Inauma: Sina mengi..

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
siku+hizi+umaskini+ndiyo+mtaji.JPG

Mgonjwa akitafuta msaada

kilicho+andikwa.JPG

Bango lajieleza

SOURCE: g sengo: KUSHANGAA MWISHO MARA MOJA

MY TAKE: Kuna umuhimu wa serikali kutenga budget maalum kwa watu wasio na uwezo wa kujilipia matibabu, mafano ni huyu ndugu yetu anayehitaji matibabu ndani ya nchi na si India lkn anashindwa kutokana na umasikini. Ni bora kukosa barabara za lami kuliko kuwaacha wenzetu na mateso haya. Pia ndugu zangu tuwe na moyo wa kuwasaidia wenzetu
 
Aiseeh, Mungu amponye huyu mtoto. Inauma sana
 
Magamba yanakamua tu bila kujali watu wake. Nchi hii serikali haiwajibiki kwa wananchi bali wananchi wanawajibika kwa serikali! Ndo maana laana haituachii!
 
Back
Top Bottom