Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

Narubongo

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
2,768
2,750
Na Martin Malera
WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika harambee ya chakula cha hisani kuchangia kuanzishwa kwa Jimbo jipya la Kanisa Katoliki Ifakara. Harambee hiyo itakayohudhuriwa na maaskofu wa majimbo mbalimbali nchini, imeandaliwa na Askofu wa Jimbo la Mahenge, Agapit Ndorobo na inatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Dimond Jubilee, Machi 7, mwaka huu.

Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka.

wito wa Narubongo ni kuwahimiza watanzania wote wenye nia njema kujitokeza kwa wingi 7th march 2012 @ diamond jubilee pasipo kujali itikadi za udini, ukabila, uraia na personal issues ili tukamilishe kazi hii ya kulieneza neno la mungu na kuijenga tanzania yetu yenye maadili

ELairLines2015
 
Atazunguka makanisa yoote,ataenda mpaka misikitini...lakini watanzania hatudanganyiki ng'o.

nipe ushahidi ni lini na wapi EL alikwenda kuomba kuhudhuria harambee? yaani hata ujenzi wa kanisa mnataka tuende kuomba misaada Europe? hapana ni wakati wakujitegemea. Kwapamoja tunaweza kuchangishana na kufikia malengo.
 
Huyu ndiye rais wa wananchi wote wa dini zote mtake msitake huyu ndiyeeeeeeeee na amin nawaambia ****** ndiye anampigia chapuo..
 
This is too much now!! Yaani jamaa anaingia magogoni hivi hivi kiulaini huku akiwatia hofu akina Membe hadi kujitoa kwenye kinyang'anyiro. Lol.
 
I'm very impressed with the strategies of our incoming president

I call him President to be, u know what....? if churches side with him, which all conditions are CLEAR churches are with him, EL atafunga kazi, na nasema the President in waiting atawapiga BAKORA just wait.... @ take off...
 
Siyo wote maniitaa Bwana Bwana! Wanajua pesa zake za wizi lakini wanamwita na kumpongeza: hawa maaskofu watamjibu Bwana wao atakapouliza. Na Bariadi nasikia ameitwa
 
Siku hizi makanisa yamebaki kutukuza pesa. Hayaangalii tena masuala ya uadilifu ndio maana jamaa anayatumia kujisafisha, na kwa kweli kafanikiwa makanisani.

Tusubiri sanduku la kura.
 
Siyo wote maniitaa Bwana Bwana! Wanajua pesa zake za wizi lakini wanamwita na kumpongeza: hawa maaskofu watamjibu Bwana wao atakapouliza. Na Bariadi nasikia ameitwa

Mwizi ULIMSHIKA? kwanini usimpeleke court? Una ushahidi? Come clean & be as clear as possible mwizi vp?
Stop this kiroja hauna hoja...
 
Itisheni harambee kuchangia wanafunzi waliokosa ada...kila siku makanisa lol!

wewe una matatizo halafu unasubiri mimi nikufuate? ebo! EL hajipeleki anafuatwa na nyinyi kama mna reasonable fund raising event mtumieni ujumbe atakuja. na si kulalama tu wakati hamjawahi kumualika
 
Mwizi ULIMSHIKA? kwanini usimpeleke court? Una ushahidi? Come clean & be as clear as possible mwizi vp?
Stop this kiroja hauna hoja...

hayo ni maswali yasiyo na majibu.. hapo umemkimbiza uchi harudi tena
 
Hii inaonesha EL anawaandaa kwanza wananchi wake kumcha mungu ili 2015 akiingia kila raia awe na maadili mema, hapa tegemea wizi, rushwa, kuporomoka kwa maadili ya uongozi kutoweka kabisa kuanzia 2015. EL anahitaji kizazi kilichojengeka kimaadili cha kuifikisha tz yetu tunayoitaka.

wito wa Narubongo ni kuwahimiza watanzania wote wenye nia njema kujitokeza kwa wingi 7th march 2012 @ diamond jubilee pasipo kujali itikadi za udini, ukabila, uraia na personal issues ili tukamilishe kazi hii ya kulieneza neno la mungu na kuijenga tanzania yetu yenye maadili

ELairLines2015

Unadhani hii ni nini? Ushetani tu,kwani tumeshuhudia wengine wakiendesha harambee wanaingiliwa na nyoka.WOTE WANAO MTUMIA EL WAWEKE REKODI ILI YATAKAYO WATOKEA WASHUHUDIE UNLESS WAWE Wanafiki kwake EL NA WAKWELI WA MUNGU.NA HERI WALIO ONESHA UJASIRI LEO KUMPINGA SIOI KULE ARUSHA WAMEFANYA KAZI YA MUNGU.NATAMANI HARAMBEE HIYO IKOSE WATU.MUNGU AFUNGE USHETANI.
 
adui namba moja wa mchawi wa kiafrika ni maendeleo. Yes you are <--bold umeandika ushirikina mtupu kama ulivyo, wewe 2012 hii bado unaimani za mkibuyu??? makanisa mengine bana yani wao kazi yao nikuwajaza waumini wao vitisho badala ya kuwajenga jinsi ya kuishi maisha ya kumpendeza mungu, nyinyi ndio wale wa yale makanisa ambayo katika masaa 3 ya ibada mnatumia masaa 2:45 kumuongelea shetani na matendo yake kwa hiyo mkitoka huko mnakuwa na uelewa mpana zaidi juu ya shetani kuliko mungu kama unavyojionesha hapa.

WITO: Tujitokeze kwa wingi katika harambee ya kuijenga himaya ya mungu.. sambaza ujumbe huu kwa wengine viongozi wa kanisa katoliki ni makini sana na kama wangeona EL ana tatizo wasingemuita
 
This is too much now!! Yaani jamaa anaingia magogoni hivi hivi kiulaini huku akiwatia hofu akina Membe hadi kujitoa kwenye kinyang'anyiro. Lol.

A VERY GOOD AND BRIGHT COMMENT,HUYU AKIPITISHWA NA CCM EHEEEEEE LAZIMA APIGWE MADONGO NA KILA MTU,MAKANISA YATAKAYOMTUMIA NA KUTUMIWA yachafuliwe kwa nguvu zote[WORKSHOPS OF DEVIL]
 
Back
Top Bottom