Miaka 35 ya ccm: Wananchi watokwa machozi ya furaha (picha)

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
amini usiamini ewe ndugu, kijana, mama, kaka, mjomba, shangazi, dada CCM inapendwa na kada zote za kijamii, hayo yamedhihirika leo mwanza ambapo watu takribani 100,000 walikuwa uwanjani kirumba kushuhudia mtoto mpya akizaliwa baada ya kujivua gamba. Umaarufu wa chama cha mapinduzi umewashangaza wengi leo na mbaya zaidi ni pigo kwa cdm baada ya kuondokewa na wanachama wake zaidi ya 4500 wakiongozwa na vigogo wao, huku wengine wakiahidi kurudisha kadi baada ya sherehe.

kwa macho yangu nimeshuhudia wamama kwa wababa wakilia machozi yaliyoambatana na mayowe na baadhi ya watu walianguka hii nikutokanana na kulia muda mrefu

ccm%2B6.jpg


ccm%2B5.jpg

Mama leo aligeuka kivutio uwanjani na mara tu baada ya kuingia uwanjani vifijo na nderemo vilitawala

ccm%2B10.jpg

furaha
ccm%2B11.jpg

watu wamepagawa na mtoto mpya

ccm%2B7.jpg


ccm%2B8.jpg


vigogo walihudhuria
ccm%2B3.jpg
 
Kilio cha kulilia umasikini wao ilihali CCM inatumbua maraha bila kuwajali wananchi ambao wengine wanakufa kwa kukosa tiba

soma vizuri ni kilio cha furaha watu walifurahi kupita kiasi ndo wakaanza kulia
 
...Yeyote yule ambaye anaikimbia CHADEMA na kwenda CCM wakati CCM inaingamiza nchi katika kila nyanja ya maendeleo nchini basi ana akili finyu sana au hajui nini kinachoendelea nchini.
 
hata makamba alikuja na kauri hizo kumbe alikua ananunua wanachama so magamba tumeshawazoea na stairi yenu ya kununua watu,hao mmewatua magu na malori tena kwa vitisho huko kijijini km wasingeenda
 
soma vizuri ni kilio cha furaha watu walifurahi kupita kiasi ndo wakaanza kulia

Mbona wameshika tama!vilio vya furaha vinakujaje na kushika tama?!cha kusikitisha zaidi wengi wao wako dhohofu bin hali kimaisha!kweli ujinga unazidi kututafuna watanzania!
 
jamaa yangu yuko Geita alisombwa jana na lori maalum akapewa tshirt na kofia na sh elfu 20
 
Mm ni mwana ccm mwenye mitizamo chanya,pamoja na kurudisha wanachama tunatakiwa kubadilisha namna ya kutawala watanzania,kwani wananchi wa leo wameanza kuelewa kila jambo kwa upana wake na ukimwambia jambo ujue atalihoji so tuwe makini.
 
Leo malori mangapi yalibeba watu?vipi Ubwabwa ukikuwepo?

leo siri ndio imefichuka hapa mwanza kaka, cdm wakiona ccm kinafanya mkutano basi wanakodi malori mle ndani wanajaza watu wao na kuwavalisha nguo za kijani ili tu ionekane ccm inabeba watu
 
hivi kirumba ina uwezo wa kuchukua watu wangapi?hao watu laki moja walienea?

Mkuu unajua ukishakua na akili za kimagamba hauwezi kua na fikra hata kidogo,uwanja wa kirumba na watu laki moja wapi wapi na wapi?
 
Hongera...maisha yamekuwa bora ndo maana wamefurahi na alivyoingia mama ambaye anajua uchungu wa masiha na kupanda kwa gharama...wakazidi kuwehuka..kwa kweli hiki ni chama cha kuwajali wanyonge.....
mmefanikiwa mno na uchumi unapaa hata huku mtaani mnapendwa mno kwani hali za uchumi zimeboreka na raia hawalali njaa.
 
Hivi unajua kuwa kichaa hajijui kuwa yeye ni kichaa na badala yake watu wote huwaona vichaa. Ndo kama huyo aliye post hiyo topic. kwa kipi mtu aliye kwa furaha? kilicho fanywa na ccm.
 
Wamefuata mpunga tu hao hakuna lolote! Endelea tu kujipa moyo kuwa ccm inapendwa.
 
Uwanja wa Taifa DSM ambao ndio mkubwa hapa TZ unachukua watu 60000 hii ni dhahiri kuwa mtoa mada hakuwa makini kuhesabu. Tuache hayo! Kulia ni kulia tu mbaya zaidi ni vigumu kutofautisha machozi ya FURAHA na yale ya HUZUNI kwani yote hutoka sehemu moja. Nilijualo na niliaminilo mimi ni kuwa nchi hii inahitaji kizazi kipya kinachoweza kufikiri kimantiki. Mashaka yangu nani mama yuko tayari kubeba UJAUZITO azae kizazi hicho? TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
leo siri ndio imefichuka hapa mwanza kaka, cdm wakiona ccm kinafanya mkutano basi wanakodi malori mle ndani wanajaza watu wao na kuwavalisha nguo za kijani ili tu ionekane ccm inabeba watu

yaani cdm wahangaike kukodi magari kwa ajili ya ccm..? Kweli akili za kimagamba.
 
Mbona wanaonekana watoto na wanawake ndo wengi ?vipi hawakufuata wali ng,ombe hao? Maana watoto na wali nyama!!!!!!!hao waliorudisha kadi za cdm ambao ni vigogo ni akina nani ? Ccm mnavyopenda sifa mngesha tangaza hadi majina,janja yenu tushaijua hamna jipya nyie,
 
mtoa mada hebu nijibu swali langu au wewe ni mmoja wa kitengo cha propaganda ccm?
 
Back
Top Bottom