Ajira kwa Walimu wapya 2011/2012 Lini kuwa tayari?

gidytitus

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
332
28
Jaman wana JF, naombeni radhi kwanza kwa kuweka thread hii hum kwenye jukwaa la siasa, lengo langu ni kutaka angalau npate mawazo na updates kutoka kwenu kwani ni wengi mnaosoma jukwaa hili, jukwaa la kazi limetawaliwa na uongo na vijembe pia dhihaka ndo mana sijataka kupeleka thread hii huko.

Naombeni kwa wale walio na news au updates za ukweli na uhakika kuhusu hatima ya walimu wapya wanaotarajia kuajiriwa na serikali watupe tumaini walau tunywe maji!

Ni miezi karibu 4 imepita tangu kumaliza chuo hususan kwa wale wa Vyuo vikuu tupo mtaani. Taarifa za serikali zilikuwa ni kwamba kufikia tarehe 15/ Nov, post zingekuwa tayari zishatoka na mpaka Mwezi Desemba, kila m2 kashajua kituo chake na ameripoti,(Source; Gazeti la Mwananchi la tr 6/Nov/2011, Jmosi ) Na taarifa za kiongozi wa TAMISEMI alisema hvyo wakati akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu bungeni.

SASA cha ajabu ni kwamba mpaka sasa ni kiza kitupu, hatujui nini kinaendelea, hiyo tarehe ishapita! Tarehe 19/Nov/2011, Jmos ilikuwa ni siku ya kusheherekea Mahafari ya 15 Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira, ambapo nami nlikua miongoni mwa wahitimu, cha ajabu kuna kiongozi mmoja wa serikali aliye2mwa kuwakilisha mkuu wa Wilaya, akatoa tamko kwa kusema kua, serikali haina pesa za kutosha kuajiri walim wote, hivyo kila m2 ajue wapi atapata kazi, hata walimu wakiwemo, hapo hapo akasema serikali ina uhaba wa walimu, na kilio hiki hakitakoma mpaka sekta binafsi ziamue kuisaidia serikali.

(Hatukumwelewa hata kidogo) Naombeni wadau wa elimu na wale walioko karibu na ofisi husika, Jameni tupeni taarifa za kuridhisha! Matamko ya viongozi husika yanatuchanganya!

Naomba kutoa hoja!
 
serekali haina pesa.na serekali wanatumia pesa nyingi kwenye siasa. na ndio kisa cha kutoa pesa mpya lakini bado inaishi kwa mikopo. tuombe mungu
 
hao waliopata ajira miaka nenda rudi leo wanalilia mishahara na malupulupu yao kwa serikali kushindwa kuwalipa ndo watoe ajira mpya sasa? HAZINA KUMEKAUKA bro, hela iliyobaki ni kwajili ya sherehe za 50yrs na kampeini ya mawaziri kuzunguka nchi nzima kutetea mswada uliopitishwa na magamba bungeni.
 
Jaman wana JF, naombeni radhi kwanza kwa kuweka thread hii hum kwenye jukwaa la siasa, lengo langu ni kutaka angalau npate mawazo na updates kutoka kwenu kwani ni wengi mnaosoma jukwaa hili, jukwaa la kazi limetawaliwa na uongo na vijembe pia dhihaka ndo mana sijataka kupeleka thread hii huko.

Naombeni kwa wale walio na news au updates za ukweli na uhakika kuhusu hatima ya walimu wapya wanaotarajia kuajiriwa na serikali watupe tumaini walau tunywe maji!

Ni miezi karibu 4 imepita tangu kumaliza chuo hususan kwa wale wa Vyuo vikuu tupo mtaani. Taarifa za serikali zilikuwa ni kwamba kufikia tarehe 15/ Nov, post zingekuwa tayari zishatoka na mpaka Mwezi Desemba, kila m2 kashajua kituo chake na ameripoti,(Source; Gazeti la Mwananchi la tr 6/Nov/2011, Jmosi ) Na taarifa za kiongozi wa TAMISEMI alisema hvyo wakati akijibu swali kuhusu uhaba wa walimu bungeni.

SASA cha ajabu ni kwamba mpaka sasa ni kiza kitupu, hatujui nini kinaendelea, hiyo tarehe ishapita! Tarehe 19/Nov/2011, Jmos ilikuwa ni siku ya kusheherekea Mahafari ya 15 Chuo Kikuu cha Tumaini, Makumira, ambapo nami nlikua miongoni mwa wahitimu, cha ajabu kuna kiongozi mmoja wa serikali aliye2mwa kuwakilisha mkuu wa Wilaya, akatoa tamko kwa kusema kua, serikali haina pesa za kutosha kuajiri walim wote, hivyo kila m2 ajue wapi atapata kazi, hata walimu wakiwemo, hapo hapo akasema serikali ina uhaba wa walimu, na kilio hiki hakitakoma mpaka sekta binafsi ziamue kuisaidia serikali.

(Hatukumwelewa hata kidogo) Naombeni wadau wa elimu na wale walioko karibu na ofisi husika, Jameni tupeni taarifa za kuridhisha! Matamko ya viongozi husika yanatuchanganya!

Naomba kutoa hoja!

Sasa wewe unataka taarifa zipi za kuridhisha? Unaambiwa ukweli kuwa serikali haina pesa ya kuajili,Au we unataka udanganywe?
 
we uckate tamaa kwani post zenu ni mwezi december na january,2012 ndo mtatakiwa kuripot vituoni.Harafu uwe tayari kufanya kazi mikoa ya pembezon maake walim wengi wamekuwa wakiripot na kuchukua fedha za kujikim na kutokomea.but kwasasa mtajaza mkataba.So vuta subira serikari ni mtu au watu ajira utapata tu. Kuwa mzalendo zaidi ya ulivyo sasa.:photo:
 
VUTA subira kani ajira zenu ni mwezi december, na january,2012 ndo reporting time.
 
sawa ila serikali imefulia vibaya mana sasa watu wanachukua nusu ya mishahara jalibu kufanya tafiti mambo hayaja kaa sawa.ushauli kama utapata kazi fanya na tujitahidi vijana kujiajili
 
Sasa wewe unataka taarifa zipi za kuridhisha? Unaambiwa ukweli kuwa serikali haina pesa ya kuajili,Au we unataka udanganywe?
Ok, nmekuelewa, tutakutana kwenye pori la rusahunga, naenda kujiajiri huko, tayari nshapata vitendea kazi.
 
we uckate tamaa kwani post zenu ni mwezi december na january,2012 ndo mtatakiwa kuripot vituoni.Harafu uwe tayari kufanya kazi mikoa ya pembezon maake walim wengi wamekuwa wakiripot na kuchukua fedha za kujikim na kutokomea.but kwasasa mtajaza mkataba.So vuta subira serikari ni mtu au watu ajira utapata tu. Kuwa mzalendo zaidi ya ulivyo sasa.:photo:
Sawa bossss!
 
Nmekuelewa bosss bt sjui kama huko pembezoni mwa miji kama kuna Computer coz mi mwl wa tehama, wakinipanga huko naenda kufundisha civics tu bt watakuwa wanaua profesion yangu!
 
sawa ila serikali imefulia vibaya mana sasa watu wanachukua nusu ya mishahara jalibu kufanya tafiti mambo hayaja kaa sawa.ushauli kama utapata kazi fanya na tujitahidi vijana kujiajili
 
Serikal haijafulia sema wana2mia pesa nying kwenye mambo ambayo yanawanufaisha wao hasa ktk siasa so 2015 2we makin jaman
 
Back
Top Bottom