Search results

  1. G

    Tukio la ujambazi lasababisha mauaji kijiji cha Gwarama wilayani Kakonko-Kigoma

    Habari za kusikitisha nimezipata leo asubuhi ambapo watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa na hali zao ni mbaya sana. Tukio hili limetokea usiku wa kuamkia leo ambapo watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wamevamia nyumba tatu yaani familia tatu ndani ya usiku huo huo mmoja...
  2. G

    Nimepoteza plate namba ya pikipiki cfq 666 arusha (maji ya chai mpaka kwa pole)

    Nawasalimu wana jamvi! ndg zangu nimepoteza plate namba kuanzia maeneo ya maji ya chai mpaka kwa Pole (wenyeji wa Arusha wanayapata haya maeneo) naombeni kama kuna mtu aliyeokota plate namba yenye namba CFQ 666 tafadhali tuwasiliane kwa namba yangu ya simu 0753 521 435 au 0753 627 961. Au hata...
  3. G

    TBC rusheni Matangazo Live juu ya uokoaji unaoendelea kwenye Jengo lilliloanguka Dar!

    Jamani nalishangaa hili shirika la TBC, is it true that ni shirika kweli la Umma? Nawashangaa wanavyoendelea na vipindi vyao vya kiajabu badala ya kutuonesha yanayoendelea kwenye uokoaji, sie tuliopo mikoani roho zipo juu tunahitaji kufahamu yanayoendelea mana hao waliovukiwa ndani ni ndugu...
  4. G

    Ajira za walimu!

    Naomba kumnukuu naibu waziri wa elimu tz, Mhesh Philip Murugo. "Ajira za walimu wapya wa shule za msing na sekondari zitakua tayari na zitatolewa mwishon mwa mwezi huu wa januari" Mwisho wa kumnukuu, source; TBC1 8pm news. Sijui km kuna uhakika wa tamko hili coz walianza mwez July, wakaja sept...
  5. G

    Ajira za walimu!

    Naomba kumnukuu naibu waziri wa elimu tz. "Ajira za walimu wapya wa shule za msing na sekondari zitakua tayari na zitatolewa mwishon mwa mwezi huu wa januari" Mwisho wa kumnukuu. Sijui km kuna uhakika wa tamko hili coz walianza mwez July, wakaja sept, then 15 Novemba mwaka jana, hatimae wakasema...
  6. G

    MOEVT toeni basi hizo ajira tujue mapema nani wa kupata nan wa kukosa Januar si ndo hii?

    Wizara husika na ajira za walimu na wakufunzi toeni bac hzo ajira, ili 2jue mapema km ni kuendelea na private ze2 ili 2saini mikataba mipya au 2ache. Januar, mwez wa kuanza na plan mpya ndo huu unayoyoma! Umeniskia wewe Shukran Kawambwa na Murugo wako??? Fanyen fasta.
  7. G

    Kulikoni TBC1 na mwendelezo wa tamthiliya ya LA LEVANCHA?

    Naomba kujua, hasa ktengo knachohusika na kurusha Tamthiliya hyo, wana mpango gani wa kuendelea kutuonyesha episodo zilizopta badala ya kuendelea na next episode! Its about 2weeks ova repeatng th previous scenes! Whats wrong tbc1?? By Mtz!
  8. G

    Amri kwa TBC

    Mimi raia wa Tz kutoka Arusha natoa amri kwa shirika la utangazaji la Taifa TBC kusitisha ratiba za kurusha vipindi vya kawaida na muanze mara moja kurusha yanayoendelea kwenye mafuriko Dar! Watu wanateseka, wanakufa! Rusheni moja kwa moja ili ulimwengu uone taabu zlizopo Tz kwa sasa ili wa...
  9. G

    JK, nini tafsiri ya mabalozi hawa wapya kwa wananchi?

    Naombeni wana JF na waTZ kwa ujumla mnisaidie juu ya hil la uteuz wa mabalozi wapya! Je nitakua sawa nikitafsiri kua Jk ame2onesha kua sisi raia s kitu juu ya kuwapga chini hawa watu! Wana Arusha na iwaume sn kwa yule mliyemkataa Bi Batrida sasa atawakilisha nchi yenu yote na sio Arusha tu...
  10. G

    Ukweli na uhakika kuhusu ajira za walimu wapya 2011/12.

    Jaman wana JF, na waTz, wapenda sekta ya elimu, naombeni kwa wale walio na taarifa za kwel na uhakika kuhusu hatma juu ya ajira mpya za walimu, cheti, stashahad na shahada 2011/2012 watujuze! Hi n kutokana taarifa ziszo rasm ku2changanya hasa sie wahuska waajiriwa! Nimetokea kujskia vibaya sn...
  11. G

    Ajira kwa Walimu wapya 2011/2012 Lini kuwa tayari?

    Jaman wana JF, naombeni radhi kwanza kwa kuweka thread hii hum kwenye jukwaa la siasa, lengo langu ni kutaka angalau npate mawazo na updates kutoka kwenu kwani ni wengi mnaosoma jukwaa hili, jukwaa la kazi limetawaliwa na uongo na vijembe pia dhihaka ndo mana sijataka kupeleka thread hii huko...
  12. G

    Natafuta kazi ya kufundisha komputa chuoni au mwenye uhitaji na it expert!

    Hi! jameni wana JF naombeni niwashirikishe hili jambo, kama kuna nafasi mahali au unaweza kunipatia kazi ya Ualimu kwa kufundisha somo la komputer naombeni tuwasiliane kwa simu yangu ya mkononi 0658 590 264, au kwa njia ya Email gidytitus@yahoo.com. Ninao uwwezo wa kufundisha somo hilo kwa...
  13. G

    Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu.

    Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu...
  14. G

    Natafuta kazi ya kufundisha computer chuoni kama mwl wa kudumu.

    Nakusalimu, Mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini, Makumira Arusha, nachukua digrii ya BEd in Computer Science, natarajia kumaliza masomo yangu mwezi July. Naomba kama kuna uhitaji katika chuo chako au unafahamu pahali ambapo kuna uhitaji huo tafadhari naomba tuwasiliane kupitia simu...
  15. G

    Mamlaka ya wananchi juu ya kuchagua viongozi hasa nafasi ya rais katika katiba iweje?

    Mimi kwa maoni yangu ningependa bila kujali vyama vya siasa dini, kabila wala sura ya mtu, inapofikia kipindi cha uchaguzi mkuu, kabla viongozi hawajachukua fomu za kugombea nyadhfa mbalimbali hasa nafasi ya URAIS, wananchi tupewe nafasi ya kuwahoji na kuwapa maulizo ya kina haswa yaani...
Back
Top Bottom