDIA na rapa maarufu nchini, Zola D, juzi alikiona cha mtema kuni baada ya kuchezea kichapo cha mbwa mwizi kutoka kwa Alphonce Mchumiatumbo, alipopigwa KO raundi ya kwanza.

Zola D, alikutana na kichapo hicho katika pambano lililovuta hisia za wengi kwenye Ukumbi wa Chuo cha Bandari Tandika jijini Dar es Salaam.

Tambo zote alizokuwa akizitoa Zola D kabla ya pambano hilo hazikuweza kuonekana ulingoni badala yake alikwenda sakafuni alipokutana na ngumi ya pili tu ya Mchumiatumbo.

Katika kile kilichoonekana kuwa Zola D hana uwezo wa kumkabili Mchumiatumbo, ndani ya raundi ya kwanza alikwenda sakafuni mara tano, jambo lililowafanya mashabiki kuhofia kuwa angeweza kupoteza maisha.

“Huyu mtoeni atakufa, atauawa huyo, we mwamuzi maliza pambano huyu hawezi kuendelea,” ni baadhi ya maneno yaliyotolewa na mashabiki waliohudhuria pambano hilo lililochezeshwa na mwamuzi Mike Hatia.

juu
 
rip Zola D
IMG_3441.JPG

Zola D – King (in red) akitunishiana msuli na Alphonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.

hapo juu kuna maandishi ya Rip Zola D, kwani huyo jamaa amesha rest in peace?
 
Back
Top Bottom