Video: Watoto waliopelekwa karimjee kujaza nafasi alfajiriiiiiii

Yaani siamini vile : Tendo la Kukodi vijana ili kuzomea shuguli muhimu kama ya katiba, huu ni uhaini hii ni aibu kubwa kwa Taifa !. Kitendo hiki kinapaswa kilaaniwe kwa nguvu zote. Huu ni zaidi ya uhuni wa kisiasa. Ni uuwaji wa makusudi wa mchakato mzima wa Katiba ambayo ni moyo wa nchi yoyote ile duniani !! Kama sasa CCM inakufa, isipende kutuingiza kwenye vita na vifo Tanzania !!!

cCM imechoka,
 
Back
Top Bottom